padre kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima akumbushia matukio ya Oktoba 29 asema 'kesi za uvunjaji wa haki za binadamu hazifutiki'

    Padre Charles Kitima anasema aliyetumwa, aliyetoa mamlaka kupiga risasi akijua kabisa ni kinyume cha sheria atawajibishwa tu ni suala la wakati. Anasema masuala ya kesi za kibinadamu hayafutiki!! Soma Pia: PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista
  2. Pdidy

    Huwezi kumuelewa Padre Kitima mpaka ukutane nae

    Huwezi kumuelewa Padri Kitima kama bado hujakutana na Changamoto ya wasiojulikana mbali na mengine yote huyu Mzee ni hazina ya Taifa alindwe kwa wivu Mkubwa,, Japo ni mwiba kwa watawala ila ni alama ya msimamo juu ya uanaume na maamuzi magumu huitaji kutumia nguvu kubwa kama unafungua bolt za...
  3. R

    Kanisa Katoliki mnakwenda wapi? Mmesahau kipigo cha Padre Kitima

    Mnashirikiana nao vipi katika mazishi haya ya Kardinali Pengo? Sisemi mjenge uadui na serikali, hapana. Ila msiwahusishe, waje kama waombolezaji wengine na wapewe kiti cha mbele , lakini si wabeba msiba. Msiwasafishe kwa ya 29/10. Kesho hamtawakemea wakitenda maovu
  4. R

    Ujumbe wa Leo: Wizi wa kura ni Chukizo kwa Mungu by Padre Kitima

    Huu ndio ujumbe wa Leo Msikilize
  5. Heparin

    Padri Kitima: Wakatoliki tuna sheria nzuri sana, ukitaka kumtuhumu Kitima anzia kwa Paroko. Ukianzia kwa Papa utarudishwa kwa Paroko

    Akizungumza wakati wa Misa ya kumuombea na kumuaga Marehemu Mariam Kessy aliyekuwa Mwenyekiti wa CPT Taifa, Padre Dakta Charles Kitima, Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki Tanzania alisema: "Sisi kwenye Kanisa Katoliki wewe ukiwa na shida yoyote hata kama ukiwa unataka...
  6. THE BIG SHOW

    Kwa kauli hii ya Padre Kitima nimeamini kuwa kweli Kanisa Katoliki ni sikio la kufa

    Friends and Our Enemies... Lets get ready to rhumble,as ancient philosopher Dante used to say 'How you do anything is how you do everything' Kitima anazidi kututhibitishia validity ya hiyo kaul ya Dante ya kwamba wao kama Taasisi ni sikio la kufa na wamegoma kabisa kusikia dawa. Kitima who...
  7. Just Pray

    Matata: Padre Kitima siyo mshauri wa CHADEMA, Mchange ana uwezo mdogo wa kufikiri mpuuzeni

    “Father Kitima siyo mshauri wa Chadema kama anavyosema Mchange, Uwezo wa Mchange wa kufikiri ni Mdogo hivyo mpuuzeni” Adv. Matata
  8. upupu255

    POTOSHI Pichaa hii ya Padri Kitima na John Heche walipofanya mazungumzo Januari 06, 2026

    Wakuu hii picha inasambazwa kwa kasi sana mtandaoni leo inasemekana kuwa Padre Kitima na John Heche walikutana na kufanya mazungumzo Januari 06, 2025. Je, ni kweli? i
  9. DuaZaMama

    PostGE2025 Padre Kitima: Nilishauriwa na watu nisiende kumzika Jenista

    Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku akimshukuru aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Baraza hilo Padre Dkt. Chesco Msaga C.PP.S kwa kuwa msaada kwake...
  10. Mkalukungone Mwamba

    PostGE2025 Padre Kitima: Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre Chesco

    Padre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre." Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani, ameagwa leo Ijumaa tarehe 19/12/2025 katika Kikanisa kilichopo...
  11. Stuxnet

    Padre Kitima aitumia TEC vibaya

    Kuhusu maandamano maalum, hakuna tamko la TEC au Kitima la kuwonya vijana kutofanya maandamano yaliyokatazwa ya Oktoba 29, 2025. Badala yake, baada ya vifo, Kitima alisema "vijana wanataka mabadiliko," na kuwataka wajibu. Pia, kuhusu maandamano yanayopangwa Desemba 9, 2025, hakuna onyo lolote...
  12. Carlos The Jackal

