Mkuu wa Mkoa mstaafu Dkt. Ibrahim Msengi kwaniaba ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Dar Es Salaam ameeleza kusikitishwa na uvunjifu wa amani uliotokea siku na baada ya uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, akiwataka wale wanaodai haki kutekeleza wajibu wao kwanza, huku pia akimshukuru...
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Roma Mkatoliki, ameshangazwa na kile anachoeleza kuwa ni matumizi makubwa ya nguvu, including kuua watu, yanayofanywa na baadhi ya viongozi wa Tanzania kwa lengo la kulinda madaraka wanayoyatumia kujinufaisha badala ya kuwahudumia wananchi.
Roma anasema fedha...
Ikumbukwe siku ya jana msemaji wa serikali alisema wananchi waende kuchukua miili polisi na sio sehemu husika ya kuchukua wapendwa wao, hali iliyozua mjadala mkubwa kwa wananchi.
Kuna wananchi walipeleka miili kwenye baadhi ya hospitali lakini walikuta haipo, na kuna wengine tangu maandamano ya...
Alipingana na ufisadi. Upendeleo wa kifamilia na kisiasa.
Hakuna aliyejua juu ya habari ya watoto wake na familia yake.
Alipenda kusimamia nidhamu ya watumishi wa umma.
Wananchi walimpenda maana alikuwa upande wao. Alikuwa pamoja na wananchi wanyonge.
Hakuna raia wa kawaida angethubutu...
Watanzania wenzangu,
Tukio la Oktoba 29 lilileta maumivu, sintofahamu na migawanyiko ambayo hatutamani ijirudie kamwe. Amani ya nchi yetu ni hazina kubwa, na kama taifa, tunapaswa kutafuta njia mbadala, zenye hekima na utulivu ili kufikia makubaliano kwa hoja, si chokochoko.
Ndugu zangu, hebu...
Mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania (TBC) kupitia ukurasa wake wa Facebook ameweka wazi maono ambayo amedai kuoneshwa na Mwenyezi Mungu.
"Mwenyezi Mungu amenifunulia kwamba njama zote za kuivuruga Tanzania hazitafanikiwa! Amenionesha kuwa ameyafunga maandamano yoyote yale Tanzania na...
Leo kitengo cha mawasiliano serikalini wana kazi nzito sana, sijui watachomokakaje na hii report
https://www.youtube.com/live/_rc5FxROnDs?si=UAsP2YZa9uBveWg1
Maandamano ya Oktoba 29 vijana walikuwa na hasira sana na hii imetokana na serikali imekuwa ikipoka mchakato wa wananchi. Watu wamelalamika na mifumo ya uchaguzi tangu 1995 ambapo Mrema aliliamika kuibiwa kura zake, 2000 CUF pia walilamika, 2015 ndivyo hivyo 2019 katika uchaguzi wa serikali za...
MSIMAMO WA CHADEMA KUHUSU TUME ILIYOANDALIWA KUCHUNGUZA “MATUKIO YA UVUNJIFU WA AMANI” BAADA YA UCHAGUZI WA OKTOBA 29, 2025
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuuarifu umma wa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwamba haiitambui Tume ya Uchunguzi iliyoteuliwa na Ndg. Samia...
1. Achia watu waliotekwa.
2. Achia watu waliofunguliwa kesi za kijinga.
3. Weka katiba mpya yenye matakwa ya sasa.
4. Acha kulilia mali kuliko uhai wa watu.
5. Ongea lugha ya kuridhiana sio lugha ya kutishiana ubabe na kujiona kuwa wewe ni wewe.
6. Ruhusu uhuru wa vyombo vya habari...
Anayaandika haya mkurugenzi wa shirika la utangazaji Tanzania TBC kwenye ukurasa wake wa Facebook;
Ndugu zangu Watanzania, kwa wale wanaopinga mazungumzo au maridhiano mnajua mbadala wake? Hebu tuweke pembeni mihemuko ya kibinadamu.
Tujadili kama ndugu. Ni kweli, sote tumeishakoseana. Hivi...
Ghafla tumeanza kusikia Yada Yada za maneno mapya kwenye vyombo vya habari na mitandaoni, Eti "Kuna foreign Element" zinataka kuleta machafuko," "Watu waliovuruga OKtba29 si Watanzania," "Tutafanya demokrasia yetu bila shinikizo la mtu yeyote," "Kuna waasi wa M23 wanaandaliwa kuvuka mpaka," na...
Iko hivi, wakati maandamano yanapamba moto kwenye miji mbalimbali hapa Tanzania kama Mwanza, Dar, Mara, Mbeya na Arusha, inadaiwa Rais Samia aliitisha kikao cha dharura cha baraza la usalama la taifa, lengo la kikao lilikua kufanya tasmini ya kilichotokea maana hawakukitarajia kabisa baada ya...
MTU NI UTU NA SIYO KILA MTU ANA UTU.
NIMEONA VIDEO KWENYE UKURASA WA DADA MANGE KIMAMBI.
NInapotizama video hizi za ndugu zetu walio uwawa na kulundikwa mithili ya Mikungu ya Ndizi kutokana na maandamano ya tarehe 29 oktoba 2025 Inahitaji moyo wa kishetani kuzungumzia maridhiano kabla ya...
Leo tarehe 15/11/2025, Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), kupitia Rais wake Askofu Wolfgang Pisa, limetoa tamko zito kufuatia matukio yaliyojitokeza wakati na baada ya uchaguzi mkuu Oktoba 29 na siku iliyofuata
TEC imekemea vikali utekaji na mauaji ya raia yaliyijitokeza wakati wa...
Yaan Matukio ya Utekaji na Mauaji yametokea mengi kabla ya Oktoba 29.
Ujifanye kuja kutoa pole za walouliwa Oktoba 29?.
Mh Polepole umemteka .
Mzee Kibao alouliwa, ukajifanya Tume ya Uchunguzi... Unadhan unaongea na watoto wako???.
Siku Zenu zimekwisha kufika, Huu Moto hauzimiki mpaka pale...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassana akihutubia Bunge la 13 leo Novemba 14, 2025 amesema Uchaguzi mkuu uliofanyika OKtoba 29, 2025 watanzania nchini kote walijitokeza kuchagua viongozi wanaowataka katika ngazi ya udiwani, ubunge na rais
Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Kiislamu nchini, limelaani vikali vitendo vya uhalifu vilivyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 29, 2025, na kuisihi serikali kufanya uchunguzi wa kina kubaini chanzo na vinara wa machafuko...
abdulkarim
bakwata
kati
maelfu
mauaji
mkono
novemba
oktobaoktoba29
rais
rais samia
samia
samia suluhu hassan
serikali
serikali ya rais samia
taasisi za kiislamu
uchaguzi mkuu 025
watanzania
Hivi kweli polisi wetu ni binadamu au mashetani yenye sura za binadamu? Natamani nao walipwe hivyo hivyo na si kwa kungojea Mungu bali kuwalipizia kisasi bila kujali nani alihusika wala hakuhusika. Sijui kama hawa viumbe wanastahili kuishi hata sekunde moja.
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mwanza, Mhashamu Renatus Nkwande amesema kilichotokea Oktoba 29 mwaka huu ni fedhea kwa taifa na kinalishushia taifa heshima iliyojengeka kwa miaka mingi kimataifa.
Akizungumza leo kwenye misa ya kuwaombea waliopoteza maisha kwenye vurugu zilizotokea wakati na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.