papa francis

Francis: Pray for me (Spanish: Francisco – El Padre Jorge, lit. 'Francis – Father Jorge') is a 2015 Argentine film, starring Darío Grandinetti as Pope Francis. The film is based on the 2013 book, Pope Francis: Life and Revolution, which was written by Francis' close friend Elisabetta Piqué who is also a correspondent for the Argentine newspaper, La Nación in Italy and the Vatican since 1999. The film was released as Papa Francisco: The Pope Francis Story in the Philippines.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Papa Francis aruhusiwa kutoka Hospitali baada ya kulazwa kwa siku 3

    Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki mwenye miaka 86, alilazwa Machi 29, 2023 katika Hospitali ya Gemelli Polyclinic baada ya kuripotiwa kuwa na matatizo ya kupumua ambapo alianza matibabu ya Dawa za 'Antibiotic'. Maafisa wa Vatican wamesema #PapaFrancis atakuwa katika Uwanja wa Mtakatifu Petro kwa...
  2. BARD AI

    Papa Francis alazwa Hospitali kutokana na matatizo ya upumuaji

    Taarifa kutoka Vatican zimeeleza kuwa Papa alianza kupata shida ya kupumua na kukimbizwa Hospitali kwaajili ya vipimo lakini Madaktari wameshauri abaki kwa uangalizi zaidi. Kwa mujibuwa taarifa, Papa amelazwa katika Hospitali ya Chuo Kikuu cha The Gemelli mjini Roma, ambako atahitajika kukaa...
  3. Lycaon pictus

    Papa Francis ana mpango wa kuruhusu mapadri kuoa

    Papa anadai kuwa takwa la mapadri kutooa lilikuwa ni la muda tu(Takwa hilo lilianza karne ya 11). Anasema hakuna utata wowote iwapo watawa wataoa. Anadai mapadri wa kanisa la mashariki wanaoa na hakuna shida yoyote. Anafanya mpango kureview suala hilo. ====== In a new interview, Pope Francis...
  4. HERY HERNHO

    Papa Francis aitaka Urusi kuacha vita vya kipuuzi na kikatili

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amerejea wito wake wa kutaka kusitishwa kile alichokiita vita vya "kipuuzi na kikatili" nchini Ukraine. Wito huo ameutoa Jumatano mjini Vatican, katika hadhara yake ya kila juma, ikiwa ni kipindi kifupi kabla ya kutimia mwaka mmoja tangu...
  5. kwisha

    Aibu hii! Felix Tshisekedi kuzomewa mbele ya Papa Francis ni matokeo mabaya ya utawala wake

    Juzi kwenye Uwanja wa Taifa (Stade des Martyrs) Kinshasa wananchi walimzomea Rais Felix Tshisekedi mbele ya Papa Francis wakiimba nyimbo ambazo zinasema (Fetshi oyebela mandat eseli) wakiwa na maana kuwa Rais Fatshi utawala wako umefika mwisho Huku UN (umaja wa kimataifa) walitoa kauli kuwa...
  6. BARD AI

    Papa Francis avilaumu Vyombo vya Habari kwa kutoongeza ukweli kuhusu kinachotokea DR Congo

    Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani ambaye yuko katika ziara inayomalizika Februari 3, 2023, amesema Ukatili wanaofanyiwa Wananchi kimevuka mpaka na ni lazima kikomeshwe. Kauli hiyo inafuatia Wahanga wa Machafuko ya Kivita wengi wao wakiwa wamekatika viungo vya mwili, kupita mbele ya...
  7. The Sunk Cost Fallacy 2

    Papa Francis: Mapenzi ya Jinsia Moja siyo Kosa, siyo Uhalifu, lakini ni Dhambi

    Hello Wadau. Papa Francis wa RC ya Vatican ameupiga mwingi kwa kuunga mkono ushoga na kusema mashoga siyo wahaliifu, na kwamba ni wana wa Mungu pia.🙄🙄 Haijaeleweka mara moja ikiwa huu ndiyo msimamo wa Kanisa Katoliki au ni maoni binafsi ya Papa Francis. Commets ziwe fupi fupi tafadhali. Video...
  8. BARD AI

    Vatican: Papa Francis asema hali ya Papa Benedict XVI ni mbaya, aomba watu wamwombee

    Katika taarifa yake, Kiongozi huyo Mkuu wa Kanisa Katoliki ameomba watu kumkumbuka katika Sala Maalumu ya kumtakia afya njema #PapaEmeritusBenedict ambaye alijuzulu Februari 2013. Benedict ambaye jina lake halisi ni Joseph Ratzinger alitangaza kuwa hali yake kiafya imetetereka na kuamua kuachia...
  9. JanguKamaJangu

    Papa Francis alaani njaa ya mali, madaraka vinaharibu Dunia

    Akitoa salamu zake wakati wa kusherekea Sikukuu ya Krisimasi amesema hali hiyo ndiyo inachafua Dunia, kicha ya kutotaja kwa majina lakini inaaminika alikuwa akizungumia vita inayoendelea kati ya Urusi na Ukraine. "Matukio ya vita ni mengi, waathirika wakubwa ni wanyonge na walio katika...
  10. BARD AI

    Je, Wajua Barua ya kujiuzulu kwa Papa Francis iko tayari tangu mwaka 2013?

