oscar kambona

Oscar Salathiel Kambona (1925-1997) was the first Minister of Foreign Affairs of Tanganyika. He was the second-most influential and most popular leader in the country after President Julius Nyerere.
Kambona was born on 13 August 15 on the shores of Lake Nyasa in a small village called Kwambe near Mbamba Bay in the district of Nyasa near Songea in Ruvuma region southern Tanganyika. He died in London in November 1997.
He was the son of the Reverend David Kambona and Miriam Kambona. Reverend David Kambona belonged to the first group of African priests to be ordained into the Anglican Church of Tanganyika.
Kambona received his primary school education at home under a mango tree in his home village. The tree still stands today. He was taught by his parents and by an uncle, all of whom were teachers.
He was then sent to St. Barnabas Middle School in Liuli in southern Tanganyika not far from his home. He also attended Alliance Secondary School in Dodoma in central Tanganyika.
A British Anglican bishop paid Oscar Kambona's school fees because his father could not afford to do so. The school fees were 30 Pounds per year. Kambona is reported to have said he convinced the Anglican bishop to pay his school fees by reciting the Lord's Prayer in English.
He was then selected to attend Tabora Boys’ Senior Government School where he first met Julius Nyerere who was already teaching at St. Mary's, a Catholic school in the town of Tabora.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Wanasiasa gani walipotea kisiasa baada ya kuingia migogoro na Serikali au chama tawala?

    Katika historia ya siasa za Tanzania, si kila anguko la mwanasiasa husababishwa na kushindwa uchaguzi. Mara nyingi, migogoro ya ndani ya chama, tofauti za kiitikadi au ukosoaji wa mamlaka huwa mwanzo wa kupungua kwa ushawishi wa kisiasa. Wapo waliowahi kuwa na nguvu kubwa jukwaani, lakini...
  2. ELI COHEN

    Uzi wa Tanzania alioiona Oscar Kambona na Uzi wa dark days, upi ni bora kwako?

    Hizi nyuzi ni kati ya masterpiece kuwahi kuandikwa humu JF.
  3. Moto wa volcano

    Wa Tanzania hatumtendei haki Oscar kambona

    Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu kulipigania Taifa hili limedhulumiwa anamchango mkubwa wa kupigania mfumo wa vyama vingi katika nchi hii...
  4. Akilindogosana

    Sikiliza interview ya Oscar Kambona ya Mwaka 1968, akizungumzia udikteta

    Download hii video haraka Oscar kambona alikuwa mbele ya Muda. Alilalamikia mfumo wa kidikteta ulitengenezwa na Nyerere. Huo mfumo ndio unaitesa nchi hii mpaka sasa hivi.. https://youtu.be/-rSfRJVSXqI?si=xuFuPTWRF5lPsR3K
  5. Yoda

    Lugha ya Mwl. Nyerere kwa Oscar Kambona ina mchango hasi kiasi gani kwa uonevu upinzani uliopitia na unaopitia sasa?

    Mojawapo ya Icon wakubwa wa upinzani na mawazo mbdala katika nchi yetu ni Oscar Kambona aliyetoka kuwa swahiba na mtu wa karibu wa Nyerere mpaka kuwa mkosoaji wake mkuu. Lugha aliyokuwa anatumia Nyerere kumkosoa Kambona hadharani ilikuwa kali sana na isiyo ya kiungwana kwa nyakati hizo, hatujui...
  6. britanicca

    Vijana wa zamani 1950-2000 kulinganisha na 2000-2025 katika Jamii

    Muda una mambo yake Vijana wa Mwaka 1950-2000 siyo kama vijana wa miaka 2000-2025 Vijana hao walithubutu yafuatayo 1. Walishnikiza tukapata uhuru 2. Baada ya uhuru vijana Wengine wakataka kupindua SERIKALI ya Tanganyika na tanzania wazi wazi 3. Vijana waliteka ndege ya nchi na kuipeleka...
  7. McLaren

    PreGE2025 Jerry Muro: Vitendo vya utekaji vilikuwepo tangu enzi za kina Oscar Kambona. Kuna mawaziri walikuwa wanakimbia nchi

    Wakuu, Akiwa anamjibu Askofu Gwajima siku ya leo, Jerry Muro amesema kuwa vitendo vya utekaji Tanzania havijaanza leo na kwamba kuna kipindi katika nchi hii kuna hadi mawaziri walikimbia nchi. "Vitendo vya utekaji na kupigwa risasi nataka nikurudishe nyuma kidogo, vitendo hivi vilikuwepo au...
  8. AnyWayZ

    Ndoto: Mwl. Nyerere dhidi ya Oscar Kambona usiku wa leo

    Habarini wakuu... Wanasema ndoto ni maono ya uzoefu wa maisha ya kila siku, sikuwepo enzi za hawa Wanasiasa ila historia imenijuza machache. Sasa leo nimeota ndoto fupi ila ilionionyesha uhalisia wa uhasama aliokua nao Mwalim JK Nyerere dhidi ya Oscar Kambona. Ndoto inaanza Oscar Kambona...
  9. Mganguzi

    Hussein Mohamed bashe na ubongo wa Oscar kambona mtu mtata! Mbishi anayejiamini kupita kiasi

    Huyu ndio Hussein bashe ,akilitaka lake lazima liwe! Na asipolitaka lako halitakuwa ,huyu ndio bashe! Anapenda kutunisha misuli hata mahali pasipohitaji misuli ,kiongozi asiyetaka kuhojiwa na yeyote isipokuwa rais na makamu wa rais . kwa maana hiyo hata waliompigia kura hawana ubavu wa kumhoji...
  10. Mto Songwe

    R.I.P Oscar Kambona, Bibi Titi Mohammed ule upuuzi bado unaendelezwa

    Ule upuuzi wa mchonga ulio wafanya mkimbie nchi yenu mliozaliwa na kukimbilia mataifa ya nje bado upo hauja koma. Upuuzi alio asisi mchonga meno kwa wale walio mpinga na kupinga ideas zake kwa kupachikiwa kesi za kijinga kijinga za uhaini bado unaendelezwa. Hii nchi ni ya wote sio mtawala...
  11. Mohamed Said

    Oscar Kambona

    Historia ya Oscar Kambona:
  12. J

    Leo ni kama siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza!

    Hamasa ninayoishuhudia leo inanikumbusha siku tuliyompokea Mwanamageuzi Oscar Kambona kutoka Uhamishoni Uingereza. Kiukweli Bila kujali itikadi ya vyama wananchi kwa maelfu walifurika kumlaki. Hata leo naona Watu wameweka itikadi pembeni labda tu Sukuma gang ndio bado wanajishauri. Karibu...
  13. Mohamed Said

    Safari ya Mwisho ya Abdallah Kassim Hanga Kabla ya Safari ya Mwisho

    PICHA YA ABDALLAH KASSIM HANGA AKIBARIZI MSASANI BEACH KWENYE NYUMBA YA OSCAR KAMBONA Hakuna kitabu kilichoeleza historia ya Hanga na Oscar Kambona kwa siku chache Hanga lipokuwa anakaa nyumbani kwa Kambona London kama kitabu cha Dr. Harith Ghassany, ‘’Kwaheri Ukoloni Kwaheri Uhuru.’’ Hanga...
  14. Sky Eclat

    The Rise and Fall of Oscar Salathiel Kambona

    Picha: Oscar Salathiel Kambona Oscar Salathiel Kambona boarded East African Airways flight 720 in Nairobi, Kenya in the evening of July 26, 1967 for Europe. He had reached a point of no return. Earlier that day, Kambona, his wife, children, and house attendant drove from Dar es Salaam secretly...
  15. L

    Nyumba ya Oscar Kambona sasa ni Feza Primary. Nini kimetokea?

    Wazoefu wa mitaa ya Mikocheni, kwa Nyerere, kwa Mwinyi, kwa Warioba haya ni majina ya vituo vya daladala. Lakini pia Kuna nyumba ya Oscar Kambona mitaa hiyo ila kwa sasa naona imekuwa shule ya msingi Feza. Nini kilitokea? Iliuzwa? Je Kambona hakuacha familia? Mke na watoto wake wako wapi? Baba...
  16. H

    Tanzania ya sasa ni ile aliyoiona Oscar Kambona, Mwalimu Nyerere alikosea sana

    Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, lakini hatukuwahi kuambiwa kuwa kuna watu wengine ambao bila wao mwalimu "asingetoboa" na pengine tusingemjua kabisa mwalimu Nyerere, au story yake...
  17. Peter Stephano 809

    Oscar Kambona: Mwanasiasa aliyegeuka mwiba kwa Mwalimu Nyerere

    Vijana ni nguzo ya Taifa hivyo Taifa lolote halina budi kuwa na vijana wenye weledi wa Mambo pamoja na Utashi katika kufanya Mambo, Jambo ambalo linaweza kuwapa historia kubwa hata baada ya mwisho wa uhai wao kitaifa na Kimataifa. Tanzania kama Taifa liliasisiwa na Vijana makini kwa wakati ule...
Back
Top Bottom