panga

Panga or panga seabream is the common South African name for Pterogymnus laniarius, a small, ocean-dwelling fish, native to the southeast Atlantic Ocean and southwest Indian Ocean. Alternatively called "torpedo scads", they are cold-blooded with white flesh. Their scales are generally pink in color with whitish underbelly and blue-green stripes running laterally along their sides.
Over the course of its life, a panga will undergo periodic sex-changes with as much as 30% of the population being hermaphroditic at a time. Despite the presence of both sex organs, it is thought unlikely that both are simultaneously active. Panga are slow to reach sexual maturity, with a minimum population doubling time of 4.5–14 years.
In other countries, the name panga may refer to a different species. In Indonesia, it refers to Megalaspis cordyla, in Spain, France, the Netherlands and Poland it refers to Pangasius hypophthalmus, and in Kenya it refers to Trichiurus lepturus.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Attack on police station leaves one suspect dead

    One person has been shot dead after a group of suspected attackers armed with pangas raided Bugoye Sub-County Police Station in Kasese District early Thursday morning. The incident occurred at around 2am on October 1, 2026, when about six people reportedly attacked the police station and...
  2. JamiiForums Tanzania Tahadhari unapotea Mwananyamala. Je mmesikia habari ya kijana wa Kinyasa aliyeua watu wanne kwa kuwakata kwa panga?

    Huko Mwananyamala kuna kijana wa Kinyasa, mpaka sasa ameshawaua watu wanne kwa nyakati tofauti na mpaka sasa hajakamatwa. Ukiwa pande hizo hakikisha unatembea kwa tahadhari ya hali ya juu.
  3. JamiiForums Tanzania Kisa: Nilivyo fukuzwa kwenye nyumba niliyo panga kwasababu ya nanii

    Kwanza nilikua bize sana ndiomaana sikuleta mrejesho wa tukio lililo nipata wiki iliyopita..... Kile chumba nilichokua nimepanga hakikua na dari juu, sasa wapangaji wenzangu (mke na mumewe) walikua wakifanya mambo yao nasikia, ila walikua wanawasha radio kwa sauti ya juu hata usiku wa maneno...
  4. JamiiForums Tanzania Is he in the "House Arrest?". Haiingii akilini, kaachia ngazi mwenyewe kwa hiari lakini bado kafuatiliwa kwa nyuma na kupigwa panga la uanachama!

    Huyu mwanamke ni hatari aisee.. Kakataa katakata kushindwa kirahisi rahisi na asiye upande wake... Je, inaandaliwa kesi ya uhaini dhidi yake...? Inasemekana alikuwa na mipango ya kumpindua boss wake kwa namna yeyote.. Rejea makutano yake na TEC mara kwa mara. Then na safari zake za nje ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Panga pangua CCM: Dkt. Migiro kung'atuka, Wasira naye kuondoka

    Chama cha Mapinduzi (CCM), kinatarajia kufanya uamuzi mgumu wa kuridhia kung’atuka kwa Katibu Mkuu wake, Dk Asha-Rose Migiro na kupitisha jina la kada mwingine kushika nafasi hiyo, taarifa zinaeleza. Mbali ya Dk Asha-Rose, taarifa zinaeleza kuwa Makamu Mwenyekiti, Stephen Wasira huenda...
  6. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Panga Thugs arrested in Kawempe

    Police have arrested two suspects in an intelligence-led operation targeting a wave of violent robberies by panga-wielding gangs in Kawempe Division and surrounding areas. The operation, conducted on April 21, 2026, along Tula Namere Road in Wakiso District, followed numerous complaints from...
  7. JamiiForums Tanzania Panga pangua ya baraza la mawaziri ni ushahidi kuwa serikalini mambo si sawa

    Hakuna watu ninawaonea huruma kama wateule wa rais hasa mawaziri. Anayeteua amechanganyikiwa sawa na wale anaowateua. Simbachawene aliongea anayopaswa akaishia kutemwa. Kwa utawala huu, hata ukijikomba hauko salama. Usipojikomba hauko salama. Uktenda haki hauko salama. Ukisifia, hauko...
  8. JamiiForums Tanzania Haya Wanajeshi mjipange Sasa, Niliwaonya , Kuna Panga linaenda kupita huko kwenu wanatafuta Wanajeshi wanaounga Mkono Wananchi

    Niliwaandikia hapa https://www.jamiiforums.com/threads/wanajeshi-mnaoungana-na-wananchi-hakikisheni-nchi-inakombolewa-duru-zimethibitisha-samia-akifanikiwa-mtafanyiwa-persecution-ambayo-haijawahi-tokea.2394820/ Hamkua Serious, Sasa na nyinyi Kilio kilekile tulicholia wakati wa Usaliti wenu...
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Youtube wanashida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao?

