oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    PostGE2025 Mwabukusi: Kuna watu wameuawa Oktoba 29 wamepigwa risasi ndugu wakaambiwa waseme wamekufa kwa homa ili wapewe maiti

    Akizungumza na Jambo TV leo Januari 09.2025, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi amesema wananchi wamekuwa wakipeleka malalamiko kuwa kuna ndugu zao waliuawa Oktoba 29 kwenye vurugu wakaambiwa kusema wamekufa kwa homa ili wapewe maiti na hata vyeti vya vifo...
  2. Kwa nini ratiba ya kukusanya ushahidi wa Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 haijawekwa wazi?

    Kufuatia matukio mbalimbali yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi na kuibua hali ya sintofahamu kwa umma na jumuiya za kimataifa, Serikali kupitia Rais Samia Suluhu Hassan iliunda Tume kwa ajili ya kuchunguza masuala hayo, licha ya kuwepo kwa mijadala mseto kuhusu uhalali wa Tume hiyo pamoja na...
  3. R

    PostGE2025 Tume ya uchunguzi Matukio ya Oktoba 29 yatua Mkoa wa Mara

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amepokea Makamishna wa Tume ya Rais iliyopewa dhamana ya kuchunguza matukio yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, mwaka jana kwa ajili ya kuzungumza na makundi mbalimbali ambapo leo wameanza kuzungumza na viongozi wa Mkoa wa...
  4. M

    PostGE2025 Abdallah Makame: Oktoba 29 watu waliokuwa na silaha waliua wenzao na kuvamia vituo vya polisi

    Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Dkt. Abdallah Makame(CCM) amesema kuwa waliofanya mauaji, kuvamia vituo vya polisi, maduka na kuchoma mali ni watu waliokuwa na silaha ambao mpaka sasa hawajajulikana ni kinanani hasa na walizipata wapi. Ameongeza kuwa hata Sheikh Sharrif Majini aliuawa kwa...
  5. TEC huyu mama anawabeep. Tunaomba muandike barua kwenda ICC kuieleza mna ushahidi wa Mauaji yaliyofanyika Oktoba 29 na mpo tayari kuutoa

    Huu ni wito kwa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania TEC. Nyie ni chombo nyeti sana na mna aminika dunia nzima. Huyu kibibi anawabeep sana. Anawashambulia, anawateka, na kuwafanyia mashambulizi ya kutaka kuwaua. Sasa akishirikiana na wapumbavu wake wa tiss na bakwata anaandaa vikundi vya...
  6. PostGE2025 Askofu Musomba: Tumepoteza mwelekeo kwa yaliyotokea Oktoba 29

    Askofu wa Jimbo Katoliki la Bagamoyo, Mhashamu Stephano Lameck Musomba, amesema Taifa limepitia mwaka wenye majonzi makubwa uliodhihirisha kupotea kwa mwelekeo wa maadili na mshikamano wa kijamii, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kurejea kwa Mungu, haki na kuheshimiana ili kulinda amani ya...
  7. Ipo siku watakubali na kujuta waliyofanya Oktoba 29 kama Mkapa alivyojutia ya Januari 2001? Waliohusika watawajibishwa?

    January 27, 2001 yalifanyika maandamano yaliyoitishwa na chama kikuu cha upinzani CUF kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu wa Zanzibar wa Oktoba 2000 uliyompa ushindi mgombea wa CCM Dkt. Amani Abeid Karume dhidi ya mgombea wa CUF, Maalim Seif Hamad. Kutokana na maandamno hayo kulitokea vifo kadhaa...
  8. PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yakutana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda

    TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda. - Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya...
  9. M

    Matamko ya kishenzi shenzi na kibabe ya watawala haramu yalizikwa rasmi 29 October 2025

    Kabla ya October 29, 2015 watawala haramu walikuwa na kauli za kuwadhalilisha wananchi wa nchi hii. Hadi vimkuu vya wilaya vilikuwa na majivuno na kauli za kuwakejeli wananchi. Mara ooh kama hujui kufa andamana, mara ooh inabidi uandae kabisa kaburi lako, mara hakuna cha nywinywinywi. Chalamila...
  10. Ninapendekeza Kupanua Mamlaka ya Mikoa: Njia ya Kugawana Keki ya Taifa Bila Kuvunja Sahani ya Umoja

    Kuna mawazo ambayo hayazaliwi kwa makelele ya mikutano, bali kwa ukimya wa tafakuri ndefu. Mimi nimefikia hatua ya kuamini kuwa moja ya matatizo makubwa ya Tanzania si ukosefu wa rasilimali, wala si ukosefu wa watu wenye nia njema; tatizo letu ni mahali tulipoamua kukusanya mamlaka...
  11. I

    Mauwaji ya Oktoba 29: wagombea wachunguzwe historia ya ubinadamu wao.

