oktoba 29 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29, Amri zitatolewa akiwa ikulu ipi? Dodoma? Dar? Zanzibar? Au nyumbani?

    Ki msingi naona Kuna a well calculated plan. Huwenda siku hiyo asiwepo kabisa hapa TANGANYIKA na kuwaacha watanganyika waone lipi Bora la kufanya huku akimwaga amri kutokea nchi nyingine. Nauliza tu. Atakuwa chimbo lipi?
  2. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 DCP David Misime: Wanawake mkahamasishe amani majumbani kuelekea uchaguzi Oktoba 29

    Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna wa Polisi ,(DCP) David Misime ameeleza kuwa jukumu la kulinda amani ni la kila Mtanzania, kwani vitendo vya uhalifu na uvunjifu wa amani vinafanywa na watu waliopo katika jamii ‎ ‎Misime amebainisha hayo katika Kongamano la Wanawake wa Dar es...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Yahya: Tukiwa na Kiongozi asiyependwa uovu utakuwepo

    “Kila mtu akapige kura ili tumpate tunayemtaka; tusiwekewe tusiyemtaka. Kwa sababu kuchagua kiongozi anayefaa huo ni mchango wa kusaidia kuleta wema na kufanya wema. Akiwepo ambaye hapendwi katika viongozi, uovu utakuwepo. Ili tusaidie uovu usiwepo, lazima sote tumchague yule tunayemtaka —...
  4. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Sheikh Nassoro: Kuna viongozi wa dini wanajiteka

    Sheikh wa Mkoa wa Singida, Sheikh Issa Nassoro, amewataka viongozi wa dini nchini kuwa waaminifu na kuacha kutumia nafasi zao kuchochea taharuki au migogoro ya kisiasa, akibainisha kuwa baadhi yao wamekuwa wakihusika katika matukio ya udanganyifu ikiwemo kujiteka wao wenyewe kwa maslahi binafsi...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kagera: Viongozi wa CHADEMA washikiliwa na Polisi kwa kuchochea vurugu

    Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa tuhuma za kuhusika na kupanga mikutano na maandamano kinyume cha sheria. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera, Brasius Chatanda, amethibitisha kukamatwa kwa viongozi hao na kueleza...
  6. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tumedumisha amani, demokrasia na uhuru wa kutoa maoni

    Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita, serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Samia Suluhu Hassan imetajwa kuendelea kuweka mazingira mazuri ya kudumisha amani, demokrasia na utawala bora nchini kwa kuimarisha na kukuza uhuru wa vyombo vya habari pamoja na kuimarisha uhuru wa asasi za...
  7. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Aunty LULU ahimiza amani na kukemea maandamano

    Huyu alikua kinara yeye pamoja na sativa kuhamasisha maanadamano, dakika zajioni kabisa ametema bungo. Namna gani pale!
  8. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa jana na Afande Ally wa kituo cha Ifunda

    Huyu ndie Asajile Mwanjala aliechukuliwa usiku wa Leo na Afande Ally wa kituo cha Ifunda Kibaoni Jimbo la Karinga pamoja na Afande Lazaro wa Central Iringa mjini. Soma pia: Asajile Mwanjala amechukuliwa na Afande Ally polisi wa kituo cha ifunda
  9. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Muliro awaonya wanaotaka kuandamana oktoba 29

    Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amewaonya wale wote wanaopanga, kuratibu ama kutaka kushiriki kwenye uvunjifu wa amani ikiwemo kufanya vurugu na maandamano Oktoba 29, 2025, akisema Jeshi hilo limekula kiapo kulinda nchi pamoja na raia na mali zao. Soma...
  10. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura oktoba 29

    Wakizungumza kwa nyakati tofauti leo Oktoba 24, 2025 baadhi ya wasanii wa Maigizo wamewatoa hofu wananchi ili wajitokeze kwa wingi katika vituo vya kupigia kura kwa kuwa Serikali imejipanga na kuwahakikishia wananchi hali ya amani na utulivu katika kipindi hiki cha Uchaguzi. Wamesema, tarehe 29...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtendaji mkuu wa TANROAD aungana na Rais Samia kuhimiza watu kupiga kura

    MTENDAJI MKUU WA TANROADS AHIMIZA WATUMISHI KUSHIRIKI KUPIGA KURA OKTOBA 29, 2025 Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta, amewahimiza wafanyakazi wote wa TANROADS nchini kote kujitokeza kushiriki katika zoezi la kupiga kura litakalofanyika Jumatano...
  12. funaku

