oktoba 29 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. polokwane

    JamiiForums Tanzania Ni busara serikali na viongozi wake kukaa kimya na kuacha kuzungumzia yale ya oktoba 29 2025, huu ukimya usiwafanye mjione washindi mkaendeleza kejeli

    Nikisikiliza kauli zao hawa watu, wamekosa hekima kabisa, serikali imejaa wajinga na wajivuni, na hakuna yeyote mwenye viashiria vya hekima ya kiuongozi kati yao na hasa kwa wale waongeaji ongeaji juu ya hili Msisahau mnapo kuwa mnaongea hizo kejeli zenu dhidi ya yale mliyo wafanyia...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Peter Msigwa: CCM imepoteza ushawishi, mikutano yao ni 'rented crowd', wamepata doa Oktoba 29, lazima wataporomoka

    Kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) aliyerejea hivi karibuni kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa amesema CCM haina ushawishi kwa sasa hivyo haiwezi kushinda uchaguzi. "Ukiwa mwanasiasa, kama huna ushawishi kwa wananchi, you are not a politician, fanya kazi...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Andrew Nyerere: Kuna 'fundamental ignorance', tunatafuta suluhu mahali ambapo suluhu haiwezi kupatikana matukio ya Oktoba 29

    Andrew Nyerere ambaye ni Mtoto wa Mwalimu Nyerere anaeleza haya kupitia akaunti yake ya Facebook -- Hapa nadhani kuna fundamental ignorance kuhusu matatizo yanayotukabili. Fundamental ignorance maanake tunatafuta suluhu mahali ambapo suluhu haiwezi kupatikana. Ni kama tu kutafuta dirisha mahali...
  4. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mange Kimambi: META waliisaidia Serikali ya Tanzania kufuta akaunti yangu ili kuficha maovu ya Serikali yasiwafikie Watanzania

    Itakuwa kosa kubwa sana kwa Seneti ya Marekani kujadili mauaji ya kikatili ya Oktoba 29 nchini Tanzania bila pia kuchunguza nafasi ambayo Meta ilicheza katika kuisaidia serikali ya Tanzania kuficha mauaji hayo na kueneza ukandamizaji wake nje ya mipaka ya Tanzania. Wakati serikali ya kigeni...
  5. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maseneta wapendekeza mageuzi makubwa katika uhusiano kati ya Marekani na Tanzania, kufuatia ukatili uliotokea Oktoba 29

    Muswada mpya wa vyama vyote viwili (bipartisan) unalenga kuielekeza serikali ya Rais Donald Trump kufanya mageuzi makubwa katika uhusiano wa Marekani na Tanzania, kufuatia msako wa kikatili uliotokea nchini humo baada ya uchaguzi mkuu uliopita uliogubikwa na utata. Muswada huo uliowasilishwa na...
  6. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hivi Karibuni tunaweza kuona makumi ya Askari wa JWTZ wakisema kilichotokea October 29

    Kazi ya kuanza kuwasafirisha Askari wa Tanzania nje ya nchi itaanza siku si nyingi. Wataenda kusema kila kitu kilichotokea October 29, wapi Watu walifukiwa na vitisho vyote walivyopewa.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Balozi Bwana: Video inayosambaa mitandaoni haihusiani na matukio ya vurugu dhidi ya Waafrika Kusini na raia wa kigeni, Watanzania wapo salama

    Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Mhe. James Bwana, amefafanua kuwa video inayosambaa mitandaoni haihusiani na matukio ya hivi karibuni ya vurugu dhidi ya raia wa kigeni, na kusisitiza kuwa hadi sasa hakuna Mtanzania aliyeshambuliwa kwa sababu ya uraia wake.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Jaji Chande: Si kazi ya Tume kumtia mtu hatiani au kutamka kijinai

    Jaji Mkuu Mstaafu Othman Chande ameyasema hayo leo Aprili 28, 2026 wakati Tume ya Jaji Othman Chande ikitolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali ya ripoti hiyo iliyowasilishwa mbele ya Rais Samia mnamo Aprili 23, 2026
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa letu lingekuwa na Idara ya usalama wa Taifa makini yaliyotokea Oktoba 29 yasingetokea na taifa letu lisingepata aibu kubwa kama hii

    Idara ya usalalama wa taifa makini ni ile ambayo inamuambia rais aliyepo madarakani ukweli. Kama raia wanamchukia kwa ufisadi na mambo yasiyofaa anaambiwa ukweli. Sio kumdanganya kuzunguka na mabasi ya Yutong zaidi ya 80 alafu wananchi wanamchukia huku anafanya kampeni. Hata Mwalimu Nyerere...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Unyama uliofanyika Oktoba 29 2025 ni maradufu ya unyama alioufanya Iddi Amin kwa zaidi ya miaka saba

