paper

Paper is a thin sheet material produced by mechanically or chemically processing cellulose fibres derived from wood, rags, grasses, or other vegetable sources in water, draining the water through a fine mesh leaving the fibre evenly distributed on the surface, followed by pressing and drying. Although paper was originally made in single sheets by hand, almost all is now made on large machines—some making reels 10 metres wide, running at 2,000 metres per minute and up to 600,000 tonnes a year. It is a versatile material with many uses, including printing, painting, graphics, signage, design, packaging, decorating, writing, and cleaning. It may also be used as filter paper, wallpaper, book endpaper, conservation paper, laminated worktops, toilet tissue, currency, and security paper, or in a number of industrial and construction processes.
The papermaking process developed in east Asia, probably China, at least as early as 105 CE, by the Han court eunuch Cai Lun, although the earliest archaeological fragments of paper derive from the 2nd century BCE in China. The modern pulp and paper industry is global, with China leading its production and the United States following.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    China: Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo.

    Paper tiger (Mbwa asiye na meno) kaufyata wakati mwenzake anachezea kipigo. China linapokuja suala la operesheni za kijeshi ni mchumba tu. Wairani walimuomba Trump awasaidie, naye akawaitikia. Xi na China yake yeye siku zote msimamo wake si kwa wananchi wa nchi husika, bali anasimama na...
  2. T

    PostGE2025 Polisi tunaomba msitumike kuonea wananchi

    Tunajua njama zote zinazofanywa na wenye mamlaka fake kuwatumia polisi. Na polisi walivyo wajinga wanaingia mkenge. Tuko kwenye point of no return. Mpende msipende tunakwenda kuikomboa nchi yetu. Mkiendelea kutumika wengi sana mtapoteza kazi zenu, mtafungwa, mtanyongwa na familia zenu zitaishi...
  3. GENTAMYCINE

    Ukiona Jezi za Klabu yote ile Tanzania haijatengenezwa na hizi Kampuni Tano Kubwa za Kimataifa jua hiyo Jezi ni Takataka na Toilet Paper tu

    1. Adidas 2. Puma 3. Nike 4. Umbro 5. Diadora Imeisha hiyo.......!!!!!!!
  4. Fbn

    Neno toilet paper ni code ambayo serikali inaweza kukufanya ukazani unawafurahisha ufanikiwe.

    Kuna makala moja niliona kuna kiongozi alikuwa gaidi alikuwa CIA mzaliwa kuwait na wana CIA baada ya kukamilisha lengo lao kuanzia hapo waliuliwa kuanzia yeye na CIA waliokuwepo hapo. https://www.youtube.com/watch?v=Qhm4n1JyLq4 Sasa tuje hapa nchini ambao wengine watakuwa JF mfano Tlaatlaah...
  5. Mkuu Damballa

    Kilo Mia nne karatasi used Kwa recycle kutengeneza tissue paper

    EE Bwana ee Nina Kama Sheena ya karatasi ambazo unaweza kutumia Kama recycling kutengeneza tissue paper au matumizi mengine Kwa wanaoitaji muhimu NI kuelewa NI kitu gani ninauza .hizi karatasi sio magazeti na ninazo Kama kilo Mia nne hivi plus. Kama utakuwa interest NI PM na muhimu zaidi...
  6. R

    Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

    Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
  7. Tuo Tuo

    Je pandora paper hazikutaja matajiri wa tanzania

    Kwa ambae hajui Pandora paper ilikua n siri zilizovuja juu ya utajiri mkubwa wa watu walioupata ambao wanaajalibu kuuficha . Kenya ilihusisha familia ya Kenyata. Je hamna tanzania tajiri ambaye alitajwa na ubadhifu wote huu
  8. Prof_Adventure_guide

    Sisi Wachaga Tuko Loaded—Tumesoma, Tuna Paper, Na Hatutoi Energy Kwa Manzi wa Stress!

    Let me set the record straight. Hii siyo brag, hii ni reality check kwa wote mnaopenda kupima mafanikio kwa vioja vya kijiweni. Sisi Wachaga tuko juu bro, juu hadi ceiling ya private jet! Tumesoma, tume-invade biashara zote kubwa, na bank zetu zina zero nyingi kama password ya WiFi ya ofisi ya...
  9. Isenye

    Hivi yale majibu ya chatgpt ya paper ya tax management officer ii yalikua ya uongo?

    Wakuu Baada ya kufanya mtihani wa tax management officer ii kuna watu walisambaza ule mtihani ukiwa na majibu yake kutoka chatgpt. Binafsi niliyapitia yale majibu na kujisahihishia mwenyewe kulingana na nilichokua nimekijaza ambapo marks nilizopata zilikua ni 66.5% ila cha kushangaza tra wao...
  10. Isenye

    Kama ulifanya paper ya customs officer ii TRA fungua hapa ujionee.

    Lile swali la mwisho la calculations majibu yake ni hayo hapo. Lilikua na marks 20 lote. Ukilikosa lote means 20 marks zinaondoka.
  11. Pantomath

    Naomba kujuzwa mtaa wanaouza Vifaa vya Stationery hasa Rimu paper kwa bei rahisi.

    Nahitaji hivi vifaa kwa bei nzuri na ya jumla, hasa rimu paper, bei yake ikoje kwa kariakoo, mtaa gani vinapatikana kwa wingi? Au ndio haya haya maeneo karibu na kanisa la kkt, Magila na Muhonda? Je specifically wapi wana bei iliyopoa? Mwanza nako kwa aliyeko kule wanauzaje? Mashine za...
  12. P

    KERO Vyoo Vya Umma Kukosa Sabuni na Toilet paper

    Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu. Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa huduma mfano zahanati,vituo vya afya,hospitali(wilaya,mkoa na rufaa), Taasisi za Elimu(shule za msingi...
  13. Meja Jenerali Isamuhyo

    Mtoto wa nyoka ni nyoka; Isack Mwigulu atoa msaada wa ream paper kwa Uvccm Singida

    Like father, like son!
  14. Mzee Mwanakijiji

    SoC04 A Concept Paper on the Establishment of Medical Train Services in Tanzania by 2027

    M. M. Mwanakijiji UANZISHAJI WA TRENI YA KITABIBU IFIKAPO 2027 Introduction: Tanzania, like many developing countries, faces significant challenges in providing adequate healthcare services to its population, particularly in remote and inaccessible areas. In response to this need, we propose...
  15. Asphalt1961

    Tafakuri: Matumizi ya choo kisicho na Maji, chenye toilet paper

    Wana Jamvi habarini za leo na hongereni kwa kumaliza mifungo yote salama. Kuna swala linanitatiza sana hasa nikienda nchi za watu lakini pia hotel na restaurants za kitalii hapa nyumbani. Kiutamaduni sisi waTanzania wengi tumelelewa kwa matumizi ya maji chooni hasa kwenye kujisafisha baada ya...
  16. D

    Je, wajua toilet paper na tissue zina matumizi tofauti?

    Toilet paper na tissue paper hata kama baadhi ya wakati hutengenezwa kwa maumbo sawa, hazifanani matumizi. Toilet paper imetengenezwa kuyeyuka haraka majini, hivyo kuifanya iwe salama kwa mabomba na mifumo ya maji taka. Toilet paper imetengenezwa kwa makusudi ya kujisafisha baada ya kutumia...
Back
Top Bottom