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mambo ya kurekebisha baada ya Samia Suluhu kuchaguliwa rasmi Oktoba 2025

    Tukiangazia mwenendo wa kampeni na muelekeo wa wapiga kura wengi ni wazi kuwa Rais Samia atapigiwa kura na kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama wanazuoni na wanasiasa na wenye nchi tunao wajibu wa kumwambia mgombea mwenye uelekeo wa kushinda ni maeneo gani haswa hayapo vizuri,ama...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania GE2025 Tupeane mbinu za kukabiliana na polisi tarehe 29

    Wakuu Police wetu wengi afya mgogoro na hawana mafunzo ya kutosha ya kukabiliana na waandamanaji. Sasa ebu tupeane mbinu za kuwakabili hiyo tarehe 29.
  14. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2025 Oktoba 29 natarajia Mikoa ya Ruvuma, Geita, Songwe, Singida, Rukwa na Katavi iongoze Maandamano

    Mkoa wa Ruvuma ndo mkoa ambao Samia, Abdul, Rostam na CCM wanachimba madini ya makaa ya mawe kila siku na kuuza nje ya nchi kwa masaa 24. Hata hivyo ndo moja ya mikoa masikini zaidi Tanzania. Wananchi wa mkoa huu wana umasikini usioelezeka. Mikoa ya Geita, Katavi, Songwe na Singida ndo mikoa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 RC Tabora: Mtu mmoja akamatwa Tabora kwa kuhamasisha maandamano. Wananchi jitokezeni kupiga kura

    Vyombo vya Usalama mkoa wa Tabora vimemkamata na kumshikilia mwanaume mmoja kwa makosa ya kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 mwaka huu, akidaiwa kuandika maneno yenye nia hiyo kwenye nyumba za watu, ambapo Mkuu wa Mkoa huo Paulo Chacha ametoa tamko rasmi la kuanza oparesheni...
  16. Matovu Godfrey

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hesabu chini - zimebaki siku 13! kufika Oktoba 29

    JE, UKO TAYARI Dokezo! Ujumbe kwa nafsi yako ✍🏿 1. Madikteta kwa kawaida hukamata taasisi zifuatazo za serikali, polisi, mahakama, jeshi, vyombo vya habari na tume ya uchaguzi n.k. hizi hutumika kama nyenzo za kutekeleza utawala wao wa muda mrefu na kuficha ukatili, dhuluma, dhuluma...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hawa viongozi wa dini watakuja kutueleza hayo maandiko wanayatoa wapi ya kusema tusiandamane na tuheshimu mamlaka inayoteka na kuua watu

    Jioni Ya Leo Viongozi Wa Dini Wakiongozwa Na #SheikhMwaipopo - Wamezungumza Na Waandishi Wa Habari Kuhusu Amani Ya Nchi Yetu, Huku Wakikemea Vikali Maandamo Ambayo Yamepangwa Kufanywa Na Baadhi Ya Watu Wachache Kwa Maslahi Yao Binafsi. Wakati Wakizungumza Na Waandishi Wa Habari Wamewahasa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mgombea Ubunge (CCM) Kibaha Vijijini, Hamoud Abuu Jumaa akiruka Kamba wakati wa kampeni akiwaomba wananchi ridhaa uchaguzi Oktoba 29

    Mjumbe wa halmshauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (Wazazi) - MNEC na mgombea ubunge wa Jimbo la Kibaha vijijini, Hamoud Abuu Jumaa akionyesha umahiri wake wa kufanya mazoezi ya kuruka kamba kwa wananchi Tukio hilo ni moja ya sehemu ya kufurahi pamoja na wananchi na wanachama wa chama cha...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwigulu: Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Oktoba 29

    Mgombea wa Ubunge Jimbo la Iramba Mashariki kupitia CCM, Mwigulu Nchemba kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ameandika: "Wananchi wako tayari kumimina kura za kutosha kwa Wagombea wa CCM Octoba 29" akiwa ameambatanisha na video inayomuonyesha akisalimiana na wananchi
  20. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenyekiti UVCCM Geita: Vijana Geita wana imani na Rais Samia, Kuna baadhi ya wahuni wanataka kuandamana Oktoba 29

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Geita, Manjale Magambo,amewahimiza wananchi kupiga kura, Oktoba 29 Akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Bukoli, Magambo amesema vijana wa Mkoa wa Geita wamejipanga kwa ajili ya kwenda kupiga kura kwa amani...
Back
Top Bottom