oktoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza Ijumaa Oktoba 17, 2025 kuwa Sikukuu ya kitaifa ya kumuenzi Odinga

    Serikali ya Kenya imetangaza Ijumaa, Oktoba 17, 2025 kuwa sikukuu ya umma kwa heshima ya aliyekuwa Waziri Mkuu, Raila Odinga, aliyefariki dunia Oktoba 15, 2025 akipatiwa matibabu nchini India. Katika tangazo maalumu la gazeti la Serikali Na. 15007 iliyochapishwa mapema Oktoba 16, 2025, Katibu wa...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huu ndio ukweli mchungu kuhusu OKTOBA 29 , hakutakuwa na maandamano Bali ni Kutiki tu

    Ninasimamia ninachoamini na ninaamini watanzania hawapo tayari kwa maandamano yasiyo na mwisho na Hilo ndilo linafanya maandamano yanayoratibiwa kufanyika OKTOBA 29 kukosa hoja ya ushawishi na utekelezaji na kuyapuuza. Huu ndio ukweli mchungu wa OKTOBA 29 : Kwanza , watu wataamka mapema...
  3. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 OKTOBA 29 tunatoka

    INUKA TANZANIA! 🇹🇿 AMKA TANZANIA! TANZANIA HURU! SAMIA LAZIMA AENDE! ACHA UTEKAJI MIMI MTANZANIA! POLE POLE BURE! TUNDU LISU BURE! HAKUNA MAREKEBISHO HAKUNA UCHAGUZI! #Oktoba29Tunatoka 📍 Watanzania lazima wainuke na kupigania uhuru wao, dhuluma lazima iishe 💪🏿
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 kutafanya kazi iwe nyepesi zaidi

    Kazi ya kuondoa uovu nchini mwetu itakuwa nyepesi zaidi, na itamalizika kwa haraka sana na kwa usalama zaidi kwa kila mtu iwapo waTanzania, popote walipo ndani ya nchi hii watajitokeza kukataa uchafuzi uliopangwa kufanyika siku hiyo. Hivi vitisho vingi vinavyo tolewa na hao wanaojiita "Amiri...
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sioni dalili zozote Oktoba 29 zaidi ya kutiki na kusubiri uapisho

    Huo ndio ukweli usio na chembe ya unafiki na anaye nipinga nipo tayari niweke naye 2m mezani
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kazi ni rahisi sana Oktoba 29

    Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba. Siku hiyo kazi ni rahisi sana Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu. Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hussein Machozi asema Oktoba atatoka

    Msanii wa Bongo Fleva, Hussein Machozi ameandika kwenye ukurasa wake wa Instagram kuwa kama wako 1000 basi naye atakuwa mstari wa mbele kama wa 1001 hiyo Oktoba.
  8. D

    JamiiForums Tanzania KERO Jumbe nyingi za “Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba 2025” kila siku!

    Habari za asubuhi ndugu zangu! Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu: ‎ ‎“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.” ‎ ‎Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
  9. God is Dead

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya uamsho wa Taifa: Siku ya Kupinga Ubabe na Udhalimu

    Watanzania, ndugu zangu, Leo tunasimama hapa si kwa hofu — bali kwa hasira. Hasira ya watu waliodhalilishwa kwa miaka. Hasira ya watu waliodhulumiwa hadharani, wakabaki kimya. Hasira ya watu walioumia, lakini wakatakiwa wapige makofi. Na sasa nawauliza: Mpaka lini tutakaa kimya? Mpaka lini...
  10. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Oktoba katiki baada ya hapo wakosoe wakuteke uliowapa tiki

    Sasa hivi wanakubembeleza ukatiki October 29 baada ya uchaguzi uliowachagua ukiwakosoa wanakuteka
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Na hawa ndio vijana wa kiTanzania watakaoandamana Oktoba 29?

