ongeza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Robert Heriel Mtibeli

    Ongeza Testosterone zako kwaajili ya nguvu na mamlaka ya uanaume wako

    ONGEZA TESTOSTERONE ZAKO KWAAJILI YA NGUVU NA MAMLAKA YA UANAUME WAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kadiri testosterone zako zinavyoshuka ndivyo nguvu na mamlaka yako inavyodondoka chini. 2. Kutojiamini kunaongezeka. Mwanaume mwenye testosterone ndogo(zilizochini Sana) hata kiwango...
  2. Mwachiluwi

    Hapa una ongeza nini usiku wako uwe mzuri

    Je hapa una ongeza nini ili usiku wako uende vzr kuliko janaaa
  3. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 David Mwaijojele: Mkituchagua CCK tutakuja na mikopo ya ongeza damu

    Chama cha Kijamii (CCK) kupitia mgombea wa chama hicho, David Mwaijojele, wakati wa uzinduzi wa kampeni kitaifa wa chama hicho zilizofanyika viwanja vya kwa Tesha, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam leo, kimesema endapo kitapewa ridhaa ya kuongoza dola kitaenda kukomesha mikopo kausha damu na...
  4. fimboyaukwaju

    Mzize, ongeza bidii kujifunza

    Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya kisoka,sasa ongeza bidii kujifunza kila siku.Na wasikilize sana makocha wako sana na pia tafuta makocha wako...
  5. GENTAMYCINE

    Mtangazaji Maryam Rachuo wa Coco FM: Kama uko na mke mmoja, ongeza wa pili ili udumu na huyo mwanamke uliye naye

    ''Ukiwa nae huyo huyo tu Mmoja ndani ya Siku 91 ukiwa nae utaanza Kumchoka na kumuona wa kawaida ila ukiwa na mwingine wa Pili utakuwa na muda wa Kujigawa katika kuwa nao Kimapenzi na hii itakufanya Usiwachoke bali sasa uwe unatamani kupata Vitu vipya kutoka Kwako kwao ni lazima tu wakishajijua...
  6. M

    Miaka minne tu laini mpya za simu milioni 38 watumiaji wapya wa internet milioni 20, ni Rais Samia tu

    RAIS SAMIA AZALISHA LAINI MPYA 38M ZA SIMU NA WATUMIAJI WAPYA WA INTANETI 20M. Hadi mwaka 2025 jumla ya laini 90.4M za simu zilisajiliwa kutoka laini 53M mwaka 2020 ikiwa ni ongezeko la 70% huku Watumiaji wa intaneti wakifikia 49.3M kutoka 29.1M mwaka 2020 tofauti ya Watumiaji 20M Kiasi...
  7. youngkato

    Wanaofanya kazi za stationery. usisubiri wateja wa ku-print tu, ongeza huduma mpya kwa msaada wa ChatGPT!

    Dunia ya kidijitali imerahisisha sana maisha. Siku hizi hauhitaji kuwa na ofisi kubwa au degree ili kutengeneza pesa. Ukiwa na simu tu na ChatGPT, unaweza kufanya kazi nyingi sana ambazo watu wanahitaji mtaani — na kulipwa. Hapa nitakuonyesha kwa lugha rahisi jinsi unavyoweza kutumia ChatGPT...
  8. Bodhichitta

    Mwanaume punguza stress na ongeza siku za kuishi Kwa kanuni hii ya 40%, 30%, 25%, 5% na 0%

    Aslaam, Kumekua na tafiti zinazoonyesha wanaume huishi umri mdogo zaidi ukilinganisha na wanawake. na kumekuwa na sababu kadhaa zinazofanya mwanaume Awe na maisha madogo ya kuishi. sababu Moja wapo ikiwemo stress nyingi zitokanazo na kubeba mzigo wa familia. leo hii nataka nikupe hii kanuni...
  9. excel

    Ongeza Juhudi itafute hii DAWA.. inatibu matatizo mengi sana

  10. stabilityman

    Vitu vinavyo ongeza gharama za ujenzi

    Gharama za ujenzi wa nyumba zinaweza kuongezeka kutokana na mambo kadhaa, kama vile aina ya udongo, muundo wa nyumba, na upatikanaji wa vifaa vya ujenzi. Pia, mipangilio ya kiwanja na miundombinu inaweza kuathiri gharama hizo. Mambo Yanayoongeza Gharama za Ujenzi wa Nyumba - Aina ya Kiwanja...
  11. The Supreme Conqueror