    Wajumbe. Ubinadamu kazi. Na kila mwanadamu anapita njia nyingi sana katika makuzi yake. Ipo dhana moja muhimu sana. Dhana ya utimamu wa kihisia. Hisia za mwanadamu huwa na athari chanya au hasi katika akili yake. Mathalan, mwanadamu ambae enzi za utoto wake alikulia katika familia zenye...
  12. K

    PostGE2025 Kwa Mujibu wa Fr. Kitima (TEC), Kanisa Katoliki lina idadi kamili ya waliouawa kwenye Maandamano ya OKTOBA 29(VIDEO)

    Leo nimepata wasaa wa kusikiliza kwa makini maojiano na vyombo vya habari aliyoyafanya Dr Kitima na kujiridhisha pasi na shaka Kanisa Takatifu la Mitume Kanisa Katoliki na TEC wana idadi kamili ya waliouliwa kwa mtutu mnamo tarehe 29 October 2025 Katoliki mumenipata hawa masheikh ubwabwa na...
  13. PostGE2025 Habibu Mchange: Lissu na Heche ndiyo walioratibu maandamano ya Oktoba 29

    Katika kipindi cha One Against One kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na mwanahabari mwandamizi Habibu Mchange, Mchange amesema kuwa mwenyekiti wa Chadema na makamu wake John Heche ndio walioratibu maandamano ya Oktoba 29 siku ya uchaguzi mkuu.
  14. M

    TANZIA Askari wawili wa kikosi cha kutuliza ghasia mkoani Mbeya wafariki katika ajali ya gari

    Askari wawili wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia Mkoa wa Mbeya, wamefariki dunia katika ajali ya barabarani iliyotokea jana Desemba 16, 2025, katika eneo la Karasha, Wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, kwenye Barabara Kuu ya Mbeya—Tunduma. Ajali hiyo ilihusisha gari la Mitsubishi Canter Boxbody la SGA...
  15. Samia kukosekana kwenye list ya Forbes 2025 ni madhara ya matukio ya Oktoba 29?

    Forbes wametoa tena orodha ya wanawake wenye nguvu zaidi duniani ambayo ya mwaka wa jana (2024) Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa nafasi ya 91. Lakini cha kushangaza mwaka huu amekosekana kwenye orodha hiyo huku wakionekana Wanawake wengine Wakiafrica zaidi ya nane, kama vile Rais mpya wa Namibia...
  16. R

    PostGE2025 Kiliba: Lazima umma ijulishwe waanzilishi wa matukio batili Oktoba 29 ni wanaharakati

    Akizungumza na vyombo vya habari leo desemba 14, 2025 Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba amesema lazima umma kujulishwa wahusika na waanzilishi wa matukio ya Oktoba 29 na siku zilizofuata ambao ni wanaharakati "lazima umma ujue tutakuwa ni...
  17. R

    PostGE2025 Kiliba: Je, Mikakati na mbinu za wanaharakati za Oktoba 29 zilisaidia kupata mwarobaini wa matatizo yetu?

    Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO), Geofrey Kiliba akizungumza na waandishi wa habari leo Desemba 14, 2025 amehoji mikakati na mbinu za wanaharakati za Oktoba 29 kama ilileta mwarubaini wa chanagamoto zinazowakabili wananchi na taifa kwa ujumla kama...
  18. Gen Z Oktoba 29 tulifanya kosa kubwa

    October 29 shule za Msingi na zenyewe zilitakiwa zichomwe moto kama zilivyochomwa Vituo vya mwendo kasi, Shule nyingi za Dar ni mbovu zimechoka sana yani chakavu kama zingechomwa Moto na zenyewe zinge karabatiwa na kuwa mpya na madawati yange nunuliwa na Watoto wetu wange furahia mazingira...
  19. Tume ya Jaji Chande wanahitaji picha na video ili "wajue" kilichotokea Oktoba 29?

    Mambo vipi wana JF.,. Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: maoni@tume.uchunguzi.go.tz au WhatsApp/SMS. Sasa...
  20. PostGE2025 CHADEMA: Matokeo ya uchaguzi mkuu 2025 yafutwe pamoja na Tume Uhuru ya Uchaguzi INEC

    John Heche Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), amesema kuwa chama hicho hakiutambui uchaguzi mkuu wa tarehe 29 Oktoba 2025 na matokeo yake ni batili hivyo chama hicho kimetaka uchaguzi huo ufutwe. Aidha Heche amesema kuwa Tume ya Uchaguzi haina sifa ya kuwa Tume...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…