oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Musukuma: Chama chetu kinahitaji kutoa kauli kuhusu Oktoba 29, lazima tuangalie tulipokosea, tuchukue hatua

    Mbunge wa Jimbo la Geita, Joseph Kasheku Musukuma akiwa katika mahojiano na Channel ya M&S Podcast ambayo yamechapishwa Julai 1, 2026.
  2. JamiiForums Tanzania Kama CCM ni chama kinachojali raia wanyonge kwa nini kisitenge hata bil 300 kufidia wafanyabiashara waliothirika na vurugu za Oktoba 29?

    Hapa nazungumzia wafanyabiashara wadogo na wa kati ambao walipoteza mitaji yao. Mtu alikuwa na mtaji kama wa mil nane au kumi na sababu ya ufisadi wa CCM vurugu zikatokea. Inakuwaje mnajitengea tril moja kujilipa kwa ajili ya safari lakini mmesahau kusaidia watu walioathirika na ufisadi wenu.
  3. JamiiForums Tanzania Ni chombo gani cha habari cha Tanzania ambacho kimetengeneza hata makala moja kuhusu Watanzania waliouliwa Oktoba 29?

    Baada tu ya mauaji ya Samia kutokea, vyombo vya habari vya kimataifa viliingia kazini. Vingine viliandika kuhusu hayo mauaji. Baadhi vilitengeneza makala za kiuchunguzi na kurusha kwenye runinga zao. Mpaka sasa sijaona chombo chochote cha habari kilichoko Tanzania ambacho kimeandika makala za...
  4. JamiiForums Tanzania Ina maana aliwadanganya Watanzania kuwa ndani ya siku 100 suala la katiba mpya litaanza kushughuliliwa? Alikuwa na wenge baada ya matukio ya Oktoba 29

    Ahadi ni deni. Tena ahadi inayohusu masuala ya msingi ya kitaifa. Taifa linahitaji katiba mpya. Alitambumbua kabisa moja ya sababu zilizosababisha vurugu ni wananchi kutaka katiba mpya. Sasa hiyo ahadi imeyeyuka mithiri ya barafu. Siku 100 zimekuwa siku 4000.
  5. JamiiForums Tanzania Kama Mzee Warioba anadai Polisi waliopiga watu risasi Oktoba 29 ndio watuhumiwa namba moja nani aliwapa polisi amri ya kupiga watu risasi?

    Nimemsikia mahala Mzee Warioba Waziri mkuu mstaafu akisema wazi bila kupindisha maneno kuwa tume iliyoundwa kuchunguza matukio ya kijinai ya Oktoba 29 ianze kuwahoji polisi waliopiga na kuua watu. Ameongezea huyu mzee na kudai kuwa Polisi ipate ukweli kuwa hao polisi walioua watu kwa kupiga...
  6. JamiiForums Tanzania WanaChadema wenzangu mpo? Poleni kwa yaliyowakuta Oktoba 29. Tuendeleze mapambano kibaraka wa CCM Mbowe yupo kando

    Nimekuwa kimya muda mrefu baada ya fitina na majungu ya watu wasiowema kutaka niwe kimya. Mapambano yaendelee. Chama kwa sasa hakina vibaraka. Na mziki wa Chadema CCM wanauona hata pamoja kukaa madarakani kupitia uchafuzi
  7. E

    JamiiForums Tanzania Hundeyin: Sijalipwa na Serikali kuripoti machafuko ya Oktoba 29, 2025

    Mwandishi wa habari za uchunguzi wa Nigeria anayeishi Accra nchini Ghana, David Hundeyin amekanusha madai kuwa amelipwa na Serikali ili kufanya uchunguzi wa habari za vurugu za Oktoba 29, 2025. Hundeyin ameyasema hayo Juni 3, 2026 baada ya kuwasilisha Makala yake yenye kichwa cha habari...
  8. JamiiForums Tanzania CHADEMA mjiulize swali la msingi. Kama Mch Msigwa angesginda uchaguzi kupitia CCM angejiuzulu ubunge sababu ya mauaji ya Oktoba 29?

    Anadai sababu kubwa ya yeye kurudi CHADEMA ni kwa sababu mauaji yalifanyika tar 29 mwezi wa kumi mwaka 2025. Je, kama CCM ingempitisha kuwa mgombea wao wa ubunge na kisha akawa mbunge angejiuzulu au angekataa kuapishwa kuwa Mbunge? Wajinga ndio...
  9. JamiiForums Tanzania Walimu waliweka tiki Oktoba 29, wamepigwa pini madaraja wanatoa milio

    Huenda kada ya walimu ni kada yenye laana, masikini na isiyo jielewa, hii ndio kada pekee inayo tumiwa na CCM kuwekwa madarakani, Oktoba 29 wao pia walichangia kwa asilimia kubwa sana, vipande vya laki na 40,140000 walivyo pewa wakaona ndio posho ya maana, sasa hivi wanalia mtaani wamegomewa...
  10. JamiiForums Tanzania Tujihoji kwa busara: Kuwapeleka Gen Z kwa lazima JKT kutaepusha kama yaliyotea Oktoba 29 au ndio itachochea zaidi? Maana tatizo sio uzalendo