    Kanda ya ziwa bado safari ni ndefu, sijui wamepatwa na nini Wananchi wa Buhongwa Wilayani Nyamagana Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi pembezoni mwa barabara, tayari kwaajili ya kumlaki na kumsikiliza mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya...
  12. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shauri la Kikatiba la Luhaga Mpina dhidi ya INEC kuendelea leo Oktoba 6, 2025

    Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina kuondolewa kugombea Urais wa Tanzania. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mbele ya majaji watatu kuanzia...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Tusiruhusu Uharibifu, Ukombozi Uanze usiku wa 28 Oktoba

    Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku. Uhuru wa Tanganyika ulitangazwa usiku wa tarehe 8 kuamkia tarehe 9 December 1961. Mapinduzi ya Zanzibar yalikamilika...
  14. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Ukiamka mgonjwa oktoba 29 mtaarifu mjumbe ufanyiwe mpango ukapige kura

    Mgombea wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema kwa mtu atakayeamka mgonjwa siku ya kupiga kura Oktoba 29, 2025 atoe taarifa kwa mjumbe wake ili afanyiwe utaratibu. Samia amebainisha hayo leo Alhamisi, Oktoba 2, 2025, katika...
  15. 888I

    JamiiForums Tanzania Oktoba 29: Kutiki au Kutikisa?

    Siku zinayoyoma kwa kasi kuelekea Oktoba 29, 2025. Kuna pande mbili kuu zenye mitazamo tofauti kabisa kuhusu nini hasa kinapaswa kutokea siku hiyo. Je, itakuwa siku ya kutiki au kutikisa? Pande zote mbili zina hoja zao. Upande mmoja unaamini kwamba suluhisho la changamoto za taifa letu lipo...
  16. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba ni kumbukizi ya kuzaliwa Hayati JPM na ndiyo siku ya uchaguzi mwaka huu huku wananchi wakidai kuandama kupinga uchaguzi huo

    Wakuu kuna mambo nayaona kuelekea Oktoba 29 mwaka huu isiyo ya kawaida kabisa katika nchii tangu kizazi cha uhuru. Tarehe hii 29 Oktoba imebeba historia nzito sana kwa Taifa la Tanzania,inahusisha mambo makuu matatu ya kuogofya 1.Uchaguzi Mkuu wa Rais,Wabunge na Madiwani. 2. Kumbukizi ya...
  17. Hidden Diamond

    JamiiForums Tanzania Ni aibu serikali kuwatumia mabongolala kama mwijaku,Stan bakola,wema sepetu,Jimmy mafufu na vilaza wengine kuhamasisha watu wakatiki oktoba

    Serikali badala ya kuwatafuta watu wenye ushawishi wa Maana ili waweze kutushawishi Sisi wenye uelewa mpana ili tukatiki oktoba wenyewe wanatuletea vichekesho kwenye jamii ya watu waliojeruhiwa imagine mtu kama Bibi wema sepetu amekazana kusema oktoba tukatiki ukimuuliza kwa sababu gani nikatiki...
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 It's Do or Die. Tuchukue hatua kukomesha utawala huu wa kidhalimu tarehe 29 Oktoba au tupotee mazima na vizazi vyetu

    Uwe askari polisi , uwe daktari, uwe mwalimu, uwe mwanajeshi, uwe hakimu au jaji, uwe mkulima, uwe mfanyakazi, uwe bodaboda uwe Mama ntilie, uwe machinga au uwe jobless usipochukua hatua hiya Oktoba 29 ndo umeweka muhuri kwenye kunyanyaswa kwako na kuibiwa rasilimali zako huku wewe, familia...
  20. ngara23

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya oktoba 29, 2025 hayawezi kufanikiwa, japo nia yake imewapa ujumbe mkubwa mafisadi

    Ningetamani haya maandamano yatokee na sisi tufanye mapinduzi dhidi ya mafisadi na viongozi wahuni, lakini Kwa vyovyote hili halitawezekana Mafisadi na wahuni watafanikiwa kufanya uchaguzi fake Kwa amani na kujitangaza kushinda na baadaye kujiapisha na kupigiwa mizinga na jeshi letu, Sababu...
Back
Top Bottom