Ndugu Ole Sabaya aliwahi kutuhumiwa kuwa na kosa la kujifanya afisa kipenyo.kesi ikaendeshwa akashinda na hatimaye akawa mkuu wa wilaya.leo hii kaanguka tena kwa kusimamishwa Ukuu wa Wilaya.
Chadema na baadhi ya wanaccm wanemshutumu sana na kwa muda mrefu
JE OLE SABAYA LENGAI NI MMASAI AU...
Kwangu mimi kutokana na Tuhuma zao (hasa walipokuwa katika Nyadhifa zao) namfananisha Ole Sabaya ni Papa na Paul Makonda ni Nyangumi.
Unatoaje amri ya kuchunguzwa kwa Papa Ole Sabaya na ukamuacha Nyangumi Paul Makonda? Hapa Rais Samia Mimi Krav Maga sijakuelewa
Rais Samia tafadhali hakikisha...
hadharani
haki za binadamu
kukamatwa
magufuli
makini
makonda
mashitaka
olesabaya
paul makonda
rais samia
sabaya
serikali
takukuru
tuhuma
utawala
utawala bora
Lema: Acha kujipendekeza kwa kiwango cha kuumiza watu. Amri uliyopewa ya kucontrol Polisi na Bunduki, kuwa mstaarabu. Magufuli sio Mungu, haya unayofanya kuna siku you will pay. Acha mambo ya Kishamba, acha ulimbukeni. Acha kuumiza watu kwa Silaha, acha mambo ya kutekatwka watu kuchukua hela kwa...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo.
Pia soma:
Mtozi Alloyce...
Mkuu wa wilaya ya Hai Ole Lengai Sabaya wakati akihojiwa kwenye kipindi cha 360 cha Clouds Fm amewajibu wanaosema kuwa enzi zake zimekwisha baada ya kifo cha hayati rais Magufuli.
Sabaya amesema wanaosema zama zake zimekwisha wanapoteza muda kwa sababu wakati wa utawala wa rais Magufuli alikuwa...
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya.
Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...
Ole Sabaya anastahili kung'olewa kwenye nafasi ya U-DC hafai na hatoshi!!!
Huyu mtu amejaa uhuni, hana maadili, hana nidhamu na anatumia madaraka aliyopewa vibaya kwa kunyanyasa raia.
Rais MAGUFULI kama Mamlaka ya Uteuzi tuondolee huyu mhuni, kibaka na gaidi wa kisiasa!
Akizungumza Na Wazee 300 wa wilaya Ya Hai nyumbani kwake Uzunguni Bomang'ombe DC Sabaya Ametangaza onyo Kali dhidi ya Wahalifu wa kisiasa ambao kwa mara zote wamekuwa wakiitumia wilaya Hio Kama sehemu ya kujipatia umaarufu wa kisiasa kwa kufanya siasa za kihalifu ili wapate kiki.
Ole Sabaya...