oktoba 29

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Simba SC itacheza mechi ya kirafiki Oktoba 29, 2025

  2. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 DC Msando: Oktoba 29 imetangazwa kuwa siku ya uchaguzi, hivyo ni marufuku kuandamana kwa kigezo cha kudai haki

    Huyu jamaa naye anamikwara sana! ==================== Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mhe. Albert Msando, amesema serikali haitatoa kibali chochote cha maandamano siku ya kupiga kura, Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa siku hiyo imetengwa mahsusi kwa ajili ya wananchi kushiriki katika zoezi la uchaguzi...
  3. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wa Mnigeria kuhusu uchafuzi wa Oktoba 29!

    Samia anazidi kujipatia sifa mbaya kimataifa! Mcheki jamaa hapa akitoa maoni yake halafu ukiweza ingia kwenye sehemu ya maoni, ingia usome maoni ya wadau. This woman….what has become of her? https://youtu.be/J74HbQn--9k?si=lBxkXpYzIRwtkVDz
  4. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makonda atoa elimu Zanzibar ya namna ya kupiga kura Oktoba 29

    Mgombea ubunge wa Arusha Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda ametoa elimu ya namna ya kupiga kura kwa baadhi ya wananchi wa visiwani Zanzibar. Makonda ambaye amewasili visiwani humo mapema leo Ijumaa, Oktoba 24, 2025 kwa ajili ya kumuombea kura mgombea urais wa Jamhuri ya...
  5. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kiliba: Oktoba 29 tutarusha makombora kuwajibu wahuni wanaotaka kuvunja amani

    Nchi hii ukidai haki unaitwa Muhuni kisha kuna kikundi kitakwambia wanakushughulikia alafu Mkuu wao anamaliza kwa kusema anaongoza kwa kutumia 4R, hakutakuwa na nywinywi wala nywi nywinywi :FeelsWeirdMan: --------------- Rais wa Jumuiya ya wanafunzi wa elimu ya Juu Tanzania TAHLISO ambaye pia...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Video: Ukitaka kwenda kutiki Oktoba 29 hiki ndo kitakachokukuta

    Wakuu, Oktoba 29 tunatoka kuanza kazi na hawa jamaa wa baiskeli na tisheti za buku, ni wakati wa kukomboa nchi kama hawajielewi tutawaelesha a
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nasaha kwa vijana kuelekea Oktoba 29

    Msikilize aliyekua kada wa CHADEMA akiwaonya vijana Tazama video hii jibuni hoja msimshambulie kijana ambaye anajielewa. https://www.facebook.com/share/v/16YHaW4dSB/?mibextid=wwXIfr
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Steve Nyerere: Vijana wasithubutu kuandamana Oktoba 29

    Steve amesema vijana kwanza wasithubutu kwenda kuandamana/kutoka kwa sababu hili taifa ni lao, taifa alimtazami mzee bali linamtazama kijana wa leo anaenda kushika hatam kwenye taifa hili. Hatam ya kulinda heshima, na kulinda usalama na kulinda Tanzania. Huyu jamaa yeye ni mnufaika wa mfumo...
  9. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Awadh Said: Jeshi la Polisi simamieni ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani

    Jeshi la Polisi limesisitizwa kusimamia ipasavyo Sheria ili kuhakikisha zoezi la Uchaguzi Mkuu linafanyika kwa amani, usalama na kuaminika katika jamii kwani wao ni wadau wakubwa katika kufanikisha zoezi hilo. Mjumbe wa Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar (ZEC), Mhe.Awadh A. Said, aliyasema hayo...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Vijana wenye nia ovu na suala la Oktoba 29

    Kwa kutambua kuwa maandamano ni sula la kikatiba pia tutambue si kila atakayeandama atakuwa na nia njema wengine watakuwa ni vibaka sitamani kuwa vijana kama hawa wanapaswa kupigwa marufuku siku hiyo. Tuikariri hii sura.
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Gen Z waamka na ratiba mpya ya maandamano Oktoba 29

  12. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kawaida: Wenzetu wamekubali kushindwa ndo maana wanapanga Maandamano, tuhamasishane Oktoba 29 tukatiki

