oktoba 29 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Oktoba 29

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika: "Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Octoba 29" akiwa ameambatanisha na video inayomuonyesha akisalimiana na wananchi
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Vijana Geita wana imani na Rais Samia, Kuna baadhi ya wahuni wanataka kuandamana Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29 Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bukoli, Magambo amesema vijana wa Mkoa wa Geita wamejipanga kwa ajili ya kwenda kupiga kura kwa amani...
  3. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machifu kuliombea Taifa uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

    Machifu 200 wa mikoa tisa ya Kanda ya Kusini, wanatarajiwa kufanya matembezi maalumu mkoani Mbeya, kwa lengo la kuliombea taifa, ili uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025, ufanyike kwa amani na utulivu. Mratibu wa Umoja wa Machifu wa mikoa ya Kusini, Chifu Sad Wabu (Mitondo wa Pili) ameyasema hayo...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wananchi Dar es Salaam: Wanaojipanga Maandamano Oktoba 29 waache tunaiamini Serikali, Tukatiki

    Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam wamesema wako tayari kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, wakijitenga na ushawishi wa mitandaoni unaotaka kuwapotosha kwa maandamano au kutoshiriki kupiga kura. Wamesisitiza kuwa wanatambua vyema umuhimu wa amani na athari za vurugu...
  5. J

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hakuna haja ya kusumbuka Oct 29.Kura haibadili chochote, na haihitajiki

    Atakayekwenda kupiga kura Oct 29 namuita MPU*MBAVU. Kura haibadili chochote katika uchaguzi wa mwaka huu. Kama hazibadili chochote maana yake hazihitajiki. Sasa mtu anakwenda kupiga kura kwa minajili gani, kama sio upumbavu tu. Ukiacha hayo kila mtu anajua kuhusu Polisi watakaokuwa mitaani...
  6. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shetta: Tuilinde amani yetu kwa wivu Mkubwa Kwa kujitokeza kwa wingi Oktoba 29 tukachague viongozi bora kutoka CCM

    Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Mgombea Udiwani kata ya Mchikichi Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Nurdin Bilal Juma (Shetta) ameandika: "Tuilinde amani yetu kwa wivu mkubwa ndugu zangu watanzania ! Kwa kujitokeza kwa wingi tarehe 29 oktoba tukapige kura kwa amani tukawachague...
Back
Top Bottom