oil

  1. JamiiForums Tanzania JE WAJUA NI MUDA GANI UNAPASWA KUBADILI OIL FILTER YA GARI YAKO?

    Namna ya kufahamu Oil filter ya Gari yako Oil filters inapaswa kuwa replaced kila baada ya 6,000–8,000 km (ambapo kwa wengi ni 12 months), typically kila unapofanya oil change. Viashiria muhimu vinavyo ashiria oil filter yako kuwa mbovu : Pressure ndogo ya oil Engine kukosa nguvu...
  2. JamiiForums Tanzania Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

    Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao. Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.
  3. JamiiForums Tanzania Atlantic oil 5W-30 neoteric ultra VS Atlantic oil 5W-30 Quantum ultra

    Atlantic ni kampuni ambayo Kwasasa inafanya vizuri Sana sokoni , Hii ni engine oil yenye viwango vya Hali juu na standard yake inafanaa na Castrol oil na liqui Molly Watumiaji wengi wa magari ya kisasa Atlantic oil ndiyo oil wanayotumia hata mafundi na garage zao nyingi wanapendekeza hii...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Oil sahihi ya subaru SJ5

    Wadau heshima kwenu,mgeni kidogo hapa,msaada tutani nina sj 5 na kwenye kizibo oil inayotakiwa nimeona ni OW 20,na nimekuta kuna kampuni mbili aina ya alphard titanic ila nimeshangazwa sana na utofauti wa bei wa hizi kampuni mbili titanic nimeambiwa ni 150 wakati alphard ni 55,000 naomba...
  5. JamiiForums Tanzania Tungekuwa na oil reserve kubwa Samia angeshanyakuliwa mapema sana na US kwa Ukatili.

    GT Angalia hii list..haki tungekuwa na oil reserve kubwa Samia ageshanyakuliwa mapema sana na US kwa mauaji yale makubwa. Pote penye oil reserve kubwa US kapiga hacheki na kima
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mchakato wa utoaji wa tenda ya kujaza gesi kwenye Mabasi ya Mwendokasi kwa Lake Oil ulikuwaje?

    Kampuni ya Lake Oil inatajwa kuwa mshindi wa tenda ya kujaza gesi kwenye magari yote ya mwendokasi yatakayotumia nishati ya gesi asilia. Tayari kampuni hiyo imeanza ujenzi wa vituo vya kujazia gesi katika maeneo mbalimbali ya Jiji, ikiwa ni maandalizi ya kuhudumia mabasi ya mwendokasi...
  7. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ridhiwani Kikwete: Nipo tayari kuhojiwa kuhusu tuhuma za Sheli za 'Lake Oil'. Wenye ushahidi waitwa

    Waziri KIKWETE ameongea na Sekretarieti ya Maadili. Akazungumzia ‘Sheli’ za LAKE OIL ambazo anatajwa kuzimiliki. Ameonyesha njia kwa kuwa tayari kuhojiwa na ukweli uwekwe wazi, ushahidi utafutwe kama kuna mwenye nao alete, watu waambiwe ukweli. Pia Soma: Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Lake Oil...
  8. JamiiForums Tanzania Huyu ndio mmiliki halisi wa Lake Oil

    Siasa za uchochezi zimetufikisha hapa, leo hii anaanza maisha upya
  9. JamiiForums Tanzania Pole kwa mmiliki wa kituo cha mafuta Lake Oil company

    Huyu mmliki amepata hasara kubwa sana sheli zake nyingi zimeharibiwa vibaya kwa moto, watu wamepora mitungi ya gesi yotee yaani kweupe. Lakini pia nitoe pole kwa watz waliouawa kwenye maandamano, pia natoa pongezi kwa JW walikuwa maeneo ya Igoma jijini Mwanza hakuna raia aliyepigwa risasi .
  10. JamiiForums Tanzania Car Service Episode 1/10: Engine na Gearbox Oil!