    Jkt ina inakwenda kuzalisha MaGen Z ambao watakuwa wanajua kutumia silaha za kivita. Hoja kuwa kuwapeleka Gen Z JKT ni suluhu ya madiliko ili maandamano ya kutaka CCM ambayo wananchi wanasema imejaa ufisadi na nepotism sio siluhu. Gen Z ni kizazi cha watoto jasiri ambao wakichoka wamechoka...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Rose Migiro: CCM tulipata mshangao katika matukio ya Oktoba 29

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi , Dkt. Asha-Rose Migiro @officialasharosemigiro anaeleza kuwa matukio ya vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025, yalikishangaza pia Chama hicho kwani haikuwahi tokea
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Asha-Rose Migiro: Vyombo vya Ulinzi vilifanya kazi ya kutukuka Oktoba 29 kwa Taifa letu

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro, akifanya mahojiano na Salim Kikeke, Crown Media Asha-Rose Migiro: "...kuhusu vyombo vya ulinzi na usalama. Ndugu Kikeke, unafahamu kwamba katika nchi yoyote na Tanzania haina tofauti, vyombo vya ulinzi na usalama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 CCM Hatimaye yachukizwa na utekaji! Yaumizwa na yaliyotokea Oktoba 29, Balozi Migiro ateta na Kikeke

    28 May 2026 CCM YACHUKIZWA NA UTEKAJI, YAUMIZWA NA YALIYOTOKEA OKTOBA 29, BALOZI DKT ROSE MIGIRO ATETA NA KIKEKE https://m.youtube.com/watch?v=rqTKkT6dv7o Baada ya kukaa kimya toka 2017 kuhusu utekaji, mauaji, kesi feki hadi Mei 2026 kufuatia muswaada wa vikwazo uliopendekezwa huko Marekani...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Yaliyotokea Oktoba 29 yametupa funzo. Vyombo vya Ulinzi na Usalama majaribio yale waliweza kuyaondoa kwa muda mfupi sana

    Rais Samia Suluhu Hassan anasisitiza umuhimu wa vyombo vya ulinzi na usalama kutochukulia amani ya nchi kama mazoea. Anabainisha kuwa majaribu yaliyopita yametoa mafunzo, na hivyo hakuna taarifa yoyote ya kiashiria cha hatari inayopaswa kudharauliwa, bali inatakiwa kufanyiwa kazi kwa haraka...
  15. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Oktoba 29 Serikali ilitumia busara, Majeshi yalitaka kugonganishwa

    Katika mahojiano ya hivi karibuni na M&S Podcast, Mahita amesema kuwa mamlaka za kiserikali zilionesha hekima na ustahimilivu mkubwa kwa kukataa kuingizwa katika mtego wa mapambano ya ghasia, jambo ambalo lililinda na kuhifadhi utulivu wa kitaifa. Kwa kuonya dhidi ya hatari ya kuiga mapinduzi...
  16. JamiiForums Tanzania Ma CCM yangemuachia Lissu, wakazungumza naye, Uzito wa Oktoba 29 ungepungua, na Pengine Lissu angesawazisha hili suala kwa US na Ulaya

    Ila kama kawaida, Ma CCM hayana akili, Yana viburi Yanangoja tu ICC na Vikwazo . Bado RAIA titaandamana kama kawaida Mkiua tena ni Moto, msipoua , tunaingia Ikulu !!! Mtachagua wenyewe aaaahhh!!.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Mussa Salum: Marekani waiheshimu serikali yetu, ni wivu tu sababu tulivuka salama na Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) Sheikh Alhad Mussa Salum ameyasema hayo Mei 26, 2026.
  18. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Waziri Kombo: Kila nchi tuliyoenda tuliambiwa kwanini Serikali haikuja mapema, tulidanganywa kuhusu matukio ya Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amesema kuwa baada ya uchaguzi kuisha na Serikali ilichelewa kutoa taarifa ya matukio ya wakati na baada ya uchaguzi, na hata baada ya Serikali kuundwa na Rais kumtuma kwenda kutuliza mambo, kila nchi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Kaunya: Mimi ni mhanga wa Oktoba 29 nimekaa gerezani miezi 6 kwa hila za CCM

    Kaimu Katibu Mkuu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, Yohane Kaunya aliyekuwa anakabiliwa na kesi huko Bunda na kushinda kesi hizo baada ya kukaa gerezani kwa zaidi ya miezi sita leo Mei 24, 2026 amefunguka kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA Jijini Dodoma "Mimi ni mhanga wa tukio la tarehe 29...
  20. JamiiForums Tanzania Je Oktoba 29 inapita mulemule ilimopita Tannamen Square massacre?

    Angalia mlinganisho hapa:- Naona kama haya matukio yanafanana, je watawala wanapita mulemule ilimopita Tiannamen massacre?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…