pamba

The Pamba River (also called Pampa river) is the third longest river in the Indian state of Kerala after Periyar and Bharathappuzha and the longest river in the erstwhile former princely state of Travancore. Sabarimala temple dedicated to Lord Ayyappa is located on the banks of the river Pamba.
The river is also known as 'Dakshina Bhageerathi'. During ancient times it was called 'River Baris'.
The River Pamba enriches the lands of Pathanamthitta District and the Kuttanad area of Alappuzha District and few areas of Kottayam

View More On Wikipedia.org
  1. Scared

    Tangia nianze mazoezi na kupiga pamba Kali nguo zinanikaa naona mademu wananishobokea sana

    Yaani nilikuaga nikitongoza demu lazima anichomolee Sasa hivi nimeanza mazoezi kitambi kimetoka napiga pamba Kali aisee huwezi amini wakuu mpaka wake za watu wananishobokea nilikua najiona na gundu kumbe ilikua kitu kidogo sana halafu nilichogundua wazee ukimfata demu akiwa na wenzake utoboi...
  2. 05CUBA

    Bitukinao si tu hajali kuhusu TAIFA bali pia hasikii chochote, masikioni kavaa pamba na machoni kavaa miwani ya mbao

    Unaweza kumhukum Bure huyu mtu ila ukijua kwamba uwezo wake wa kufikiri umeishia kuule kwenye ukarani na washauri wake ndo wanamwendesha namna hiyo akiwa kitini basi utapunguza kumuhukumu . Hebu fikiria form four failure alopitia cheti na diploma anawezaje kumanage heavy tasks kama hizo...
  3. Immortal Techniques

    Looking for Cotton Cakes Market; Natafuta Wateja au masoko ya Mashudu ya pamba

    Habarini za wakati huu, Natafuta Wateja/ masoko ya Mashudu ya pamba -anayehitaji aje pm au mwenye connection pia anipe Niko Mwanza.
  4. kadeti

    KERO TANROADS Mwanza tunaomba Barabara ya Pamba road to Mkuyuni mchepuko wa SGR mtukwangulie

    Habari wadau....tunakoishi Mwanza hasa maeneo ya kuanzia Nyegezi na kuendelea mbele njia ya kwenda Shinyanga tunateseka sana na Barabara hiyo hasa mchepuko wa SGR Barabara imejaa mashimo pamoja na mbavu za mbwa (Rasta) kiasi kwamba magari yanakimbia taratibu sana hasa nyakati za asubuhi na jioni...
  5. britanicca

    Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

    Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon , 🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka Britanicca
  6. DuaZaMama

    PreGE2025 Wanasiasa wanatumia bei ya Pamba kisiasa

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais anayeshughulikia Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo, amesema kuwa hoja za kisiasa kuhusu bei ya pamba nchini zinapotosha umma, kwa kuwa tatizo halisi si bei bali ni uzalishaji mdogo wa zao hilo miongoni mwa wakulima wa Tanzania. Akizungumza Jumanne, Juni...
  7. Just Pray

    Luhaga mpina amvaa Bashe, Tuna changamoto ya mnunuzi mmoja katika zao la pamba, hii kesi haijaisha

    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuikosoa vikali Wizara ya Kilimo kwa kuruhusu mfumo wa mnunuzi mmoja katika ununuzi wa zao la pamba, akidai kuwa mfumo huo unaua ushindani na kushusha bei ya mazao ya wakulima. Akizungumza katika mkutano wa hadhara na wananchi wa Mwandoya, Wilayani...
  8. K

    Kwa nini dhana ya ukiritimba(monopoly) utumike kwenye ununuzi wa pamba msimu huu 2025/26?

    Tunajua Tanzania tunatawaliwa na soko huria ambapo kunaruhusiwa ushindani. Juzi Mhe. Mpina aliposhauri kuwa ni kwa nini tunatumia mtindo wa ukiritimba (monopoly) katika ununuzi wa pamba msimu huu alipingwa vikali sana na Mhe. Bashe Waziri wa Kilimo. Mazao mengine kama korosho, ufuta na...
  9. K

    Ikitokea Viongozi wa Pamba Jiji, Namungo, Singida au Mashujaa, GSM ataenda pia kama ilivyo kwa Yanga?

