nzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwa nini wauza Chips hutumia tomato sauce nyepesi ya majimaji tu na huwa hawana ile nzito (ketchup)?

    Kwa nini wauza Chips karibia wote mtaani na haya kwenye hotel kubwa huwa wanatumia tomato sauce ile nyepesi ya majimaji tu? Ketchup ni kwa ajili ya matajiri? Mbona Tanzania nyanya nyingi sana hadi zinaoza kiholela! Inakuaje wauza Chips wanaona tomato ketchup ni anasa?!
  2. JamiiForums Tanzania Picha nzito ya historia ya evolution ya mtu mweupe. Sisi bado tupo na maswali ya namna ya kufanya zindiko zuri la utumbo wa samaki ili kupata wateja.

    Kuanza kujilinda kwa farasi na mapaga hadi kujilinda na Northrop B-2 Spirit na satelite angani. Kuna mtu aliwahi kusema "uhuru wenyewe una miaka 50 tu, tuvumiliane" , 😁😁 no bro, you are just dumb The Worst Marcostilone mcTobby
  3. JamiiForums Tanzania SGR Station Dodoma hewa nzito

    Leo jumamosi Sept 19 nasafiri na treni ya sa nane mchana,baada ya kuscan nikaelekea eneo la VIP ila nikakutana na hewa nzito mno na harufu kali. Nikaenda washroom nikakuta ile harufu kali inatokea eneo hilo la washroom kwa sababu hakuna hewa inayoingia na kutoka, viyoyozi na vents za washroom...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Swali langu kwenu wazushi, kama kweli yanayozushwa kuwa Tanganyika inageuzwa koloni. kwanini wabara walioko huko kwenye hizo taasisi nzito wametulia ?

    Nimekutana na hizi stories zisizo na facts kwamba nchi itatekwa kiutawala na Zanzibar Yani Tanganyika yenye watu wengi mara 35 ya Zanzibar na ukubwa zaidi ya mara 300 ya Zanzibar itawaliwe na Zanzibar ? mnaota ndoto gani hizo ? Kuna kelele kwamba Wazanzibari wanajazwa JWTZ. Kwa ajili ya...
  5. I

    JamiiForums Tanzania Iran ngoma inazidi kuwa nzito wakati vikwazo vikianza kuuma.

    Mauzo ya mafuta ya Iran kwenda China yaporomoka kutokana na shinikizo la Marekani. Wakati shinikizo la kiuchumi la Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran likiendelea kuongezeka, usambazaji wa mafuta ghafi ya Iran kwa wanunuzi wa China umepungua kwa kiasi kikubwa huku bei zikipanda; hali...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Damu ni nzito kuliko maji: Baba wa kambo hata uwajali watoto, wakikua wataanza kutafuta asili za baba zao, hata kama mama zao waliwasingizia mabaya

    N:B: Uzi huu kwa namna yoyote ile haushinikizi kukataa watoto wa nje wala kuoa wanawake wenye watoto, bali unaeleza nature ya mwanadamu kwenye kutaka kuwa karibu na asili yake kadri anavyokua. Nimewahi kuona familia kadhaa ambazo ndani yake kuna watoto waliozaliwa nje ya ndoa, na baadaye...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tuhuma nzito zalitikisa Baraza la Ardhi na Nyumba Maswa

    Mwenyekiti wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya ya Maswa, Joseph Timothy Kaare, anakabiliwa na malalamiko yanayodai kuwa amekuwa akiendesha shughuli za baraza hilo kwa kutumia maamuzi binafsi yanayokiuka taratibu na miongozo ya Serikali. Baraza hilo, ambalo lipo chini ya Wizara ya Ardhi...
  8. JamiiForums Tanzania Ukimya ni Silaha nzito

    Nguvu ya Siri: Kwa Nini Ukimya Ndio Silaha Kubwa Zaidi Kwenye Mifarakano? Fumba macho sekunde moja. Fikiria uko katikati ya mabishano makali. Joto limepanda, nyuso zimebadilika rangi, na maneno makali yanarushwa hewani kama risasi. Katika mazingira hayo, silaha yako ya kwanza kabisa inayokuja...
  9. M

    JamiiForums Tanzania UDOM: Hizi hapa hoja 15 nzito alizozipangua David Kafulila

    Wasalaam, Hivi ndivyo alivyofanya David Kafulila chuo kikuu cha DODOMA, amefafanua jambo moja baada ya jingine kwa kina, Soma mpaka mwisho l, === 1. $1 Trilioni Club inawezekana Historia inatufundisha: Korea Kusini ilitoka uchumi wa ∼$90-100 bilioni → $1+ trilioni ndani ya miaka 25. Mwaka 1995...
  10. JamiiForums Tanzania Hormz ngoma nzito Rais wa Iran ambiwa na IRGC kaa pembeni..

  11. JamiiForums Tanzania “Siri nzito: Nani anawalipa waamuzi wa Morocco? Ukweli unaotikisa!”

    1.Nazungumzia Kuhusu usafiri ,malazi na posho ni shilingi ngapi wanakunja?na nani anawalipa ? 2.Na tuzo za mwaka jana why hazikutolewa ! Ila pesa za waamuzi kutoka Morocco wanazo ! 3.fedha za kwalipa waamuzi wanazitoa wapi wakati wameshindwa kuto tuzo za mwaka jana ?
  12. JamiiForums Tanzania Aibu nzito kwa Boni Yai akiwa Bagamoyo

    BONI YAI AKUMBANA NA AIBU NZITO BAGAMOYO Picha hii iliyopigwa Bagamoyo Aprili 26, 2026 katika Mkutano wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani, Boniface Jacob (BoniYai) inaacha ujumbe mmoja mzito kwamba Vijana wa Tanzania wamechoshwa na harakati za CHADEMA za kuwatumia kuleta vurugu na machafuko huku...
  13. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mwabukusi aibua hoja nzito: Maridhiano hayajengwi kwa ripoti ya siri ya Rais

    Mwanasheria na rais wa chama cha wanasheria Tanganyika (TLS) Boniphace Mwabukusi, ameibua hoja nzito kuhusu mchakato wa maridhiano, akisisitiza kuwa Ripoti ya Jaji Chande haiwezi kutumika kama msingi wa maamuzi makubwa ya kitaifa kama vile kuunda Katiba mpya. Amesema ripoti hiyo ni mali ya Rais...
  14. JamiiForums Tanzania Mtakatifu PAPA LEO anatembelea nchi za Afrika, ila Tanzania hapo kwenye list yake, hio ni signal Kubwa na nzito

    Tumsifu Yesu Kristu, AsalamAleykum Warramatulahi Wabaraktuh NAONA ziara za Mtakatifu Papa Leo akidhuru Barani afrika, hata ameweza kwenda Cameroon ambapo rais wake ana miaka 90 na Bado ni rais(dikteta), Cameroon ambayo wananchi wamegawanyika, ila amekwenda. Swali la kujiuliza, kwanini...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran atoa statement nzito kwa dunia

    Wanatuita magaidi, lakini wao ndio magaidi halisi. Wanachinja mtu yeyote, popote, wakati wowote wanapotaka, na kisha wanazungumzia haki za binadamu. Aibu kwao." Rais wa Iran
  16. M

    JamiiForums Tanzania Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Khanga nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  19. W

    JamiiForums Tanzania CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wenye silaha nzito watauawa kwa kudunguliwa

    Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa. Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…