The Pamba River (also called Pampa river) is the third longest river in the Indian state of Kerala after Periyar and Bharathappuzha and the longest river in the erstwhile former princely state of Travancore. Sabarimala temple dedicated to Lord Ayyappa is located on the banks of the river Pamba.
The river is also known as 'Dakshina Bhageerathi'. During ancient times it was called 'River Baris'.
The River Pamba enriches the lands of Pathanamthitta District and the Kuttanad area of Alappuzha District and few areas of Kottayam
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe amesema Mnunuzi yeyote anapochukua Pamba katika Chama cha Msingi, ni lazima Mkulima awe amelipwa ndani ya muda usiozidi saa 48, na watakaoenda kinyume watafutiwa Leseni.
Kauli yake imekuja baada ya Mbunge Robert Maboto kuhoji ni kwa namna gani Wizara...
Mbunge Stanslaus Nyongo amesema licha ya zao la Pamba kulimwa katika mikoa kadhaa Nchini ikiwemo Simiyu na Shinyanga, Uzalishaji wake umekuwa na kelele kwasababu ya kukosa soko la kudumu
Akiwa Bungeni amesema, "Mkulima wa Pamba ananyanyasika miaka yote. Sisi kwetu Pamba imebadilika, limekuwa...
Tokea ale Kiapo chake hakuna Nguo anayovaa isimpendeze na hata isivutie Machoni mwetu Wazee wa Kuchunguza na Kudadisi kila Kitu.
Siyo Siri Nguo alizokuwa akizivaa alipokuwa Makamu zilikuwa hazina Mvuto na zilizidi Kumzeesha Mithili ya Bibi Kizee mwenye Mkongojo wake.
Halafu naona hata Usoni...
Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, amesema katika msimu wa zao la pamba mwaka huu 2020/21, hakuna mkulima yeyote atakayekatwa pesa za mbegu na viuatilifu.
Alitoa kauli hiyo jana katika kikao cha wadau wa pamba nchini kilichofanyika mjini Bariadi katika Mkoa wa Simiyu.
Alisema katika msimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.