parking

Parking is the act of stopping and disengaging a vehicle and leaving it unoccupied. Parking on one or both sides of a road is often permitted, though sometimes with restrictions. Some buildings have parking facilities for use of the buildings' users. Countries and local governments have rules for design and use of parking spaces.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    KERO Walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki Kariakoo kwa kuita "wrong parking" bila utaratibu

    Hapa Kariakoo kuna walinzi wa Halmashauri wanakamata Pikipiki bila utaratibu maalum na kuomba pesa kiasi cha elfu 50, uwape mkononi wanasema ni wrong parking. Hata Bodaboda akishusha tu abiria wanamkamata hapohapo, wanazikusanya na baadae wanaomba pesa. Ni uonevu mkubwa sana hilo suala...
  2. M

    Chalamila: Zile Kampuni za kukamata "Wrong Parking" lile ni genge la rushwa

    TANROADS na kwa TARURA na Jiji ukienda katika mataifa yote, Dar kwa mfano, kuna zile kampuni za kukamata rwong parking, zile kampuni sijui kama mmeshawahi kujua wanachopata wao na mnachopata nyie, lile ni genge la rushwa, ni kubwa sana, vibaka na watu ambao hawahusiani ndio wanaendeleza hizo...
  3. W

    Ujinga wanaofanya watu wa parking za mjini

    Huwa kuna sehemu maeneo ya Mnazi mmoja kuna kama chuo kidogo huwa naenda , darasa ni kwa saa moja Huwa mara chache naenda na gari, ila Kuna kitu hakipo sawa, yaani haiwezekani nipaki kwa saa halafu bili ije 5000 Hicho chuo kipo kama gorofani, juzi wakati nashuka nakuta mtu wa parking yupo na...
  4. F

    Parking Lot Showdown Ends with Daylight Shooting

    Parking Lot Showdown Ends with Daylight Shooting in usa Intimidation backfires as small man reacts decisively A tense encounter in a parking lot turned violent when a large man tried to intimidate a smaller individual, daring him to “do his worst.” The smaller man, unshaken, pulled a gun...
  5. KnucleBreaker

    Msaada: Parking lot karibu na Ferry (Dar)

    Habari wakuu, Naomba kufahamishwa eneo salama na secure la maegesho ya magari karibu na ferry. Nahitaji kusafiri kwenda Zanzibar, niache gari kwa siku 3, nitachukua wakati wa kurudi ili kuepukana na adha ya usafiri. Asanteni.
  6. Mad Max

    Ukipata time cheki deni la trafiki hapa na parking kuepusha usumbufu usio na ulazima!

    Naona vijana wa parking/manispaa wanisaidiana na trafiki wamekua serious sana barabarani siku hizi. Kama una gari au ata gari la jirani mchekie madeni hapa: Trafiki: RTOC Parking: Parking
  7. Scared

    Mradi wa parking ya magari misugusugu umekufa wajanja wamepiga pesa

    Kuna wajanja walianzisha kimradi uchwara hapo misugusugu shule wakawahamisha watu Kwa mabilioni kutoka serikalini ambapo wao walikua wanachukua Nusu ya pesa ya Kila alieamishwa ni mwaka umepita mradi huo uchwara ulipoanzishwa kupo kimya wanafuga pori. Ama kweli Tanzania Ili upate utajiri ni...
  8. mwehu ndama

    Leo nimeenda toe to toe na watu wakuscan parking

    Kama mbwai na iwe mbwai . Imagine mtu nimepaki mkoko kwenye parking lot ya fremu ya biashara niliyolipia mwenyewe kitaa, Tena ndani ndani afu mtu na reflector yake ya kijani inakuja kuscan chuma ili iniandikie deni !???. Pumbafu kabisaa ..sisi tulimtuma maza akope hayo mamikopo ? Kwa hiyo...
  9. hencelshadetz

    Car parking & pergola

    Pata car parking shade za kisasa na sehemu za kupumzikia na family yako kwa mawasilsiano whatsaap/call 0767583628
  10. A

    KERO Changamoto za Ufuatiliaji wa Magari na Utoaji wa Faini Katika Maeneo ya Mlimani City na Survey Road kwa madai ya maegesho yasiyo rasmi (Wrong parking)

