palestina

  1. The Zanzibar Echo

    Hamas inashauriana na vikundi vingine vya Palestina juu ya mpango wa kusitisha mapigano

    Hamas inasema inashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kabla ya kutoa jibu rasmi kwa pendekezo la hivi punde la usitishaji vita upya huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka lililotolewa na Marekani. Rais Donald Trump alisema Ijumaa asubuhi kwamba alitarajia kujua ndani ya saa 24 ikiwa Hamas...
  2. Ritz

    Netanyahu; Malengo yake ya vita Iran kashindwa, ameshindwa tena Palestina amerudi kukaa meza moja na Hamas kamaliza vita

    Wanaukumbi. Rais Trump siku ya Jumapili alitoa wito wa makubaliano kuhusu vita vya Israel huko Gaza na mateka wanaoshikiliwa katika eneo hilo waachiliwe. "FANYA MAKUBALIANO NA GAZA. RUDISHA MATEKA!!! DJT," Trump alisema katika chapisho la mapema asubuhi kwenye Ukweli wa Jamii. Malengo ya vita...
  3. Echolima1

    Kwa nini Israel haitaki iwepo palestina? Sababu halisi!

    Trump ameripotiwa kujaribu kuzishawishi nchi kama Indonesia, Jordan, Misri, Albania, Lybia, Somalia, Somaliland na nyinginezo kuwachukua Wapalestina, lakini hakuna hata mmoja kati yao aliye tayari. Na kwa uaminifu kutaka kuwachukua wapalestina hao, inashangaza sana Popote ambapo idadi kubwa ya...
  4. Lord Denning

    Sio kwa Ubaya: Ndugu zetu wako nyuma sana kwenye kupambania Ukweli. Ndo mana wameizunguka Israel ila Palestina anapigwa kila siku na wao wapo tu

    Kizazi cha ndugu zetu kilichokuwa na akili kidogo ni kile cha kina Gamal Abdel Nasser aliyekuwa Rais wa Misri miaka ya 1960. Kizazi hiki ndo the Golden Generation ya hawa ndugu zetu. Pamoja na unyonge ila waliweza kusimamia kweli na kuitetea kweli. Waliisimamia Palestina dhidi ya Israel hadi...
  5. U

    Tetesi Mama mzazi wa Rais wa Mamlaka ya Palestina, Mahmoud Abbas, ni Myahudi

    Wadau hamjamboni nyote? Ndiyo maana rafiki wa Mayahudi Ni tetesi mwenye taarifa kamili aje atujuze. Tazama taswira yake
  6. Echolima1

    Hivi ndivyo vijana Waarabu wa "Palestina", Walivyokosa adabu!!!

    Hivi ndivyo vijana Waarabu wa "Palestina", ambao wengi wenu mnawaunga mkono, huwatendea mbwa na kukosa adabu kwa wazee katika jamii zao. Bila kuchokozwa kabisa vijana hawa walio kosa adabu wali pigwa na kumuua mbwa wa yule mzee kana kwamba sio kitu na bado wanagombana naye. Hawa ndio washenzi...
  7. Nyani Ngabu

    Mwakilishi wa Palestina Umoja wa Mataifa aangua kilio!

    Inatia simanzi kwa kweli! Wote waliosababisha hayo madhila ya sasa, walaaniwe milele [if there’s such a thing]. Hamas are no heroes. They are suckers and losers. Yahya Sinwar and Co. are punks and deserved everything they got and then some. What kinda hero puts their people through such...
  8. Fbn

    Kuna sheikh mmoja huko Kenya Izudin baada ya sakata la Kenya na Tanzania anasema wanaharakati waache ila anajisahau kudai haki za Palestina

    Hata Idd Amin alitaka haki kwa kuwafanya wajinga waislamu. Huyu anakwambia wanaharakati wanamakosa ila hapo hapo ndio mtu wa kwanza kulalamika palestina na waislamu wanaonewa. Alitaka wanaharakati majini au
  9. Ritz

    Hamas Kuwaachilia Mateka 9 kwa Mabadilishano ya wafungwa 300 wa Palestina kusitisha mapigano Gaza kwa siku 60

    Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Hamas aliiambia CNN Jumapili kwamba kundi hilo liko tayari kuwaachilia mateka saba hadi tisa wa Israeli ili kubadilishana na usitishaji mapigano wa miezi miwili huko Gaza na kuachiliwa kwa wafungwa 300 wa Kipalestina. Mkataba uliopendekezwa pia utahitaji Vikosi vya...
  10. Komeo Lachuma

    Rais wa Mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas. Awaita Hamas ni watoto wa Mbwa

    Kama Hamas ni watoto wa Mbwa, Basi maana yake Hamas ni Mbwa? Kwa nini Mahmoud Abbas anasema hivyo? Je kama hawa Hamas ni Mbwa na ndugu zao je? Maana wana watu ambao huwa wanawatetea na wao wanaishi huku Tandale kwa Tumbo na Mburahat wanasemaje...
  11. Echolima1

    Mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih aliyeandamana na Magaidi wa Hamas Oct 07,2023 kuvamia Israel aangamizwa.!!!