    Askofu Bagonza ni zaidi ya Mtumishi, Rais Samia ongeza Mishahara kwa Watumishi Serikali za Mitaa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ____ 1. Nyerere alisema taifa hili bila CCM imara, litayumba. Sina hakika kama bado halijayumba. 2. Ili CCM iwe imara inahitaji upinzani imara. Hatuna utamaduni imara wa kukosoana ndani ya chama kimoja na...
  12. Mikopo Consultant

    Nawatia moyo JWTZ, kifo ni matokeo yasiyokwepeka kwenye kazi yao; wakiua mmoja, ongeza Battallion moja

    Huo ni mchezo maarufu sana unaojulikana kama Chess. Ni mchezo ambao ukizoea kuucheza sana, utaitengeneza akili yako kuwa mtu wa mikakati zaidi kwa wakati wote. Kuna mafunzo mengi sana unaweza kujifunza kwenye mchezo wa chess, mojawapo ikiwa ni 'sacrifice' and 'trade off'; ili ushinde mchezo...
  13. Magical power

    Ongeza mafanikio: Faida tano muhimu za kuandika namba 24 kwenye kiganja cha mkono.

    ONGEZA MAFANIKIO: FAIDA TANO MUHIMU ZA KUANDIKA NAMBA 24 KWENYE KIGANJA CHA MKONO. SEHEMU YA PILI. 👉Katika sehemu iliyo pita niliweka msingi wa awali ili kuweza kuelewa ni nini hiyo namba 24. Ule ulikua kama mwanzo tu na kuna baadhi ya watu walikurupuka kwenda kuchora namba 24 kwenye viganja*...
  14. R

    Ongeza salio kwenye simu kwa kutumia kamera ya simu yako

    Kuna app inaitwa 'Voucher Master' inapatikana Google Play store. App hii inakuwezesha kuongeza salio kwenye simu yako kwa kuskani namba za vocha kwa kutumia kamera ya simu yako kisha kuongeza salio. Inauwezo wa kusoma vocha zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Pia inafanya kazi kwenye mitandao yote ya...
  15. Jay_255

    Ongeza uwezo wa laptop yako kwa Kuongeza RAM ya 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. NINAZO 2 ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  16. Jay_255

    Ongeza uwezo wa laptop nauza RAM za DDR4 8gb kwa 30,000 Tu

    Ram za ddr4 ambazo kila moja ina 8gb bei ni 30,000 Tu. ukichukua zote 2 yaani 16gb nakufanyia kwa 50,000. Nipo kimara Dar es Salaam 0782780980
  17. britanicca

    Mheshimiwa Lissu nakushauri ongeza ulinzi

    Ninaongea haya nikiwa najua mengi !! Kwa sasa una maadui wawili 1. Ndani ya chama ambao mr Slaa alisema wamo na wanaua 2. Ndani ya Serikali watakaotumia nafasi ya nayotokea kutimiza adhma yao Britanicca
  18. N'yadikwa

    PICHA: Kama unalijua hili tangazo, punguza ulaji wa chumvi na sukari, ongeza mazoezi

    Kama unalimanya vema hili tangazo pendwa basi uzee umeshakufikia. Tunza afya. Fanya mazoezi, punguza ugimbi, sukari, chumvi na mafuta. Piga mambogamboga, mabilinganya nk
  19. Tulimumu

    Angalia reaction ya serikali kwenye matukio haya kisha za kuambiwa ongeza na za kwako

    1. Kushambuliwa kwa Lissu: Kimya mpaka sasa mwanzo Lissu akiwa Ubelgiji walisema hatoi ushirikiano. Sasa Lissu yupo na amewataja kwa majina wabaya wake lakini serikali kimya hakuna hata panya aliyekamatwa. 2. Kutekwa na jaribio la kumuua Sativa: Waziri mwenye mashavu makubwa kasema eti Sativa...
  20. D

    Ongeza exposure kabla ya kuoa

    Salaam wana MMU Ambao hamjaoa usipite bila kusoma huu uzi. Wahenga walisema kuishi kwingi kuona mengi. Pia tembea ujionee. Misemo hii katu usije ukaipuuza hasa linapokuja suala la kupata mwenza wa maisha. Kwa kipindi kirefu toka nimalize masomo, nilijikuta nimenaswa kwenye kazi za kitumwa...
Back
Top Bottom