    Youtube wana shida gani leo au wanasystem wameanza mambo yao? Yaani youtube muda huu imegoma kbs kufunguka au wamezima
  10. S

    JamiiForums Tanzania Mashirika na Miradi inayofadhiliwa na serikali ya Marekani itayoathirika na maamuzi ya Donald Trump

    Tuorodheshe hapa mashirika na taasisi pamoja na miradi inayofadhilwa na serikali ya Marekani ambayo itaathirika moja kwa moja na uamuzi wa serikali ya Marekani chini ya Donald Trump wa kusitisha ufadhili iwe ni kupitia shirika la misaada la Marekani (USAID Tanzania) au vinginenyo. Soma Pia...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu naweza pata feni la panga boi panasonic Kariakoo 56E

    Wakuu za asubuh Nilikuwa napenda kuwauliza kwa maeneo ya Kariakoo wapi naweza pata FENI kubwa la panga boi la kuliweka sebuleni kampuni ya Panasonic au asha care ikiwezekana hata high class. Msaada wenu wakuu
  12. JamiiForums Tanzania Mbeya: Mtu mmoja auawa kwa kukatwa na panga wakigombea goli lilokataliwa uwanjani

    Anyulise Mwamkisu (49) ameuawa kwa kukatwa na mapanga, katika uwanja wa mpira wa miguu wa Kijiji cha Mofwile Halmashauri ya Wilaya ya Kyela, Mkoa wa Mbeya, kulikokuwa na Ligi ya mpira kati ya Nyuki FC na Mofwile FC na kuibuka kwa vurugu baada ya timu moja kushinda goli na kukataliwa, hali...
  13. JamiiForums Tanzania Mwanamke auawa kwa kukatwa na Panga, akatwa titi, akatwa sehemu za Siri.

    Wana Jamvi nimeskia kwamba kule Tabora, Watu watatu wameuawa na kisha kuchomwa moto na wananchi wenye hasira kali wakituhumiwa kumuua Sagali masanja kwa kumkatakata na panga kisha kumkata titi la kushoto pamoja na sehemu za siri na kuondoka nazo tukio lililotokea kijiji cha Mahene Wilaya ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kariakoo: Dereva amtolea panga mwenzake wakigombea njia

    Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake! ================ Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa Sikukuu, jijini Dar es Salaam, wamejikuta katika mzozo mkali wakigombea njia, huku mmoja kati yao akichukua...
  15. JamiiForums Tanzania Kocha mpya unaekuja wa United panga timu yako hivi ili umalize top 6

    Leo kipara ngoto anasepa.
  16. JamiiForums Tanzania Ancelloti kama huko humu ebu panga timu yako hivi

    Umeanza kwa kususua sana na timu haina stability, fanya hivi. Guler, endryk, rodrygo waanzie bench
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kazima simu kisa mpango tulikuwa nayo mwezi huu

    Kuna mwanamke nipo nae kwenye mahusiano kuna mpango tumepanga kila siku nikiongea nae namkumbusha. Sasa jana nime mkumbusha , akanikasirikia kabisa anasema ",nimeshaona kuwa siaminiki wewe mtu kila siku tunaongea mambo hayohayo lakini bado unanisisitizia kiasi ambacho naona kabisa huniamini kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Ashikiwa Panga na Baba yake baada ya kusema anataka kuoa

    Hili tukio limetokea mtaani kwetu bhana, Kuna jamaa this week alienda kuipa taarifa familia yake kuwa anataka kuoa na kumtambulisha mwenza wake kwa familia yao, sasa wakati anaulizwa maswali na Baba yake kuhusu tabia ili wamfahamu vizuri Mkwe wao. Jamaa akasema kuwa Binti anaetaka kumuoa...
  19. JamiiForums Tanzania Wanao Jiuza Dar sio Wale Wanao Panga Msitari Barabarani Kujiuza

    Katika utafiti wangu kuhusu biashara ya ukahaba katika Jiji la Dar es Salaam, nimebaini kuwa picha iliyozoeleka ya wadada wanaopanga mstari barabarani kusubiri wateja siyo halisi kabisa. Ukweli ni kwamba, wanaojihusisha na biashara hii ni wale wanaomiliki au kuendesha baa, pub, na nyumba za...
  20. JamiiForums Tanzania "Mkeka" wa Rais Samia wamuondoa Mkurugenzi wa Bukoba

    Rais Samia Hassan Suluhu amemteua Jacob Simon Nkwera kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba. Kabla ya uteuzi huu, Nkwera alikuwa Afisa Mwandamizi, Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa. Kutokana na uteuzi huo inamaanisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…