Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri.
Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya...