online

In computer technology and telecommunications, online indicates a state of connectivity, and offline indicates a disconnected state. In modern terminology this usually refers to an Internet connection, but (especially when expressed "on line" or "on the line") could refer to any piece of equipment or functional unit that is connected to a larger system. Being online means that the equipment or subsystem is connected, or that it is ready for use."Online" has come to describe activities performed on and data available on the Internet, for example: "online identity", "online predator", "online gambling", "online shopping", "online banking", and "online learning". Similar meaning is also given by the prefixes "cyber" and "e", as in the words "cyberspace", "cybercrime", "email", and "ecommerce". In contrast, "offline" can refer to either computing activities performed while disconnected from the Internet, or alternatives to Internet activities (such as shopping in brick-and-mortar stores). The term "offline" is sometimes used interchangeably with the acronym "IRL", meaning "in real life".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Fomu za kugombea Urais 2025 kupitia CCM ziwekwe kwenye mtandao ili zijazwe online

    Ninaomba kutoa ushauri kuwa, Wanachama wengi wa CCM wanaonyesha kutaka kutia nia kugombea Urais kupitia CCM mwaka 2025. Ili kuwa wana-CCM uhuru na haki ya kuchagulia ninashauri fomu za kugombea Urais ziwekwe kwenye mtandao na malipo yake yalipwe online. Hii itaongeza uwazi wa uchukuaji fomu...
  2. JamiiForums Tanzania Mafunzo online Electronics,Electrical and ICT

    TANZANIA ELECTRICAL,ELECTRONICS AND ICT SOLUTION ONLINE Tunakaribisha watu binafsi katika kupokea mafunzo ya Electrical,Electronics na ICT kwa njia ya mtandao(ONLINE), Mafunzo yetu yana lengo la kuwasaidia wale ambao wanahitaji kuboresha,kuongeza ama kujifunza ujuzi zaidi kuhusiana na fani...
  3. JamiiForums Tanzania What you post online speaks VOLUME about who you really are. POST with intention. REPOST with caution!"

    Once upon a time, in a world where social media reigned supreme, there lived a girl named Lily. Lily loved to post on social media and spend hours scrolling through her feeds, liking and commenting on everything she saw. One day, Lily came across a post that caught her attention. It was a quote...
  4. JamiiForums Tanzania Kulikoni Upendo FM kujitoa online?

    Shalom. Upendo FM wamepatwa na shida Gani Hadi wajitoe online? Nimekua msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya maombi; Morning and Evening Glory, kile cha SAA Tano/sita mchana hadi saa Saba, ibada za jumapili n.k. kwa muda mrefu sana. Nashangaa ni week ya pili sasa wamejitoa kabisa online...
  5. JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa na soko la nguo hapa bongo, Wale mnaonunua online tunaombeni mtupe uzoefu wenu tupate nguo zenye ubora

    Habari zenu wakuu, hapa bongo soko la nguo kuna baadhi yetu lishatutoa knock out, unaweza kwepa midosho ya elf 15 ukaenda kwenye duka la cadet za elf 40 ukazani hapa ndio penyewe kumbe mambo yale yale tu, ukifua mara mbili tatu ishakuwa bwanga, pindo hohe hahe, rangi imechuja. Sasa basi mimi...
  6. JamiiForums Tanzania Ili kutunza maadili ya waajiriwa wapya, nashauri pia ufanyike usaili wa online content za waomba ajira ili kuona nini wanapost mitandaoni

    Ni vyema wasailiwa pia wachunguzwe kwa kupitia online content zao, Kuna suala la maadili Sasa limekuwa changamoto. Walioomba kazi pia wachunguzwe mambo wanayopost mitandaoni kama yanakidhi kimaadili. Baadhi wanapost mambo ya ngono halafu wanaomba nafasi za ualimu, wakakae na wanafunzi wetu, ni...
  7. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa namna ya kuingiza pesa kupitia Mitandao (Online)

    Habari zenu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu kama kuna mtu mwenye ujuzi namna ya kuingiza pesa basi nahitaji kujua angalau nielewe hii kitu maana nimekuwa nikisikia sijui online business lakini sielewi chochote. Jamani nahitaji mchango wenu nyie wenzetu wenye ujuzi hata kidogo.
  8. JamiiForums Tanzania Mitandao unayoweza ukapata kazi za mitandaoni

    Hizi nimezipata mahala so na wewe weka zako watafutaji vijana wanaweza wakazipata mana . 1.flexjobs.com 2. who is hiring .io 3. remoteml .com 4. freelancer .com 5. upwork.com 6. remoteok .io 7. devsnap .io 8. remote .co 9. dice .com 10. angel .co
  9. S