    Kulingana na ripoti kutoka Gaza, mwandishi wa habari wa Palestina Hassan Aslih, anayejulikana kwa kuandika shambulio la Hamas la Oktoba 7 na kuwa na uhusiano wa karibu na Hamas, aliuawa katika shambulio la anga la Israel katika Hospitali ya Nasser huko Khan Younis. Alikuwa amelazwa hospitalini...
  12. S

    Tumetoka Ukraine tukahamishiwa Palestina, sasa tunaelekea kwa Wahindi - TAHADHARI

    Mkiona hawa wazungu wanajidai kuingia siasa za ndani, sio kwamba wanatupenda wanatafuta mtaji wa kupata au kuongeza nchi katika kundi lao na baadae watumie kundi hilo kuwepo mstari wa mbele vita ikianza. Hawa wanaokuja kusema asinyongwe mtu kwani nani aliwaambia kuna mtu atanyongwa ,akili...
  13. R

    Niliuliza jina la mfalme wa Palestina kabla ya 1948, hakuna alieweza ! Naongeza dau milioni 2 mtaje himaya ya wapalestina iliyokuwepo kabla ya 1948

    Niliweka humu uzi wa kugawa milioni 1 ikiwa kuna mtu atataja hata kiongozi mmoja tu wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa palestina (kama ilikuwepo) hakuna hata moja kaweza Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin al-Husayni” Hata hivyo huyu hakuwa kiongozi wa kitaifa wa Palestina...
  14. R

    Naweka milioni moja mezani , Taja mfalme au kiongozi wa Kiarabu wa nchi inayoitwa Palestina kabla ya 1948

    Kama kuna mtu atataja kiongozi wa kiarabu aliewahi kuongoza nchi inayoitwa Palestine kabla ya 1948, kuna milioni 1 yako Kuna watu wamekuwa brainwashed sana kuamini huo uongo tajeni viongozi wa hio nchi mnayodanganywa ilikuwepo kabla ya 1948 Watu waliojaribu kwa mbali wamemtaja “Haj Amin...
  15. Lord Denning

    Ukiwaangalia Wanavyoshupaza shingo kutetea Palestina asionewe na Israel alafu ukiona Wanavyotetea Wauaji CCM utaelewa hakuna Masheikh pale.

    Dini ya kweli ni Dini inayosimamia kweli na haki. Dini ya kweli ni dini inayosema kweli haijalishi kweli hiyo inaumiza au inafurahisha. Viongozi wa Dini wa kweli ni Viongozi wanaosema ukweli wa Mungu bila kuogopa utawapendeza au kuwafurahisha Watawala. Viongozi wa kweli wa Dini ni wale...
  16. Echolima1

    Rais wa mamlaka ya Palestina Mahamdu Abbas awasili Syria kwa mazungumzo na Rais wa Syria

    Rais wa mamlaka ya palestina Aranyaka ziarna ya kute Bełda Syria na kukaririshwa na Rais wa nchi hiyo.
  17. Mhaya

    MDAU: Kwanini ni nadra kuona watu wakipeperusha bendera ya Palestina kwenye nchi za Uarabuni tofauti na wanavyofanya Ulaya au Marekani?

    Katika pitapita zangu nikakutana na hii video jamaa anamuuliza mdau mwingine kuwa kwa nini Hawa wafuasi wa Palestina na Uislamu hawawezi kupeperusha bendera ya Palestina wakiwa kwenye mataifa ya Kiislamu kama Dubai (UAE), Saudi Arabia, Qatar, na kwingineko, lakini wanafanya hivyo wakiwa nchi...
  18. Webabu

    Nchi zinazoitambua Palestina kama taifa zazidi kuongezeka japo hawajaweza kuzuia mipaka yake isifutwe na pIa raia wake wasiuliwe mbele yao

    Historia ya kutambuliwa kwa taifa la Palestina ni ndefu sana na kila siku orodha imekuwa ikiongezeka.Kati ya wanaolitambua taifa hilo ni pamoja na mamlaka ya kikatoliki duniani ya Holy See. Mwanzoni kabisa ilikuwa ni mataifa 20 tu mnamo miaka ya 1980 na baadae yakafuatia mataifa 12 yaliyomegeka...
  19. gallow bird

    Ndege vita,drone na helikopta za Israel zilipopolewa Lebanon na Palestina

    Ndege vita/jet na drone zilianguka Lebanon, israel ikijitetea kuwa ni tatizo la kiufundi Wakati huohuo helicopter ilianguka huko gaza na kuua askari wawili wa israel,utetezi wao ni ule ule, tatizo la kiufundi https://www.jpost.com/breaking-news/article-849513
  20. Bams

    Israel yatangaza itachukua Ardhi yote ya Palestina kama Hamas hawataachia Mateka

    Waziri wa Ulinzi wa Israel ametangaza kuwa Israel itatumia nguvu zote za kijeshi na kiraia kuwalazimisha Hamas kuwaachilia mateka inaowashikilia. Waziri huyo wa Ulinzi wa Israel ameliagiza jeshi la Israel kuteka ardhi zaidi ya Wapalestina, mpaka hapo Hamas watakapowaachilia mateka. Waziri Katz...
Back
Top Bottom