Nchi yetu imefanya uchaguzi Mkuu wa Taifa tarehe 29 Oktoba 2025. Sote tunakumbuka kuwa siku hiyo na siku zilizofuata, nchi yetu imepitia hali ngumu ambayo haijawahi kutokea katika historia yake.
Palitokea vurugu zilizababisha upotevu wa maisha, ulemavu na uharibifu wa mali za umma na binafsi...
Akizungumza na Wanahabari leo, Novemba 12, 2025, jijini Dar es Salaam, Nondo amesema inapaswa kutolewa fidia kwa watu walipoteza wapendwa wao kutokana na kuwawa katika maandamano, lakini waliopata ulemavu na hata walipoteza mali zao.
Aidha kwa upande mwingine Nondo amesema maridhiano ya kweli...
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, amewataka watumishi wa umma katika wilaya hiyo kuendelea kutoa huduma kwa wananchi licha ya changamoto zilizojitokeza baada ya baadhi ya ofisi zao kuharibiwa.
Akizungumza wakati wa kufanya tathmini ya maeneo yaliyoharibiwa, Mpogolo alisema kuwa Serikali...
Wakuu,
Hii Serikali ya Samia ijitafakari sana, mpaka sasa ndugu zetu wengi walipoteza maisha kwenye Maandamano ya Oktoba 29 na idadi bado haijakamilika maana wengine ndo miili inachukuliwa na hao wanaharamu kuzikwa kusikojulikana ili wapoteze ushahidi
moyo wangu unavuja damu, vijana wadogo...
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia
na Maendeleo (Chadema) inatarajiwa kukutana jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya kisiasa, ikiwemo vurugu zilizotokea Oktoba 29, 2025 katika baadhi ya maeneo nchini.
Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, John Heche amebainisha hayo leo Jumanne...
Ukweli halisi wa kilichotokea Oktoba 19 umezimwa.
Watu hawana mida tena wa kutafuta kilichojiri, badala yake wanafikiria kufanya maamdamano mengine bila tathmini ya kikichotokea.
Kumbuka hatudili na serikali ya watu, bali ni kikundi cha kigaidi.
Imeshafahamika,
Wanapiga CURFEW
Wanazima...
Ama kweli hii serikali iliingia vitani na raia wake, hadi traffic walipewa SMG kuingia mitaani kutungua watu waliokuwa majumbani.
Serikali hii haina pa kujificha. Asanteni sana watanzania kwa kurekodi huu ushenzi, mmetuua sawa ila safari hii hamna pa kujificha.
"Taifa letu limejeruhiwa na Taifa letu limepoteza heshima kutokana na yale yaliyojiri wiki ya uchaguzi mkuu.." amesema Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap.
katika homilia aliyoitoa kwenye ibada ya Misa Takatifu ya Kuombea Waliofariki wakati wa Uchaguzi Mkuu Tanzania, Misa...
MSIMAMO WA ACT WAZALENDO KUHUSU MWENENDO NA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU 2025
Chama cha ACT Wazalendo kupitia kikao cha Kamati ya Uongozi Taifa kilichoketi 7 Oktoba 2025 kimefanya tathmini ya kina kuhusu mwenendo na matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba 2025 ambao umekuwa pigo kubwa...
Tarehe 29 Oktoba 2025 imebaki katika kumbukumbu za Watanzania kama siku iliyogeuza mwelekeo wa taifa na kufichua wazi ukubwa wa mgogoro wa kisiasa uliokuwa ukijengeka kimya kimya kwa miaka kadhaa. Siku hiyo, badala ya kufanyika kwa uchaguzi mkuu kama ilivyotangazwa, taifa lilishuhudia machafuko...
amani
baada
inaweza
kisiasa
kupata
oktobaoktoba29
samia
samia suluhu
samia suluhu hassan
suluhu
tanzania
uchambuzi
uchambuzi wa kisiasa
uongozi
uongozi wa samia
Tanzania remains gripped by the aftermath of its worst post-election violence in decades. This crisis has shaken its long-standing reputation as a beacon of peace and stability in Africa.
It has also earned the country rare rebukes from regional and continental organisations.
In a defiant...
"Waliposhiriki vurugu, wengine walipoumia, ilitakiwa wapelekwe zahanati zilizopo jirani, lakini zilikuwa zimeshachomwa hali iliyopelekea kupoteza maisha kwa makosa yenu wenyewe" - Mwenyekiti wa UVCCM Mohamed Kawaida
Je, kuna zahanati au kituo chochote cha afya kilichomwa moto siku ya maandamano?
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tabora limewakamata na kuwashikilia watu watano kwa tuhuma za kupanga njama za kuleta vurugu ikiwemo kuchoma moto vituo vya mafuta, vituo vya mabasi, ofisi za CCM na nyumba za watumishi wa serikali mkoani humo siku ya uchaguzi uliofanyika Oktoba 29, 2025.
Taarifa hiyo...
Tarehe 29 October inapaswa kuwa siku ya mashujaa kuwaenzi na kutambua mchango wao katika kutetea watanzania maskini.
Mimi nipo mstari wa mbele kupigania mabadiliko na kusimama na watanzania kwa hali zote, nime mwaga machozi kwa kutambua kuwa watanzania walikufa kwa kunipigania mimi na wewe...
Ujumbe uliochapishwa na Mange Kimambi kwenye ukurasa wa Instagram.
"Dada Mange moyo wangu unavuja damu, Watanganyika tumekuwa watumwa kwenye nchi yetu wenyewe. Tumekuwa mayatima, hakuna jeshi la kutusaidia, hatuna viongozi tuko wananchi kujipigania wenyewe
Hapo ni Nyamongo North Mara. polisi...
Mkuu wa mkoa wa njombe Anthony Mtaka ameshirikiana na wakazi wa njombe katika maombi ya pamoja kuwaombea waliofariki katika maandamano, huku akisisitiza wazazi kuwausia vijana sambamba na kuendelea kuliombea taifa libaki na Amani.
Katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Makambako, Mtaka...
Familia za watu waliowapoteza wapendwa wao kwenye maandamano yaliyotokea baada ya uchaguzi mkuu nchini Tanzania, wanaendelea shughuli za kuandaa mazishi ya wapendwa wao huku wengine nao wakiendelea kuomboleza baada ya shughuli hiyo kukamilika. ripoti zinasema kuwa watu wengi walipoteza maisha...
Kupitia ukura wa Kusaga Tv ......
"Niko salama waliniachia JANA lakini naingia mahabusu na God anatoka lakini kama mwandishi wa wananchi nitawajulisha wananchi kilichojiri .Asanteni sana Kwa Wote mliopaza sauti kwa ajili yangu na mwenzangu".
Pia Soma: Polisi wanaendelea kuwinda waandishi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.