    Salaam Wakuu, Jana katika picha za Rais Samia na viongozi wa Yanga na Simba, Gharib alikuwepo kwa upande wa viongozi wa Yanga, sasa je, siku ikitokea Pamba, Singida, Mashujaa, Namungo na wenyewe wakiitwa huko Ikulu, GSM ataenda kama kiongozi wa hizo Timu? Kama hatoenda, inakuwaje watu...
  10. K

    Kama mwana yanga nawashauri Yanga wacheze dabi na Simba iwe jua iwe mvua Simba haiwezi kuifunga Yanga kwa sasa

    Kwanza mpaka sasa Yanga ndo wanaongoza ligi. Wasiwasi wa nini?. Kwa timu ya Yanga ilivyo sasa hivi kamwe hawawezi kufungwa na Simba iwe jua au mvua. Ninajua Bodi ya Ligi mpaka sasa hawajatoa sababu ya kuhairishwa kwa Dabi ya tarehe 8.3.2025. Naomba tuwasamehe. Yanga ni timu kubwa kamwe kwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Butondo Ashauri Pembejeo za Kilimo cha Pamba Kutolewa Mapema

    MBUNGE BUTONDO ASHAURI PEMBEJEO ZA KILIMO CHA PAMBA KUTOLEWA MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Mhe. Boniphace Butondo ameishauri Serikali kusambaza pembejeo za kilimo cha zao la Pamba kwa wakati ili wakulima waanze maandalizi mapema hali itakayoongeza tija katika uzalishaji wa...
  12. B

    Bashe atangaza kuwaweka ndani Wanasiasa wanaopinga Bei ya Pamba

    Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amewaonya wanasiasa na viongozi kutoka ukanda wa uzalishaji wa zao la pamba kuacha kutumia zao hilo kwa malengo ya kisiasa, akisisitiza kuwa siasa hizo zinachangia umasikini wa wakulima wa pamba na kwamba atahakikisha viongozi hao wanakamatwa na kuwekwa ndani...
  13. B

    Mkulima awahamasisha Wasukuma kumkabili Bashe anguko la bei ya Pamba

    MTANZANIA Mzalendo, Thomas Nkola maarufu Mkulima kutoka Kanda ya Ziwa ametoa wito kwa wakulima wote wa zao la Pamba kuandaa mashambulizi ya kumkataa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kwa kuua zao la Pamba kwa kumtuhumu kuwa ni mnunuzi mkubwa wa zao hilo akishirikiana na baadhi ya wabunge. Kupitia...
  14. uhurumoja

    Kama unapenda mpira fatilia mechi za Pamba Jiji

    Hii team tangu mzunguko wa pili uanze na aichukue baba isaya inapiga mpira jihadi sana ni Raha kuitazama hasa Leo itakapoumana na fountain gate
  15. Sir John Deere

    Paul Kagame: Nashangaa Afrika mashariki tunalima pamba na kuuza Nje ila tunaagiza nguo za mitumba kutoka nje

    Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda. Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame amesikitishwa na kitendo cha Afrika mashariki kuendelea kuingiza nguo zilizotumika maarufu kama mitumba...
  16. Pdidy

    Ifike wakati Simba na YANGA zisifanywe kama vitega uchumi vya chama cha Mpira na BODI yake ya li..mbona mechi na pamba amkuhairisha huo n ujingaaaa!!!

    Shida iliopo n upigaji WIZI Na utapeli Nakuheshimu kama tff na BODI YENU Ila siwaogopi Ogopa DHAMBI ya kuwaogopa watu Kuwaogops wanadamu n kuleta LAANA maishani mwako HAya mambo yafike wakati yafike fiffa na caf tupate uhalisia WA matumizi ya kanuni na sheria za tff Haiwezekani wewe UNAWEKA...
  17. Damaso

    Pamba Jiji yapata ajali

    Basi la wachezaji wa Pamba Jiji FC limepata ajali katika eneo la Bahi mkoani Dodoma majira ya saa 11 alfajiri wakati kikosi hicho kikiwa safarini kutoka Bukoba kuelekea mkoani Morogoro kwa ajili ya mchezo wa Kombe la CRDB Federation dhidi ya Kiluvya United Machi 11, 2025. Taarifa iliyotolewa...
  18. Braza Kede

    Je una habari pamba jiji fc imewahi kuongoza ligi msimu huu?

    Ndio, ni ligi hiihii ya futbol kwa mwaka 2024/2025. Najua wazee wa ligi watabisha. Lakini ndoivo chukua chuma hicho [kwa sauti ya zomboko].
  19. kipara kipya

    Ni muendelezo wa utapeli wa soka bongo pamba jiji na yanga matokeo yamekwisha pangwa..hakuna mpira...

    Kama ulivyokuwa utapeli wa singida,kmc,mashujaa na leo tunakwenda shuhudia muendelezo ule ule wa mfadhili mkuu wa yanga kwenda kuweka fedha yake kwa klabu anayoidhamini eti bonasi ni upuuzi na matusi makubwa kwa mpira wa bongo na muuendelezo wa kuwaona watanzania hawana uwelewa..ujinga tu ndio...
  20. Labani og

    Pamba yaahidiwa 100million na GSM kama itaifunga Yanga

    [emoji599] Taarifa kutoka jijini Mwanza; Mdhamini Mkuu wa Pamba Jiji, GSM ametoa ahadi ya kitita cha Sh milioni 100 kama hamasa kwa wachezaji wa Pamba kuibuka na ushindi dhidi ya Yanga hapo kesho kutwa Ijumaa. Sasa endeleeni kusema Yanga inapitia kwenye slope.....wakati wapinzani wake wanapewa...
Back
Top Bottom