    Akizungumza wakati akifunga kampeni katika Jimbo la Makunduchi ambapo Mkutano huo uLIfanyika katika uwanja wa Muungoni Mkoa wa Kusini Unguja, Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi UVCCM Taifa Cde. Kawaida amewataka wananchi wa Makunduchi na Watanzania kwa ujumla kuendelea...
  13. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania GE2025 Charles Gabriel: Jitokeze mapema kuhakiki majina yako kabla ya kufika siku ya kupiga kura Oktoba 29

    Wananchi wa Jimbo la Ushetu, wilayani Kahama, mkoani Shinyanga, wametakiwa kujitokeza mapema kuhakiki majina yao katika vituo 565 vya kupigia kura vilivyoandaliwa, huku waliopoteza vitambulisho vya kura wakiruhusiwa kutumia hati za kusafiria, leseni za udereva au vitambulisho vya Taifa (NIDA)...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Maafisa usafirishaji watakiwa kudumisha amani wakati na baada ya uchaguzi

    Wasafirishaji abiria wanaotumia pikipiki maarufu Bodaboda na Bajaji Mkoani Katavi wametakiwa kuwa mstari mbele kudumisha amani na kamwe wasiruhusu kushawishiwa kujiingiza katika vitendo vya uvunjifu wa amani. Wito huo umetolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi Kamishna Msaidizi Mwandamizi...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi mbona mnatishia wananchi na hayo magari yenu kama mpo vitani? Au ndio dawa imewaingia kuelekea Oktoba 29?

    Mungu akunyime chochote ila si akili! Sasa hapa wanawatishia wapiga kura watakosa hata wale wa kuzuga! Walioamua kuandamana hawawezi kutishiwa na magari haya maana hata Nepal waliyatoa ila hayakuwa na msaada! Hii dalili nzuri - wamechanganyikiwa!
  16. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea ubunge Jimbo la Mtambile Pemba: Oktoba 29 tumemaliza, hakuna Maandamano

    Mgombea ubunge wa Jimbo la Mtambile Pemba kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mohammad Abdallah Kassim ameeleza kuwa katika Jimbo la Mtambile ni sherehe za ushindi za CCM zinaendelea na hakuna dalili za maandamano yoyote Muhammad ameyasema hayo katika mfululizo wa kampeni za CCM katika...
  17. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Baada ya Jeshi kumaliza kazi Oktoba 29 yafanyike haya

    1. Kusitisha utawala wote wa kikatiba na kuanzisha utawala wa mpito wa kijeshi na wananchi. Zoezi hili litahusisha na kusimamisha Taasisi za TAKUKURU, TISS na majukumu yao kufanya na Idara za Ujasusi za Jeshi. 2. Kuundwa Baraza la Uongozi la Kitaifa litakaloundwa na Maofisa wa Kijeshi pamoja na...
  18. Registered_jf

    JamiiForums Tanzania Family Get Together - Oktoba 29

    Oktoba 29 Nitakuwepo. Nategemea kukutana na kaka na dada zangu from another mother! Mimi naona itakuwa get together tu ya wajukuu wa Clemence Mwandambo. Divided by DNA, United by Dismay. Nitaamka zangu saa 12, nioge nile zangu kiporo cha wali maharage, nichukue back pack yangu nitoke...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polisi Njombe: Wananchi wajitokeze Oktoba 29 kupiga kura bila hofu yeyote, tumejipanga vizuri kwa atakayekiuka sheria

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe limewataka Wananchi wa Mkoa wa Njombe kuwa huru na kujitokeza kwa wingi kupiga kura tarehe Oktoba 29,2025 bila hofu yoyote Akizungumza na Vyombo vya habari Oktoba 20,205 Kamanda "amesema mtu yoyote ambaye atakikuka sheria za nchi ya Tanzania Jeshi la Polisi...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Askari wote wa Tanzania angalieni hii documentary ya Al Jazeera kuelekea Oktoba 29

    Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwenye Documentary hii iliyorushwa na Al Jazeera kuhusu siku 36 za mwisho ya utawala wa aliyekuwa Rais wa Bangladesh dikteta Bi. Sheikh Hasina Mimi nimeiangalia yote ila napenda kuwaomba askari wetu wanaohudumu kwenye vyombo vya Ulinzi na Usalama wachukue...
Back
Top Bottom