otorong'ong'0

 1. M

  Madai kwamba wachaga wamelitawala kanisa katoliki yapanguliwa kwa hoja. Hajaitwa mtu hadharani bali yapanguliwa kisomi

  Mwaka jana madai ya uchaga yaliibuliwa na gazeti la JAMVI LA HABARI likisema maaskofu wa kanisa katoliki huteuliwa kwa kufuata uchaga. Madai hayo haya hapa (bonyeza hapa) Mtakumbuka madai haya yaliingia hadi bungeni gazeti hili kujadiliwa. Jumatano iliyopita ina makala moja ya RAIA MWEMA...
 2. N

  Papa Francis alikataa Rais wa Philipines kubusu pete yake, achilia mbali unaowaona hawa anaowakatalia wiki hii

  Wiki hii imesambaa picha ya Papa Francis akikwepa kubusiwa pete yake, utaratibu unaofanywa kwa askofu yeyote, achilia mbali Papa. Kitendo hicho kimejadiliwa na kila aina ya mitandao, kwenye magroup, facebook, twitter na kokote unakoweza kutaja. Sasa mimi maoni yangu ni nini? Maoni yangu ni...
 3. S

  Sasa Papa Francis kutembelea tena Afrika Mashariki lakini si Tanzania

  Leo Vatican imetangaza rasmi kwamba Papa Francis atembelea nchi tatu za Afrika Mashariki. Ziara hiyo itafanyika Septemba mwaka huu na nchi atakazotembelea ni Mozambique, Madagascar na Mauritius. Hii ni mara ya pili Papa Francis kutembelea eneo la Afrika Mashariki. Majuzi tu alitembelea Uganda...
 4. M

  Nini kimepelekea Kadinali Pengo kuondolewa kwenye tovuti ya Jimbo Kuu la D'Salaam?

  SOURCE: Website ya Jimbo Kuu la D'Salaam Nimeshtushwa kuondoloewa kwa Kardinali Polycarp Pengo kwenye website ya Jimbo Kuu la D'Salaam. Ukiisoma inaonyesha Jude Thadaeus Ruwa'Ichi ndiye Askofu Mkuu wa Jimbo hilo na Eusebius Nzigilwa ni Askofu Msaidizi. Jamani nikumbusheni. Je, inawezekana...
 5. S

  Tetesi: Kinachoendelea ni dalili za kuwasili AMNESTY INTERNATIONAL

  Ghafla kumekuwa na wema kila kona. Siyo mahakamani, siyo majukwaani, Siyo makanisani kwa ujumla hizi wiki tatu ninaziita kisiwa cha amani. Sasa ni wema na kauli za wema na hotuba za ukarimu. Lakini kwa nini wema huu uje ghafla hizi wiki tatu. Hongereni JF mmejiuliza wengi kwa namna mbalimbali...
 6. SANCTUS ANACLETUS

  Ndugai na Musukuma: Mungu yupo popote mlipo; hata mkiwa Mbinguni; hamtatumikiwa, mtalazimika kutumikia wala hamtakuwa na Jeuri ya miongozo ya kanuni

  Wataaalamu wa Kufikiri,tujadiliane hivi: Si lazima Mungu awatokeeni Spika Ndugai na Mbunge Msukuma katika maisha yao physically kama ilivyotokea kwa mama Bikra Maria au Zakaria (mzazi wa Yohana Mbatizaji), ili kuwapasha wote hao wawili ujumbe mahususi. Nasema si lazima Mungu afanye hivyo kwa...
 7. SANCTUS ANACLETUS

  Raisi Magufuli likatae pendekezo la kuwashughulikia mitume na lile la kujenga makanisa mpaka kwenye vituo vya usafiri wa Mwendokasi.

  Wataalamu wa mawazo na wanazuoni: Inaelekea watu wengine sifa za msingi na Kuu za Mungu hawazijui. Inaelekea kana kwamba baadhi ya dini hazijachukua wala kutenga muda wa kutosha kusoma Falsafa kabla ya kuamua kusoma Teolojia. Ingalikuwa wahusika waliwekeza muda wa kutosha kusoma Falsafa ili...
 8. SANCTUS ANACLETUS

  Marejeo ya Historia: Mahatma Ghandi, Abraham Lincoln, Nelson Mandela na Mama Tereza waenziwe kwa utume kama Muhammad?

  Wanahistoria, wanaharakati,wanateolojia na wanasiasa: Ni ukweli usiopingika kwamba historia ya Mambo mengi yaliofanywa na watu waliotutangulia ama imetusaidia katika kujirekebisha kutofanya makosa kama watangulizi wetu au imetusaidia katika kufanya mambo vizuri zaidi kuliko walivyowahi...
 9. SANCTUS ANACLETUS

  William Miller: Kama Yesu hakujua Hisabati au kutafsiri mambo bora angalikaa Kimya. Mbona siku ya mwisho wa dunia inakokotoleka kirahisi?

  Wanazuoni: Kichwa cha habari hapo juu sio kwamba ni cha uchochezi au kwamba kimelenga kupasukia watu kwa kashifa au kwamba ni kufuru kwa Mungu.La hasha, bali ni tafsiri ya kile alichomaanisha Mwanajeshi mmoja huko Marekani pale alipoibuka na Formula ya kukokotoa tarehe ya kurudi kwake Yesu...
Top