panya

Panya (Russian: Панья) is a rural locality (a village) in Leninskoye Rural Settlement, Kudymkarsky District, Perm Krai, Russia. The population was 11 as of 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. PostGE2025 Askofu Ruwa'ichi: Mkiua nyoka wote, panya watawasakama mpaka kieleweke

    Katika Adhimisho la Misa Takatifu ya hija ya WAWATA Jimbo Kuu la Dar es Salaam iliyofanyika Disemba 6, 2025 Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap amesema nyoka anawasifu wa kuhifadhi mazingira na kuleta uwiano lakini...
  2. PostGE2025 Haiwezekani unaiba kura halafu unakuja na maridhiano. Unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza, hatutakubali tunataka nchi yetu

    Haiwezekani mtu unaiba kura alafu unakuja na maridhiano yani unakuwa kama panya anakutafuna alafu anakupuliza hatutakubali tunataka nchi yetu. Wananchi sisi tumesha mkataa kabisa kabisa tunataka nchi yeetu yetu kwa gharama yoyote ile. waliiba kura na kutunajisi makusudi na kwa kiburi.
  3. Njia liyotumika kudhibiti panya road nchini hiyohiyo itumike kudhibiti maandamano

    Wote tumeona Sasa panya road wanakuja kwa njia ya maandamano tunaomba wadhitiwe vikali haiwezekani mtu uishi kwa kuiba na kuharibu Mali za watu ambazo wamezipata kwa jasho Kali na Mali za nchi yetu wakati nguvu unayo. So mbinu iliyotumika kudhibiti panya road hyohyo itumike kudhibiti maandamano.
  4. Mimi ninachojua ni kwamba PANYA ROAD ndio walioandamana tarehe 29 -31 OCT. 2025

    Hawa panya road wapo waliokosa kabisa elimu na wapo wenye elimu ingawa ni wachache sana. Hawa panya road wengi wao wanafanya kazi zisizo rasmi na wengine hawana kazi kabisa. Ni vijana waliolelewa mazingira kama ya watoto wa bata. Lake Oils pekee wamechomewa vituo vya mafuta 38, zipo kampuni...
  5. C

    Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  6. Mwambieni Gerson Msigwa wakati wake unakuja. Polepole alikuwa na vyeo vikubwa kumshinda lakini leo ni kama panya buku sembuse yeye mshika maiki?

    Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
  7. Full Video: Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge hadi jinsi ya kuwala

    Maandalizi na Mapishi ya Nyama ya Panya na Kenge. Ukishaonja nyama ya panya huachi. Kenge ndo mtamu balaa Mdau hapa kaweka video hatua kwa hatua ya Uandaaji wa nyama ya Kenye hadi jinsi ya kumla
  8. R

    Panya kugundua mabomu Cambodia

    Wengine panya huwapa hofu, lakini huko Cambodia, viumbe hawa wamekuwa msaada mkubwa usioepukika Panya wa Kiafrika aina ya giant pouched rats hupita kwa ustadi kwenye mashamba wakitafuta harufu ya TNT kemikali inayotumika kwenye mabomu mengi na mabaki ya vilipuzi. Mara wanaponusa, huashiria kwa...
  9. Hivi paka Dar wana shida gani? Yaani paka anakimbizwa na panya?

    Hii ni maajabu, yaani paka anapigwa na panya hadi ana kimbizwa 🤣, niko hapa kariakoo naona paka kapigwa na panya na kukimbizwa juu,hasa najiuliza panya akimkamata paka atamla au? siamini nachokiona. Hii ni kwa paka wa Dar tu au hata wamikoani wameanza tabia hii ya kuchekesha?
  10. Panya wamenishinda, kuna dawa kiboko ya kumaliza changamoto hii ya panya?