    JamiiForums Tanzania Mambo ya ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kuomba ajira online

    Aisee kwanza habari za asubui, niwapeni mikasa ya ili jambo la kuomba ajira mtandaoni. Kumbuka hapa siongelei ajira portal wala Taesa wala makampuni yenye kutangaza kazi. Naongelea ile mtu kapost kuna nafasi ya ajira ameweka namba umtafute labda whatsapp au sms. Jumlisha na wale wa kutoa...
  11. JamiiForums Tanzania Azam TV hii huduma yao ya kuangalia online ni mbovu sana

    Habari wakuu, Nawsilisha kwa wanaohusika na kitengo cha Azam Max huduma yake ni mbovu sana hasa huu mwezi yaani huwezi kuangalia kipindi unachopenda yaani muda wote inakata na hakuna marekebisho ukiwapigia wanakwambia wana tatizo la kimtandao, na itakaa sawa lakini hilo tatizo ndio mwezi...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Draft la playok online: Nahisi mkulima ni jini

    Huyu jamaa hajulikani ni nani haswa, ana copy/kete zisizojulikana na finishing kali sana anafunga nazo watu, Ronaldo pale manyanya alisema mkulima anatumia dalmax ya kulipia ya tshs laki 3, hiyo software inauzwa wapi Google play?Mbona nlitafta sijaiona? Mwenye account ya mkulima nasikia anaitwa...
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kulipa ada ya kozi ya online

    Kuna kozi nataka nisome inayotolewa na Chuo kimoja Cha ujerumani. Sasa wamenielekeza namna ya kulipia ila sijaelewa maana sijawahi Kufanya International transactions. Tafadhali nisaideni. Naambatanisha na screenshot ya maelekezo yao
  14. JamiiForums Tanzania Ukizama online slots (casino), wanaobet mpira utawaonea huruma

    Siujui mpira vizuri na betting za mpira sizijui vizuri ila naona wanapigwa tu kila siku. Mtu anachakazwa wiki tatu anapewa siku moja elfu 50 basi hiyo siku mpaka mkewe atajua kuwa baba kapiga pesa kumbe ni elfu 50 tu au laki. Ukipiga hesabu kapata negative kubwa ndani ya mwezi. Online casino...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Je, online betting inaweza kuwa chanzo cha kipato?

    Kubashiri mtandaoni kwenye tovuti au Apps kama vile Sokabet kunaweza kuwa chanzo cha mapato, lakini ni muhimu kutambua kwamba si njia ya uhakika ya kupata pesa. Ingawa baadhi ya watu wamefanikiwa kupata faida mara kwa mara kwa kubashiri mtandaoni, wengine wanaweza kuishia kupoteza pesa kwa muda...
  16. JamiiForums Tanzania Nitaji online bussine au E-commerce unao wakubalia au walikutapeli tuwajue

    Habari wadau! Huu nimuda wa kutangaza na kupenda vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu mtu moja moja na maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Taja jina la online business ambazo sio za kitapeli pia na zakitaeli sio mbaya tukazijua kupita kwenye uzii huu Taja sabu au tofatu yake na nyingi ili watu...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Napofanya manunuzi mtandaoni natakiwa kulipia kodi tena?

    Naomba kuuliza, Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
  18. G

    JamiiForums Tanzania Sehemu ipi nzuri kushiriki na online slots?

    Kuna michezo ya casino hii kama online slots na live casino inakuja kwa kasi sana sikuizi watu wanaopoa pesa nyingi sana huku. Kuna site zipi nzuri ambazo zinafaa sana kushiriki na michezo kama hii na je ni michezo ipi hasa mfano slots zipi ni nzuri?
  19. I

    JamiiForums Tanzania IELTS inaweza fanyika online? Gharama zake zikoje?

    Wakuu nipo nafanya application ya masters ila naona wanataka ni attach matokeo ya IELTS. Naomba muongozo kama test iyo inaweza fanyika online na gharama zake n sh ngp
  20. JamiiForums Tanzania Kuna Siri Nyingi Zimefichwa Kwenye Biashara za Online Njoo Tujadili Kwa kina

    Kuna siri nyingi zimejificha kwenye soko la biashara za online kwaujumla hasa kwenye ubora.Siku hizi ukipitia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan waagizaji wa bidhaa mtandaoni kuuziwa bidhaa ambazo ziko chini ya kiwango nfano vifaa vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…