ofisi

  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO ‘Watumishi wa Kujitolea’ wanaotumika na Ofisi za Ardhi Manispaa ya Sumbawanga ni kero kubwa kwa wananchi

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakilalamikiwa wanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ambacho...
  2. H

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kwanini ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga bado zinatumia wafanyakazi wa kujitolea

    Habarini, Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia watumishi wa kujitolea richa ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika. Kuna watu wapo pale tangu 2010 wanajitolea tu hadi leo wakiilalamikiiwa wwanapumzika kidogo halafu wanarudishwa kitu ammbacho...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje

    Askari wa madawati ya jinsia wanatelekeza ofisi kwa kisingizo cha kwenda kuelimisha nje ya ofisi kitu ambacho siyo kweli. Wanaondoka ofisini kwenda kwenye shughuli zao na simu hawapokei kabisaa wala sms hawajibu. Pia wamekuwa na tabia ya kuangalia upande wenye pesa na krsi zenye maslahi kwao...
  4. JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Kuna matumizi mabaya ya madaraka katika Ofisi za Umma, Watumishi wanalalamika

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema kuwa licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali, Utumishi wa Umma bado unakabiliwa na changamoto kadhaa, ikiwemo kutokuzingatiwa kikamilifu kwa sheria, kanuni, taratibu, miiko na...
  5. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Mayungi ashiriki zoezi la usafi Mkoa wa Mbeya

    Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Dkt. Richard Mayungi, ameshiriki zoezi la usafi katika Mkoa wa Mbeya pamoja na Balozi wa Mazingira Tanzania, Michael Msechu, vijana wa vyuo, wafanyabiashara wa eneo la Kabwe Standi, viongozi wa chama pamoja na madiwani. Zoezi hilo limeendelea kuhamasisha...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili hata Mende hawaipendi! Imepitwa na wakati

    Yaani kuna ofisi watu wanalipwa na serikali kazi yao ni kuandikia barua Chadema! Wakati nchi ipo kwenye uangalizi mkubwa
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga anaficha Barua za Uhamisho zinazotoka Ofisi ya Rais Utumishi

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao. Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa uonevu pindi anapopishana na watumishi hao. Mfano, Kuna dereva na Transport officer wamepelekwa...
  8. S

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ofisi za CHADEMA Makao Makuu zimezingirwa na Polisi muda huu

    Huu hapa chini ndio ujumbe alioutoa Hilder Newton kupitia Mtandao wa X: Muda huu Jeshi la Polisi limezingira ofisi ya Makao Makuu ya CHADEMA Mikocheni, watu hawaruhusiwi kuingia wala kutoka. Ikumbukwe asubuhi hii chama kilikuwa kinatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari. Naibu...
  9. M

    JamiiForums Tanzania KERO Ofisi za WANGIWASA zinanuka RUSHWA

    Wafanyakazi wa Mamlaka ya Maji Wanging'ombe(WANGIWASA) Waliopo kijiji cha Luduga kata ya Luduga Wamekuwa ni miungu watu kijijini hapa. Hawawajibiki kabisa kwenye majukumu tao yaani wao muda wote wanatuomba rushwa na bila kuwapatia rushwa hawafanyi kazi yeyote ile kwako, badala yake watakuwa...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Nimetuma maombi ya uhamisho Ofisi ya UTUMISHI, miezi mitano hakuna jibu, nini maana ya kuleta mifumo ya Kidigitali?

    Kero yangu ni hii Ofisi ya Utumishi, nimewasilisha ombi la uhamisho zaidi ya miezi sita sasa likapita ngazi zote ndani ya mwezi mmoja, hii ni ngazi ya mwisho kabisa ya maamuzi lakini miezi kama mitano wako kimya, hawajibu chochote umepata umekosa au kuna kasoro yoyote. Je, hii mifumo imekuja...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kupuuzwa kwa uwepo wa watumishi wa kujitolea baadhi ya ofisi za Serikali; Hususani katika kupata stahiki na posho

    Mdau hapa. Leo ningependa kuzungumzia changamoto zinazowakumba baadhi ya watumishi wa kujitolea katika ofisi za serikali, hususan maeneo ya kusini mwa Tanzania. Sitapenda kutaja majina ya ofisi husika kwani wahusika wanajitambua wenyewe. Kumekuwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa kujitolea...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wakulima wa Tumbaku - Mbogwe tunapata shida kutozwa Fedha Kupitishiwa/kusainiwa Malipo ya Wakulima na Ofisi ya Meneja MBCU LTD

    1. Viongozi wa AMCOS tunatozwa pesa kila tunapoenda kusainisha/kupitishiwa malipo ya wakulima katika chama kikuu MBCU, Kila malipo tunatozwa Meneja Ndg. Paulo Samweli kuanzia 4mil hadi 10mil kulingana na shedo ya malipo na fedha hii si ya vuongozi bali na yawakulima. 2. Tunahofia msimu huu...
  13. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu: Mwajiriwa akipoteza ajira atapata mafao yake ya jumla ndani ya Siku 90

    Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Ajira na Mahusiano), Dkt. Evaline Wilbard Munisi amezungumza Bungeni leo Mei 8, 2026 kuhusu stahiki za Watumishi ambao hawapo kwenye ajira na walikuwa wanachama wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia soma ~ Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA...
  14. JamiiForums Tanzania PICHA: Tutajenga ofisi ya mkuu wa mkoa kwa Tsh bilioni 10

  15. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  16. H

    JamiiForums Tanzania Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.

    Karibu kusoma Jarida la Ofisi ya Waziri Mkuu, Toleo la 9 la Aprili 2026, linalopatikana kupitia tovuti ya www.pmo.go.tz.
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Waziri MkuuHeri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972

    Ofisi ya Waziri Mkuu Heri ya Kumbukizi Siku ya Sheikh Abeid Amani Karume 1905-1972
  18. H

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka

    Ofisi ya Mbunge Jimbo la Iramba Magharibi. Heri ya Sikukuu ya Pasaka.
  19. M

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Barua za Uhamisho TAMISEMI kwa sasa hazisainiwi na Ofisi ya Katibu Mkuu?

    Habari, kuna tatizo naona since November 2025 barua za mwisho kutoka hadi sasa kuna strikes imewekwa kuzuia barua ambazo tayari ziko ofisi ya katibu mkuu kuto sainiwa ikisemekana uhamisho wote umezuia na waziri mwenye dhamana. Sisi tulioajiriwa mikoani na tunafamilia ziko mbali na sisi ndoa...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini 'Wachapakazi Hodari' wanaishia kuwa punda wa ofisi, Huku 'Wambea' Wakipanda Vyeo?

    Leo tuweke mafaili ya ofisini pembeni na tuzungumze ukweli ambao Human Resources (HR) wako hatakuambia kamwe. Tangu tukiwa shule ya msingi tulikaririshwa fomula moja ya kijinga sana: "Soma sana, piga kazi kwa bidii, bosi atakuona, utapanda cheo na kutoboa kimaisha tuu." Ila Kwenye ulimwengu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…