    Tutarajie Masheikh katika kiwango Chao Cha juu Cha Ujinga kuanza kumshambulia The Genius Mjumbe Wa Mungu Padre Kitima

    Yaan Muue watu, Muendelee Kudanganya. Muendelee KUTEKA. Muendelee Kuua . Hamtaki kutupa Miili yetu tuzike Kwa heshima. Muendelee kushikilia watu kwa kesi za Uongo. Hiii inaitwa Tunakupiga Kila Kona !!. Dec 9 Maandamano yako palepale !!.
  13. Just Pray

    PostGE2025 Padri Kitima amkana Mwigulu, asema tulikuwa na mazungumzo binafsi si ya TEC

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, amesema kikao chake na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, kilichofanyika Novemba 20, 2025 katika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni mkoani Dar es Salaam kilikuwa cha binafsi...
  14. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima: Rais aliwahi kusema huwezi kuwa Polisi halafu ujichunguze. Kwanini sentensi hii isiongelewe leo?

    Katibu mkuu wa baraza la maaskofu katoliki Tanzania padre Dkt. Charles Kitima amesema kuliwahi kutokea tatizo la polisi Mtwara 'Rais akasema huwezi wewe kuwa polisi umefanya hivi halafu ujichunguze' huku akihoji kwanini sentensi hiyo isiongelewe leo? Pia amehoji serikali kuunda tume ya...
  15. R

    PostGE2025 Padre Kitima: Mwenye dhamana kwa yaliyotokea yupo, awajibike!

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kuwa matukio yaliyotokea nchini hivi karibuni wakati wa uchaguzi siyo ya kwanza katika historia ya Tanzania. Amesisitiza kwamba mwenye dhamana juu ya...
  16. R

    PostGE2025 Padre Kitima: Tanzania sasa hivi hakuna Election kuna Selection

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padri Charles Kitima, akizungumza na vyombo vya habari leo Desemba 1, 2025, amesema kwa sasa Tanzania hakuna utamaduni wa election (uchaguzi) bali kuna utamaduni wa selection (kujichagua) akisisitiza kuwa nchi hii isiendeshwe na mtu ni ya...
  17. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima: Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko Polisi. Demokrasia hakuna, kwanini vijana wasilalamike?

    "Kuna matatizo ya msingi hayajashughulikiwa yamelundikana na tumeamua kuacha kusimama kwenye ukweli watu wanatekwa hakuna solution. Inaonekana kuna chombo chenye nguvu kubwa kuliko polisi wanaopaswa kuzuia utekaji. Vijana wanapoona vijana wanapoona kuna chombo ambacho kina nguvu kuliko...
  18. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima akumbusha: Tulionya, taifa linaelekea pabaya

    "Tulisema haya yasipozingatiwa nchi haitakaa salama tunaelekea pabaya. Tuliongea taifa linaelekea pabaya tulishaona, lakini kupuuza viongozi wa dini ni hatari sana kwa sababu viongozi wa dini hawana maslahi binafsi kwenye taarifa zinazohusu uhai wa mtu. Kwahiyo kusema watu wamenunuliwa si...
  19. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima: Hatuko salama, watu wanatekwa, wanapotezwa, wanauawa, Vijana wamechoka

    "Tusikatae ukweli kwamba vijana waliandamana kwa sababu gani? wanasema sababu ya kwanza ukiuliza vijana wanasema hatuko salama watu wanatekwa, watu wanapotezwa, watu wanauawa, ni zoezi lina zaidi ya miaka miwili hilo linaendelea vijana wamechoka kuvumilia" "Demokrasia, haina maaana tena...
  20. Just Pray

    PostGE2025 Padre Kitima: Vijana si wajinga, kusema wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi

    Anasema kusema vijana wamenunuliwa ni makosa na kuwakosea sana. Anasema vijana si wajinga kiasi hicho. Ingawa, anaona kusema wamehamasishwa hilo halina mjadala kwani kulikuwa na uhamasishaji kabla ya Uchaguzi. "Kusema vijana wamenunuliwa ili kuandamana si sahihi, wamehamasishwaje hiyo ni...
Back
Top Bottom