    Wakuu. Poleni na kila kitu. Nimeona leo tuwe na open discussion ya engine na gearbox oil service. Kama kuna mtu ana ujuzi na uzoefu wa aina aliyitumia na mabadiriko aliyoyaona inaweza kua msaada kwa mwingine. Kwa kuanza, mi nitatoa flashback kidogo na experience yangu ndogo kwenye hivyo...
  11. JamiiForums Tanzania Angola ni nchi ya tatu kuzalisha crude oil kwa Africa ila wana refinery moja na nyingine ndogo sana

    Africa ni bara lisiloishiwa na maajabu nchi kama Angola ni ya tatu kwa kuzalisha lakini cha ajabu wana-cude oil refinery moja na nyingine ndogo sana kwa maana hiyo crude oil inayochimbwa Angola kwa asilimia kubwa haishafishwi au kuongezewa thaman ndani ya nchi Angola wakihitaji diesel, petrol...
  12. JamiiForums Tanzania The Great Oil Lie

    How Humanity Was Enslaved by a Myth For over a century, the world was chained to a story. A story so carefully crafted, so thoroughly enforced, that it became indistinguishable from reality itself. They called oil fossil fuel. They told us it came from the corpses of dinosaurs, from the...
  13. JamiiForums Tanzania Kubadirisha oil kwenye Bugatti Chiron ni approximately Tsh Mil 50, kila baada ya 5,000 hadi 8,000 km!

    Kwa wale wamiliki wa hii babyworker tunakumbushana tu, kila baada ya km 5,000 hadi 8,000 njoo tukuwekee lita 8 za oil na oil filter mpya. Gharama ni vifaa pamoja na ufundi, ni kazi ya masaa 27 tu. Ukiwa na roho nyepesi usikae gereji. Gari inafunguliwa yoote kama kwenye picha juu. Na brake pads...
  14. JamiiForums Tanzania Je hapa ccm haijamwaga OIL? AU MPAKA ABADILISHWE RAIS NDO KUMWAGA OIL?POLEPOLE NIJIBU.

    Ccm imebadili Katibu mkuu, imebadili Katibu MWENYEZI, imebadili Makamu Mwenyekiti Bara Je Bado haijamwaga oili mpaka ABADILISHWE Samia ndo.kumwagwa kwa oil kumefanyika Sawa sawa? Pole pole nijibu
  15. JamiiForums Tanzania Kama ccm wangekubali KUMWAGA oil, je polepole angeyasema haya ya mfumo(dukuzi)?

    Jibuni swali langu? Je ccm ingekubali KUMWAGA oil haya yanasemwa yangedemwa na Pole pole?
  16. R

    JamiiForums Tanzania Polepole: Kama CCM hatutamwaga oil mkashupaza shingo, tutatumia njia y dharura kama ile ya kushusha maboya kama ya hatari kwenye Ndege

    Code, maboya ya ndege hayo ni yapi ambayo yatashushwa na kukoa CCM na Tanzania OIL isipomwagwa
  17. JamiiForums Tanzania Mekanika kaniwekea Diesel Engine Oil kwenye gari langu la Engine ya Petrol. Je kuna madhara!?

    Wataalam, natanguliza shukrani. Leo ilikua muda wa kufanya service gari yangu ( SUV) ambalo ni gari la engine ya Petrol, sasa nikafika garage na hapo hapo wanauza oil, mekanika nikamwambia na kwa uzoefu wake anajua magari madogo kama hilo langu ni gari la petrol hivyo nikamwacha afanye yake na...
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Sandalwood oil

    Karibuni mafuta ya sandal wood kwa bei nafuu. Mazuri, mazito, original kabisa moja kwa moja toka kiwandani. I little $1200. Mwenye uhitaji tafadhali apige namba 0612373688. Karibuni sana.
  19. JamiiForums Tanzania Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA ya Mechanical, Textile, Oil and Gas, Mining, na Geology Yamechanganywa Pamoja

    Kuna Uwezekano Matokeo ya Written Interview ya TRA kwa Mechanical Engineering, Textile Engineering, Oil and Gas Engineering, Mining Engineering, na Geology Yamechanganywa Pamoja Kuna uwezekano matokeo ya kada zote za Engineering yamechanganywa kwa pamoja. Inawezekana pia hii ilitokea katika...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada muda wa kubadili oil kwenye gari.

    Habari wakuu,nina gari yenye engine 2sz nilimwaga oil na kubadili oil filter ikiwa na kilomita 95,000 fundi akaandika kwenye service card kuwa natakiwa kumwaga tena ikifika kilomita 98,000.Sasa jana ndyo gari imefikisha hizo kilomita ila leo nimeangalia oil bado ipo vile vile kama mpya ikiwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…