oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Chama kipo Kigoma tu alafu kimekuja na slogan ya Oktoba Linda Kura. CCM wamewapelekea IGP Mstaafu kuwa Mkuu wa Mkoa. Aibu yao!!

    Wakati Chadema inapambana na kampeni No Reforms No Election kwa faida ya Taifa na Wananchi wote, kuna wanasiasa wachache kwa tamaa ya fedha waliingia kwenye mitego ya CCM ili kuhujumu kampeni hii. Walichosahau hawa wanasiasa maslahi/ madalali ni kuwa CCM ni kama vampire ambaye damu kwake ni...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Itakapofika Oktoba (siku ya kupiga kura), akili za kuambiwa changanya na zako

    Rais mstaafu, Jakaya Kikwete amesema, licha ya vyama mbalimbali vya siasa kuwa na kauli mbiu zake zikiwamo za "Piga kura linda kura (ACT Wazalendo, "Oktoba tunatiki ya CCM na No Reforms No Election ya Chadema, itakapofika siku ya kupiga kura, " akili za kuambiwa changanya na zako." Ameyasema...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Ziwa yasimama Rais Samia; Awasili Jijini Mwanza na kupokelewa na Maelfu ya Wananchi Wenye Nyuso za Tabasamu na furaha akielekea Mkoani Simiyu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge Amewasili Mkoani Mwanza...
  4. mshale21

    JamiiForums Tanzania Oktoba linda kura ni kauli mbiu inayoashiria uchochezi na uvunjifu wa amani wakati wa uchaguzi, waliotoa kauli hii wadhibitiwe haraka

    Ni wazi kabisa ACT wazalendo walisaini maadili ya uchaguzi kuelekea uchaguzi mkuu 2025 mwezi October kuonesha kuwa walilidhia kanuni hizo, wanajua kanuni hizo ziliwaelekeza kuwaelimisha wafuasi wao kuwa hawataruhusiwa kuwa na simu eneo la uchaguzi wakat uchaguzi ukiendelea, pia wanajua wazi kuwa...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Debora Tluway: Hatusitishi Uchaguzi, Oktoba Lazima Tutiki

    DEBORA TLUWAY: HATUSITISHI UCHAGUZI OKTOBA LAZIMA TUTIKI Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Debora Tluway amewataka Wananchi kuendelea kuendelea kujiandaa Kwa ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 kuhakikisha wanakipa Chama Cha Mapinduzi kura...
  6. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diwani Kishapu ajitokeza kueleza utekelezaji wa ilani ya CCM Januari hadi Juni 2025, joto la kutetea kiti Oktoba linapanda

    Diwani wa Kata ya Kishapu Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga Joel Ndettoson Juni 9,2025 ameendelea kuonyesha usimamizi mzuri ulioleta mabadiliko wakati akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kipindi cha Januari hadi Juni 2025 Kata ya Kishapu mbele ya...
  7. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Maria Sarungi kupitia X ameandika Oktoba Tunatiki

  8. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Heche amesema wao Oktoba wanatiki

    Wakuu Je, ni kweli Heche amesema wao Oktoba wwanatiki?
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Tutegemee matukio gani kujitikeza kuanzia sasa kuelekea Oktoba 2025?

    Uzi huu ni kwa wale waona mbali tu. Wale waliibarikiwa kipawa na Mwenyezi Mungu cha kuweza kuona yajayo. Kwa upepo unavyoenda, ni matukio gani makubwa unahisi yanaweza kutokea kuanzia sasa mpaka hapo Oktoba? Cc: Tumia akili
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Oktoba tunatiki chali kama Chaumma

    Daima HIARI YASHINDA UTUMWA... Chaumma kiliwezeshwa ili kukiuwa CHADEMA kimeangukia pua na sasa kiko njiani kuelekea ICU then mortuary! Vipi kuhusu 'Oktoba tunatiki (October tuna tick) imeanzishwa baada ya moto wa NO REFORMS NO ELECTION fukuto lake kugusa mfupa.. Muda huu sijui imefia wapi...
  11. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia hajawahi kukanusha Maneno yake ya Oktoba 17 2020 Pale Chunya,Ni Mwendawazimu Pekee ndiye atakayepoteza muda wake kwenda kupiga kura