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya madereva kusimama kwa muda katika maeneo ya Mlimani City na barabara ya Survey, wakidai kufuatiliwa, kusumbuliwa, na wakati mwingine kutishiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka Manispaa ya Kinondoni. Ingawa udhibiti...
  11. D

    Kuna wezi na matapeli wana vitambulisho na sare za Tarura feki wanatembea na boda au bajaji wanakamata madeni na wrong parking

    Hawa matapeli wapo sana maeneo ya kariakoo na kinondoni! Wanatumia bajaji au boda na wakati mwingine wanavaa na sare feki! Popote ukikutana nao piga Kelele za mwano ni wezi hao! Kila siku watu wanabuni mbinu mpya za wizi.
  12. Jaluo_Nyeupe

    Naomba kujulishwa namna ya kuangalia deni langu la Parking Fees

    Habari wanajamvi. Naomba kufahamishwa namna ya kuangalia deni langu la parking fees pamoja na kupata statement ya deni hilo. Nimejaribu kuingia website ya tarura lakini inaonekana website hiyo si salama
  13. Hharyson

    1BEDROOM APPARTMENTS DESIGN PLOT SIZE 20X20M 6CAR PARKING CALL US TO GET YOUR DESIGN +255624004650

    EACH UNIT HAVE 1BEDROOM,LOUNGE AND KITCHEN
  14. Scared

    Inadaiwa parking kubwa ya magari itajengwa Kibaha Misugusugu itayokuwa na Hoteli na Super Makert. Je, kuna ukweli?

    Nimepata habari Kuna parking ya magari kubwa itakayokua na hoteli na super makert ambayo inatarajiwa kujengwa kibaha misugusugu shule je kuna ukweli kugusu Ili jambo ama alieniambia kanidanganya nimeona niulize humu jamii forum sababu ni kisima Cha maarifa Ili tuweze
  15. Mshana Jr

    Ubunifu wa parking na sideways kwa kutumia tiles na pavements blocks

    Ukisikia finishing ni kaburi la pesa basi hapa ni eneo mojawapo Hizo tiles na paving blocks zinauzwa kwa square meter Kisha kuna gharama ya usafiri Halafu kusawazisha na kusindilia vizuri eneo Kuna gharama za zenge, rough cement au mchanga Kuna ufundi Kuna usafi wa kila siku.. Ama kweli kizuri...
  16. Chance ndoto

    KULIPA PARKING WAKATI WA KUTOKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI.

    Wakuu za jumapili, Sijafika muhimbili muda mrefu yapata miezi sita toka mara ya mwisho nimefika pale. Jana nilipata emergency na kumpeleka mgonjwa wangu hospitali ile, nikafatilia kila kitu, na ilipofika jioni Nikaamua kutoka na kurudi nyumbani wakati mgonjwa wangu akiwa anaendelea na matibabu...
  17. dyuteromaikota

    Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

    Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri. Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
  18. Nelson Kileo

    KERO Utaratibu wa gharama za parking ni mbovu sana kwa Arusha

    Inakuaje mtu hupatiwi ticket ? wanapita na machine kwenye magari wanakatisha parking lakini hawaweki karatasi kumjulisha mwenye gari kua amekatiwa Parking. Hii inasabaabisha madeni makubwa ambayo kiuhalisia mtu alikua hajui kama anadaiwa. Inasababisha Usumbufu mkubwa sana.
  19. The last don

    Chumba, Sebule kubwa ya kisasa na Parking ya gari inapangishwa Mabibo Makuburi karibu na Samaria Hotel

    Chumba na sebule kubwa ya kisasa katika neighbourhood yenye amani inapangishwa kwa bei ya Tsh 150k kwa mwezi. Mabibo makuburi nyuma tu na ilipo Samaria Hotel Eneo lina usalama wa kutosha ndani ya geti Mawasiliano kuja kutazama bure: 0621973591 Kodi ni malipo ya miezi sita Hela ya udalali kama...
  20. Mwanongwa

    Mbeya: Soko la Mwanjelwa lageuka Parking ya magari

    Hivi Kwa gharama za zaidi ya Bilioni 16 zilizotumika kujenga Soko la Mwanjelwa ndiyo tumeamua kuligeuza Parking ya magari? Licha ya gharama kubwa zilizotumika kulijenga Soko hilo lakini limeshindwa kabisa kuwavutia wafanyabiashara kuhamia hapo au kuanzisha biashara hapo. Mwanzo sababu ilikuwa...
Back
Top Bottom