    Wakuu habari, naomba msaada. Nimechoka kupretend kuwa sina shida, ukweli ni kwamba nimelemewa na panya nyumbani. Nimejaribu kila aina ya dawa — nimenunua dawa nyingi tu zikashindwa, nikaelekezwa ninunue zile zilizochorwa dagaa na panya, nikaambiwa nikiboko — lakini wapi wanakula dagaa bado...
  11. Kukubali kuliwa na Panya ndio ujinga

    "Usijiite mjinga hadi pale panya atakapokushinda akili na kukula ukiwa hai. Kufikia hatua hiyo, hautakua na haja ya kuuliza "wewe ni mjinga au sio". 😂😂"— Alloyce, P.R.
  12. Z

    CCM tuache kugombana na Panya, miradi yakitaifa tuliyotekeleza inatosha kutuaminisha kwa wananchi

    Tuliahidi tukatekeleza 1. SGR from Dar To morogoro: usafiri umerahisishwa sana.Biashara zinasonga sana 2. Bwawa la Nyerere : mgao wa umeme umekwisha kabisa 3. Daraja refu kabisa africa ,kigongo busisi aka JPM brigde : kitovu cha utalii wa luingiza fedha za kigeni,usafiri umerahisishwa sana...
  13. Panya 100 Wafuzu, waenda Ughaibuni kufanya kazi

    Waziri wa Elimu, Sayansi, Teknolojia Prof.Adolf Mkenda amesema kupitia mradi wa kufundisha wanyama (APOPO) hususan Panyabuku wa Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo(SUA), panya 100 wamefundishwa na kufuzu na kupelekwa nchi mbalimbali. Akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara hiyo...
  14. S

    Kenya isilinganishwe na Tanzania, Rais anaweza kuuawa kama Panya? Uganda na Rwanda ni nchi za kujifunzia. Kenya ilikuwa ya Moi

    Kuna wapumbavu wanalinganisha great nation na Kenya, ni aibu. Watanzania jifunzeni kdg, historia ya nchi yetu tofauti kabisa na Kenya. Sisi msimamo wetu kuiokoa Afrika wakati wakenya walikuwa wanainjoy mali za waingereza. Two different things. Nchi yetu ardhi ni mali ya serikali. Km wakenya...
  15. Kisa cha panya na hali halisi ya siasa za Tanzania

    Siku moja panya katika pita pita zake nyumbani kwa binadamu(chumbani),aliona kitu na haraka akang'amua kuwa ulikuwa mtego(alishawahi kuona kitu kama hicho kimenasa wenzake nyumba tofauti tofauti na akahudhuriq mazishi...mtego ulikuwa mbaya haukuacha manuscript Kwa hofu alienda kumdokeza kuku...
  16. Hawa panya hawakuwa wa kawaida kabisa !

    Kuna mambo yanashangaza . Wakati naishi uswahilini , nilipanga Eneo moja ndani ya chumba kulitokea panya ambao hawakujulikan wanatoka wapi. Ila story ilipo ni hii hao panya walikuwa wadogo sana na walikuwa hawakui kabisa zaidi ya mwaka mzima. Nilikuwa nikiwatega siwapati Nilichofanya...
  17. Simba hii kuna watu walikuwa wanawaita Panya Road!

    Binadamu tumeumbwa kusahau. Nikikumbuka majigambo ya baadhi ya timu mwanzoni mwa msimu huu, nabaki kusema acheni Mungu aitwe Mungu. Zilitungwa nyimbo za "Uto hii unaifungaje", wakaapa hata waje malaika watafungwa tu. Wakaiita Simba na wachezaji wake Panya Road, just imagine mnaitwa Panya...
  18. Ommy Dimpoz kamfanya nini Tajiri GSM hadi hivi sasa hawaelewani, kawekwa Benchi na wamekuwa Paka na Panya?

    Mlioko Tanzania tafadhalini si vibaya kama mkatujuza Sisi tulio mbali nanyi katika hili Sakata ambalo limeshika Kasi mno.
  19. Panya wa Kichina wamevamia Dar es Salaam. Hawali sumu yao pia wanajua mtego. Serikali itusaidie

    Kuna panya wamevamia Jiji la Dar Es Salaam. Hawa panya hata uwatege kwa sumu ya panya hawali. Wanajua mitego yote ya panya. Na ukimfuata bila tahadhari anakurukia kukung'ata. Huwezi kuwanasa labda uwapige na nyundo au fimbo. Inadaiwa ni panya wa Kichina na Wametoka China. Wanapiga kelele...
  20. Ukitaka kuua panya, kunguru au paka tumia Energy Drink

    Kama unasumbuliwa na panya waharibifu loweka nafaka mfano karanga, mahindi, nk kwenye kinywaji cha energy drink yoyeto iliyochemshwa, kisha weka kwenye njia zao wakila tu hawachukui round utaokota mizoga. Hata paka au kunguru we loweka nyama au samaki kwenye energy kisha weka sehemu atakayoweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…