padre kitima

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    TUMEs: Haki Jinai, 4R, Tume Huru ya Uchaguzi, Mauaji Ali Kibao, Padre Kitima? Utawala wa Tume USELESS kupoza watu

    Tume zimekuwepo. Maridhiano yamekuwepo. Ahadi zimekuwepo. Zote hazijaleta muafaka kwasababu lengo.soho kutatua matatizo, bali ni kupoza joto. Haya majitu ni SHETANI wa DAMU. Tanzania kwasasaa inahitaji UWAJIBIKAJI na HAKI vinginevyo MAUAJI ma UKATILI wa aina hii HAUTAKWISHA bali utaendelea...
  2. Carlos The Jackal

    GE2025 Nawakumbusha Vijana Wakatoliki, Tarehe 29/10 tunaandamana huku tukimkumbuka Padre Kitima aliyenusurika Kuuawa na Mapadree wengine wanaotekwa

    Leo hii Padree Kitima, Katibu wa Balaza la TEC angekua mavumbini. Mapdre wengi wameamua Kuishi kijasusi kuwakwepa Watekaji na Wauaji , yote hii ni sababu tu ya kushauri Mapenzi ya Bwana wetu YESU KRISTO ! Mapadre wengine wametekwa na Kupotezwa !!. Hizi Hasira zooote Vijana wa Kiseminari ...
  3. K

    Lile shauri la kupigwa Dr. Padre Kitima liliishia wapi?

    Tulishuhudia Dr. Padre Kitima akipigwa na watu wasiojulikana. Shauri hili lilipelekwa mbele ya sheria. Ninauliza , shauri hili limeishia wapi?. Mbona hatusikii maendeleo yake?.
  4. R

    GE2025 Padre Kitima: Sipo tayari kusifia mtu kufunika maovu

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima, akizungumza Julai 8, 2025 na Jambo TV, Padri Kitima ameeleza kuhusu Viongozi kupenda kusifiwa na si kukosolewa ikiwa wajibu wao ni kutimiza mahitaji ya wananchi Pia amesema kazi ya kanisa ni kuonya kuelekeza...
  5. Idugunde

    Nakubaliana na Padre Kitima kuna watu wanapata na walishapata uonevu mkubwa hapa Duniani kuliko wa yeye kuvamiwa na kupigwa

    Hili nalo lina ubishi? Famili ya mzee Ali Kibao, Mdude Nyagali na Dismas Soka hii ni mifano tu ya kutoa. Je Padre Kitima anakosea anaposema kuna akina Lissu na wengine wengi wapo magerezani kwa chuki na visasi vya kisiasa! Je hao waliopotezwa?
  6. J

    Padre Kitima: Tunaweza kutengeneza Dikteta Mtu, Dikteta Mfumo au Dikteta Familia!

    Nimeogopa sana Hivi Chadema ya akina Mwamba ilikuwa Dikteta Mtu au Dikteta Familia? Nimeuliza kiutafiti zaidi Ahsanteni sana Mlale unono 😄
  7. Idugunde

    Nakubaliana na Padre Kitima. Hakuna dikteta aliyedumu milele hapa Duniani. Hata Nicolae Ceusescu aliuwawa kama panzi kwa uonevu na mabavu yake

    Alikuwa na kiburi na akadhania yeye ni Mungu mtu kwa kutumia nafasi ya Ikulu Lakini alikufa kama panzi mikononi kwa watoto wadogo. Tunahitaji fairness kwenye taifa lefu, iwe ni suala la ajira, uchaguzi na hata haki za kuishi
  8. Carlos The Jackal

    Padre Kitima aufananisha Uovu unaoendelea Nchini na Uovu Aloufanya Dikteta Hitler !Asema Mwisho wa Uovu Huwa ni mbaya

    Asema, Mwisho wa Mtawala muovu Huwa mbaya sana Kwa sababu hubeba maumivu yaliyopo na yaliyopita!!. Aione Rais Samia. Aione Mwamposa .
  9. Waufukweni

    Padri Kitima: Nani mwenye nguvu Nchini hii anayeshinda Vyombo vya Dola hadi kuteka na kuuwa Watu?