    Ile Oktoba 29 ilikuwa ni ukatiri dhidi ya binadamu. Ndio maana anajivuna hadharani kuwa watu wa Dar hawataandamana tena.
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnajiumauma

    Mnapiga watoto wa watu risasi, wengine wanakufa wengine wanapata vilema vya maisha. Na bila aibu mnawapa kesi ya uhaini, halafu mkiulizwa mnaishia kujiumauma guys, guys, guys. Mungu yupo
  12. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania Taarifa Muhimu - MO29

    📌Important Statement from the Foreign Ministers of 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 expressing concern and calling for restraint in Tanzania - GOV.UK Taarifa Muhimu kutoka kwa Mawaziri wa Mambo ya Nje wa 🇨🇦 🇬🇧 🇳🇴 wakielezea wasiwasi wao na kutoa wito wa kujizuia nchini Tanzania. #MO29 🇹🇿 #OktobaTunatoka #tanzania...
  13. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kama upo mikoa hii kesho endelea na shughuli zako kama kawaida, hakuna harufu yoyote ya maandamano, Watu wake ni watiifu sana

    Ruvuma Iringa Rukwa Tabora Kagera Tanga Lindi Morogoro Njombe Katavi Singida
  14. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kesho nitatiki, na hizi ndiyo sababu zangu

    Heshima kwenu Waungwana Naandika haya, ukiwa ni msimamo wangu binafsi. Kwamba kesho nitatiki kwa Dr Samia Suluhu Hassani, Mbunge wa Jimbo langu, na Diwani wa Kata yangu. Sababu ni hizi; 1. Maslahi kwa wafanyakazi. Rais Samia ameboresha maslahi ya wafanyakazi kwa haki. Tofauti na mtangulizi wake...
  15. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jeshi la Polisi: Tunawahakikishia hakuna tishio lolote la kiusalama kuelekea kesho Oktoba 29

    TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi linaendelea kuwahakikishia kuwa kuna usalama wa kutosha tunapoelekea kesho tarehe 29.10.2025 siku ya kupiga kura, kwani hakuna tishio lolote la kiusalama kama tulivyowahakikishia Oktoba 26, 2025. Aidha, lingependa kuwa tahadharisha kuwa, kuna kikundi cha watu...
  16. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Bashiru: Samia alikutana na majaribu mengi alisimama kidete

    Katibu Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ali amemtaja Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kama kiongozi mwenye ubunifu, uchapakazi na umahiri katika mipango ya kuwatumikia Watanzania. Dkt. Bashiru amebainisha hayo leo Jumanne Oktoba 28...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Neno moja tu kwa mnaoenda kupiga kura

    Ndugu wanagenzi, ninalo neno juu yenu! Kuwa makini sana licha ya kwamba umehakikishiwa usalama au utalindwa, usisahau kuwa hao watu wameshachanganyikiwa ukihisiwa tu unasombwa ndani na kutoka mpaka Yesu atakaporudi. Yawezekana ulikuwa una lengo zuri tu la kwenda kupiga kura ila kwasababu tu...
  18. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna namna Gwajima anawaleta pamoja watu wote wanaothiriwa na huu mfumo wa utekaji

    Wakuu! Kama mumemsikiliza kwa makini Askofu Gwajima kwenye clipi ni kama anajaribu kuwaunganisha wananchi wote wanaothiriwa na kuumizwa na huu mfumo tekaji unaoendelea kuvujisha damu za watanzania. Ukimsikiliza kwa mazingatio utaona anawaleta pamoja watu walio upande wa Polepole, watu wanao...
  19. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwinyi: Wasiotaka amani ni watu wa ajabu sana

    Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amehitimisha kampeni zake kisiwani Pemba siku ya Jumapili kwa kutoa ahadi kumi za kipaumbele ambazo amesema atazitekeleza endapo atachaguliwa kuendelea kuongoza serikali ya awamu ijayo. Akizungumza katika...
  20. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Njombe: Mgombea wa CHAUMMA aibukia mkutano wa ACT

    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Njombe Mjini kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Sigrada Mligo jana Oktoba 26, 2025 alitumia Jukwaa la ACT kuzungumza na wakazi wa Njombe mjini pamoja na kumnadi Mgombea Udiwani wa Kata ya Mji Mwema kupitia Chama Cha ACT Wazalendo, Abuu Mtamike. Sigrada...
Back
Top Bottom