ole sabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kama hayati Magufuli alimtuma Ole Sabaya kudhibiti wahujumu uchumi, Je huu ulikuwa ujambazi au matumizi mabaya ya ofisi?

    Najua kuna wanaCHADEMA kindakindaki ambao kwao mwamba ni kama masihi wao wa kisiasa hapa Bongo. Tokea anigi'nie nyavuni wamekuwa wapole sana. Maana walidhani kuwa Sabaya kwenda lupando basi furaha yao ndio imejaa pomoni. Kwa sasa sakata la Sabaya kupandishwa kizimbani hawataki kusikia tena...
  2. W

    Kukamatwa kwa Mbowe huenda kukabadili muelekeo kesi ya Sabaya

    Ndugu zangu, Aliyekuwa DC wa Hai Ndg. Sabaya alifanikiwa mara kadhaa kudhibiti uhalifu na wahalifu wa Wilaya ya Hai waliotumia mgongo wa siasa. Hata Mbowe mara kadhaa alidhibitiwa na wengi walisema mengi lakini kwa sasa ni dhahiri utagundua Mbowe alidekezwa na Sabaya, alidhibitiwa kwa heshima...
  3. Arusha: Sabaya na wenzake wafikishwa mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi

    Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai na wenzake wamefikishwa leo mahakamani kwa ajili ya kuanza kusikilizwa kwa kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayowakabili. Kesi itaanza kusikilizwa mfululizo. Upande wa Jamhuri una mashahidi 10. === Ushahidi kesi ya Sabaya: Shahidi...
  4. M

    Nasubiria Ole Sabaya aende Kuachiwa Huru, ili niwalaumu Watanzania wa Mitandaoni kwa kuwa Wanafiki na Waongo

    Nianze Kwanza kwa Kuwapongeza baadhi ya JF Members ambao nakumbuka walisema tena hapa hapa JF kuwa aliyekuwa DC wa Hai Ole Sabaya atakutwa hana Hatia na kuwa Huru. Binafsi kiumakini kabisa nimekuwa nikifuatilia mwenendo wa hii Kesi na kwa yanayoendelea huko Mahakamani nami naungana na wale JF...
  5. Umma ujiandae. Lengai Ole Sabaya anaenda kuwa huru au kutumikia kifungo laini

    Kama ambavyo Mashehe wa uamsho walivyotolewa. Babu seya kulamba msamaha(anzi za magu). Mdude kuachiwa(kushinda kesi). Mbowe na wenzake mahakama kuamuru warejeshewe mamilioni. Singasinga. Bila shaka yoyote wewe kama mwanamchi wa kawaida jiandae kisaikolojia ya kwamba Aliye kuwa mkuu wa...
  6. Kwa kauli za Mbowe na Mdude ni wazi Ole Sabaya ataachiwa huru

    Ni suala la muda tu na kujipa subira kidogo tutajionea kwa macho yetu Mungu akitupa uzima. Jana tulishuhudia mh. Mbowe akitamka kauli tata zenye vitisho na amri dhidi ya Rais wa nchi. Swali jiulize kama Rais wa nchi anatamkiwa maneno kama yale hadharani je vipi kuhusu mkuu wa wilaya tena pale...
  7. Ni Kitu gani kimeufunika ghafla ule 'Mvumo' wa Hasira za Watanzania wa Mitandaoni kwa Ole Sabaya na Paul Makonda?

    Nimeshtuka kuona sasa ni Wiki ya Tatu hii Watanzania wengi wa Mitandaoni ni kama vile tumezimwa ghafla na ule 'Mvumo' wetu wa Kumsagia Kunguni Ole Sabaya na Pacha wake wa Matukio ya 'hovyo hovyo' nchini Paul Makonda. Ni kwanini Watanzania wa Mitandaoni humu na hata wale wa nje ( katika Jamii )...
  8. Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao. Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao...
  9. Mnaomtetea Ole Sabaya mnapaswa kuchunguzwa na TAKUKURU

    Huyu jamaa nani alikuwa anamlinda? Kwanini kila mtu anamlalamikia? Anastahili adhabu gani huyu jambazi? Yeye na kiongozi wake aliempa dhamana pamoja na Magaidi wote wanastahili kulipwa walichopanda hapa duniani
  10. Video: Bibi atoa ya moyoni kuhusu unyanyasaji wa Ole Sabaya Arusha

    Hakika watu walisema kuwa wakizuiliwa kusema ya moyoni basi hata mawe yatasema. Leo hii jijini Arusha kina mama wameamua kuyatoa yaliyo jaa mioyoni mwao juu ya Sabaya.
  11. Arusha: Ole Sabaya na wenzake wamefikishwa Mahakamani, kesi yaahirishwa