    Kiongozi huyo wa Kanisa la Katoliki lenye Waumini zaidi ya Bilioni 1.3 alisaini Barua ya Kujiuzulu baada tu ya kuteuliwa kushika Wadhifa huo na inasubiri tu augue kiasi cha kushindwa kutekeleza Majukumu yake ili aondoke Madarakani. Papa Francis aliyetimiza miaka 86 Desemba 17, 2022 aliikabidhi...
  11. Girland

    Tetesi: Papa Francis akutana na Kiongozi wa Jesuits kujadili masuala ya LBGTQ

    Papa Francis Jana tarehe 11.11.2022 alikutana na kufanya mazungumzo na Fr. James Martin, ambaye ni kiongozi kutoka jumuiya ya Jesuits.Mazungumzo hayo ya dakika arobaini na tano yaliangazia jamii ya mashoga (LBGTQ). ikumbukwe kuwa mwezi May mwaka huu, papa Francis alinukuliwa akisema "God...
  12. Sildenafil Citrate

    Papa Francis atuma salamu za rambirambi kufuatia ajali ya Precision Air

    Katibu Mkuu wa Vatican, Kadinali Pietro Parolin, kwa niaba ya Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametuma salamu za rambirambi kwa watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia ajali mbaya ya ndege ya Precision Air iliyosababisha watu 19 wapoteze uhai. Papa Francis ametoa...
  13. The Evil Genius

    Papa Francis aonya Mapadri, Watawa kuangalia video za ngono

    Papa Francis amekiri kwamba pornography ni tatizo kubwa kwani hata Mapadri na Sisters ni wapenzi wakubwa sana wa kuangalia hizo video. Papa amesihi viongozi hao wa dini kuacha kuangalia ngono za mitandaoni kwani hapo ndio njia ya shetani kuwaingia. =====/ Pope Francis has warned priests and...
  14. Webabu

    Papa Francis asema kuipa silaha Ukraine inakubalika kimaadili lakini majadiliano ni muhimu

    Hatari sasa inakuja baada ya papa Francis kutoa tamko kuwa ni jukumu la nchi kuipatia Ukraine silaha ili ijikomboe kutokana na uvamizi wa Urusi. Hayo aliyasema juzi kwa waandishi wa habari akiwa kwenye ndege yake kutokea ziarani nchini Kazakhstan. ======== Jana Alhamis Papa Francis amesema...
  15. Kennedy

    Papa Francis Azungumzia Tena Suala La Kujiuzulu

    Papa Francis Amesema Anaweza Kuachia Cheo Chake Kutokana Na Kusumbuliwa Kiafya Hasa Goti Lake Ikiwa Atafanya Hivyo Basi Atafuata Nyayo Za Mtangulizi Wake Papa Benedict Ambaye Alipojiuzuru Nafasi Hiyo Kwasasa Anaishi Vatican Ingawa Papa Francis Tangu Aapishwe Amekuwa Akisema Endapo Kazi...
  16. JanguKamaJangu

    Papa Francis aomba radhi kwa kusitisha ziara ya Afrika

    Papa Francis ameomba radhi kwa watu wa Jamhuri ya Demokrasia ya Congo na Sudan Kusini kwa kusitisha safari yake ya kufanya ziara katika nchi hizo kutokana na matatizo ya kushindwa kutembea. Kiongozi huyo wa Vatican alitangaza kusitisha ziara yake hiyo ya Julai 2-7, 2022 kutokana na tatizo la...
  17. Uzalendo wa Kitanzania

    UTEUZI: Papa Francis ateua Makadinari Wapya 21

    Orodha ya walioteuliwa imeambatanishwa Jan-Marc Aveline, archbishop of Marseille, France Peter Okpaleke, bishop of Ekwulobia, Nigeria Leonardo Ulrich Steiner, archbishop of Manaus, Brazil Filipe Neri Antonio Sebastao di Rosario Ferrao, archbishop of Goa and Damao, India Robert Walter McElroy...
  18. JanguKamaJangu

    Papa Francis aongoza viongozi Duniani kuwalilia watoto waliouawa Texas

    Baada ya tukio la watoto 19 kuuawa kwa kufyatulia risasi Texas, Marekani, viongozi mbalimbali Duniani wameomboleza vifo hivyo wakiongozwa na Papa Francis ambaye amesema amesikitishwa na mauaji hayo. “Nimeumizwa sana na mauaji haya katika shule ya msingi, nawaombea watoto hao na watu wazima...
  19. JanguKamaJangu

    Papa Francis aomba kukutana na Putin, achuniwa

    Picha ya Maktaba, Rais Vladimir Putin (kulia) alipokutana na Papa Francis, Vatican mnamo Julai 4, 2019. Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis amesema kuwa aliomba kukutana na Rais wa Urusi, Vladimir Putin ili kumshawishi kumaliza vita dhidi ya Ukraine lakini hajapata majibu. Papa...
Back
Top Bottom