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Akiwa Makamu wa Rais,Samia Suluhu Hassan alinikuliwa akitamka maneno ya Kejeli,dhihaka na dharau Kwa wapiga kura wa Chunya Mkoa wa Mbeya ! "Msipigie kura chama kingine,kwasababu hata mkipiga kura kwingine CCM inaenda kuunda serikali,CCM watashinda...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania No reforms no Election Vs Oktoba Tunatiki✔️

    Habari za jumapili; Kuna mgongano wa makundi mawili; Wapo wanaosema Bila mabadiliko ya tume hakuna Uchaguzi Vs wale wanaoona mambo yapo sawa hivyo watashiriki uchaguzi. Maoni yako ni yapi? Kila kundi Lina haki ya kimtazamo kuamini kile linachoamini. Hivyo yeyote asichukuliwe mbaya kwa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi yatoa onyo kali, yasema haitavumilia vurugu uchaguzi mkuu Oktoba

    Jeshi la Polisi limetoa onyo kali kwa mtu au kikundi chochote kitakachojaribu kufanya vitendo vya uvunjifu wa amani kuelekea na wakati wa Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, likisema halitakuwa na muhali katika kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa amani, utulivu na usalama wa hali ya juu. Kauli hiyo...
  14. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Lindi International University (LIU) kuzinduliwa Oktoba 2025

    Lindi kuchele. Mambo yameanza kuongezeka Kilimanjaro kaeni kwa kutulia tunakuja kwa Kasi ya mwanga. Kozi zitakazotolewa, Undergraduate 1. Bsc Aquatic Science, 2. BA African Medicine, 3. BA Islamic Banking, 4. BA Sharia, 5. BA Econometrics, 6. BSc. Aeronautical Engineering, Postgraduate PhD in...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Utabiri; Uchaguzi hautafanyika Oktoba, sababu kuu ni hizi

    Unabii tu ; uchaguzi Oktoba hauwezi kufanyika , na sababu kuu itakuwa ni hizi, 1. Kuelekea karibu na uchaguzi , Kanisa Roman Kathoriki watatoa tamko kali la kuwazuia waumini wake nchi nzima kuto kwenda kupiga kura. Waraka huo utasomwa kwenye majimbo hadi Jumuiya zote nchini. 2. Kanisa la...
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla: Watanzania tudumishe amani na utulivu kuelekea Uchaguzi mkuu Oktoba

    Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CРА Amos Makalla ametoa rai kwa Watanzania kudumisha amani na utulivu iliyopo kwa sasa ili nchi iweze kuwa na maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wassira: Kazi yetu kuanzia sasa mpaka Oktoba ni kukamata dola kwa nguvu ya wananchi na sio jeshi

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira, amesema kuwa kuanzia sasa hadi Oktoba mwaka huu, kazi kubwa ya Chama ni kuhakikisha kinakamata dola kwa nguvu ya wananchi. Amesisitiza kuwa CCM haitegemei Jeshi la Polisi ili kushinda uchaguzi mkuu unaotarajiwa...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa ACT-Wazalendo baada ya kuwa Chama kikuu Cha upinzani Oktoba 2025

    Ewe mwanaJF, tupia ushauri wowote kwa hiki Chama ambacho mpaka Sasa kina dalili zote za kuwa Chama kikuu Cha Upinzani katika medani yetu ya siasa mara baada ya uchaguzi wa Oktoba 2025. Unapendekeza wafanye nini' na kivipi. Karibuni!
  19. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025: Wananchi Mkoa Mbeya, wakubaliana na Kauli Mbiu ya Kama hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi 2025

    Katika muktadha wa uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, wananchi wa Mkoa wa Mbeya, pamoja na wilaya zake zote, wameonyesha hisia za kutoridhika na hali ya kisiasa na kiuchumi nchini. Kauli mbiu yao ya "Kama hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi" inatoa mwangaza wa wazi juu ya matarajio yao. Wananchi hawa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Namuomba Mungu anipe uzima nishuhudie huyo anayedanganya wananchi mikoani kuwa atazuia uchaguzi Oktoba, 2025

    Mpaka sasa sioni dalili za kuzuia uchaguzi zaidi ya kupiga porojo kwa wananchi na kuzawadiwa samaki, wakati wa Magufuli wananchi walijaa kama hivyo lakini mwisho wa siku ulishindwa uchaguzi na ukasaidiwa na mabalozi kukimbia nchi. Kwenye mikutano yako unatukana wateule wa Rais unawaita wana...
Back
Top Bottom