    Aliyekua DC wa Hai Lengai Ole Sabaya pamoja na wenzake leo wamefikishwa tena kwenye Mahakama ya Wilaya iliyopo Sekei Arusha, ili kujibu tuhuma zinazowakabili, Sabaya na wenzake wanakabiliwa na mashtaka matano. Itakumbukwa June 04,2021 Sabaya na wenzake walifikishwa Mahakamani hapo ambapo...
  12. Je, Ole Sabaya alipewa kibali na Magufuli kuhujumu uchumi?

    Anaandika Wakili msomi Jonh Mallya, Ni usiku wa manane. Lengai Ole Sabaya amelaza kichogo chake kwenye kiganja. Mwili wake ameulaza juu ya sakafu baridi akitazama dari la chumba cha mahabusu ambacho taa zake hazizimwi usiku-kucha. Kelele za wenyeji zinamghasi, lakini hazimtoi kwenye lindi la...
  13. Askofu Bagonza: Tuliyajua, Hatukuyajua lakini hilo zaidi ya tatizo

    TULIYAJUA, HATUKUYAJUA, HILI NI ZAIDI YA TATIZO. Kesi iko mahakamani, sitaki kusema yaliyomo ya kesi hiyo. Najipa haki ya kusema jambo zima kwa ujumla wake. Siku Rais Samia alipochukua ofisi nilipendekeza Mwongozo wa Kuongoza Kipindi cha Mpito wa awamu mbili, yaani kutoka ya 5 kwenda ya 6...
  14. Tafakuri yangu kwa Mashtaka ya Ole Sabaya

    Sasa ni dhahiri kuwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshtakiwa kwa makosa ya jinai. Amefikishwa Mahakamani huko Arusha na kusomewa mashtaka sita. Ninaandika hapa nikiamini kuwa mashtaka ya Ole Sabaya bado ni tuhuma tu hadi pale yatakapothibitishwa...
  15. Jinsi Ole Sabaya atavyochomoka kwenye mikono dhalimu iliyombambikia kesi

    Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa kimombo unaitwa fabricated. Mfano anadai kuporwa mil 90 atathibitisha vipi kirahisi mahakamani kuwa...
  16. J

    Kukomaa kisiasa: Pamoja na fitina na ubaya wote aliotendewa na Ole Sabaya, Mwenyekiti Mbowe ametulia kimya

    Binafsi nampinga Freeman katika mambo mengi lakini namkubali sana kuwa ni kiongozi asiyekumbatia siasa za maji taka. Pamoja na uovu wote aliotendewa huko Hai chini ya Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama DC Ole Sabaya, Mhe. Mbowe amekuwa mtulivu. Niseme tu kwa kifupi kwamba pamoja na...
  17. Vetting system ya viongozi ilishindwaje kumchuja Ole Sabaya?

    Tulioona mengi kwa miaki mingi tunafahamu kuwa kiongozi hakuibuka tu, na kupewa madaraka ya juu. Wakati wa Mwalimu walienda mbali zaidi, viongozi walipikwa wakapikika. Na walijua mwishowe kuwa madaraka ya mwiho ni kauli ya wananchi kwa ujumla wao. Na viongozi walipelekwa mafunzo, iwe JKT, Vyuo...
  18. A

    Nakiri Ole Sabaya kunishinda ujanja na kuweza kunidanganya. Nilimuona mzalendo kweli kweli

    Habar watanzania poleni kwa majukumu Mpaka Sasa kichwa changu naona kipo tu kama mzigo sababu ubongo ulishindwa kuelewa chochote maana Sabaya nilimuona mzalendo Sana Mpaka nilimkingia kifua Mbele za watu kumbe nilikua namtetea Mwizi na mnyang’anyi Pia, Sabaya katika watu 5 nilio waona...
  19. J

    Hawa akina Ole Sabaya na Kakoko ndio wanachafua Legacy ya hayati Magufuli

    Kiukweli Ole Sabaya wa Hai na Kakoko wa TPA walipendwa sana na hayati Magufuli lakini ndio wamekuwa watendaji wa mwanzo kabisa kuichafua Serikali ya Awamu ya 5 kwamba na yenyewe ilikuwa na makandokando kibao. Kwa namna alivyoijenga CCM wilayani Hai DC Ole Sabaya aliaminika kama kijana mzalendo...
  20. Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi. Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabili ===== UPDATES: ===== Arusha. Aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…