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa...
  10. G Sam

    Askofu Gwajima aibukia kwa Padre Kitima kumjulia hali. Wapiga picha pamoja

    Leo Tarehe 21 June 2025 nimepata nafasi ya kumtembelea na kumjulia hali Padre Dr Charles Kitima, Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC). Namshukuru Mungu afya yake imeendelea kuimarika.
  11. Carlos The Jackal

    Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  12. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 Dr. Shoo: Shambulio kwa Padre Kitima na tukio la kutekwa Mdude ni kengele ya hatari

    Askofu Mstaafu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) Jimbo la Kilimanjaro Magharibi, ambaye pia ni Mchungaji wa Kanisa la KICC, Dr. Glorious Shoo, amekemea vikali matukio ya karibuni ya ukatili na ukiukwaji wa haki za binadamu nchini, yakiwemo shambulio kwa Padre Dr. Charles Kitima na...
  13. Doctor Mama Amon

    Maajabu: Jasusi alijipenyeza Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Tanzania kwa Miezi Miwili akiwa anapanga Shambulio dhidi ya Padre Kitima

    BADO kuna maswali mengi kuhusu tukio la kuvamiwa, kupigwa na kujeruhiwa kwa Katibu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima. Wakati majibu ya maswali hayo yakiendelea kutafutwa, Pambazuko lina taarifa za kina kuhusu jinsi sehemu ya njama za kumdhuru kiongozi huyo...
  14. N

    Muliro: Aliyechapisha ujumbe kwenye Mtandao kwamba 'Siku za Padre Kitima zinahesabika'' amekamatwa

    Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Muliro Jumanne Muliro amesema jeshi hilo tayari limemtia mbaroni mtu mmoja aliyedaiwa kuchapisha taarifa kwenye ukurasa wa X, kwamba ''siku za Padre Kitima zinahesabika'' ikiwa ni siku chache kabla ya Padre huyo kushambuliwa. Ameyasema hayo Mei...
  15. W

    SI KWELI Padre Kitima amewazuia watumishi wa serikali wasiende kumtembelea hospitalini

  16. Just Pray

    TEC: Shambulio dhidi ya padre Kitima lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa kusema na kutenda kadiri ya wito wake

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa akizungumzia tukio la kushambuliwa kwa katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima amesema Shambulio hilo lilitaka kupora haki ya uhai, uhuru wa haki yake ya kusema na kutenda kadiri ya wito wake aliojaaliwa na...
  17. Just Pray

    Askofu Nzigilwa: Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika

    Makamu wa Rais Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC Askofu Eusebius Nzigilwa amesema Padre Kitima anaendelea na matibabu na hali yake inaimarika huku akiwataka watanzania kuendelea kuombea ili mwenyezi Mungu amuwezeshe kupona haraka. Ameyasema hayo leo Mei 04, 2025 katika Misa Takatifu...
  18. Poppy Hatonn

    Kushambuliwa kwa Padre Kitima ni mtihani mkubwa kwa Kanisa Katoliki

    Ingawa Kanisa Katoliki litasema watu wasiongee mambo yanayoweza kuleta vurugu,lakini hili ni jambo ambalo litawachanganya sana waumini. Kwa sababu Ukristo ni Dini ya amani. Na Bwana Yesu ametufundisha kuchukua Msalaba Wake na kumfuata. Iweje leo vibaka wanamshambulia kiongozi mkubwa wa Dini...
  19. peno hasegawa

    Kukamatwa kwa Lissu, Kuumizwa kwa Padre Kitima, na Kutekwa kwa Nyangali: Watanganyika wamejifunza nini kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu, matukio kadhaa ya kutisha yameibuka nchini Tanzania, ambayo yanaonyesha hali halisi ya siasa na usalama. Kukamatwa Tundu Lissu, kuumizwa kwa Padre Kitima, na kutekwa kwa mwanaharakati Nyangali ni mifano hai ya changamoto zinazokabili demokrasia...
  20. Just Pray

    Stephen Wasira alaani tukio la kushambuliwa kwa Padre Kitima, atoa wito kwa polisi kufanya uchunguzi na kuchukua hatua za kisheria

    "Kama M/Mwenyekiti CCM (Bara), nimepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kihalifu dhidi ya Pr. Dkt. Kitima katika ofisi za Baraza la Maaskofu. Natoa pole zangu na kulaani kitendo hiki. Polisi wafanye uchunguzi wa kina, kuwabaini wahusika na kuwachukulia hatua kali za kisheria." - Makamu...
Back
Top Bottom