Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga.
Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo.
Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.