nzito

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Ni kawaida unapobadili vituo vya mafuta au aina ya mafuta gari kuwa nzito au nyepesi na kuongeza au kupunguza ulaji wa mafuta ?

    Mfano unapozoea kutumia mafuta ya Petrol ya kituo cha Puma aina ya Unleaed kwenda kituo cha Total wenye Petrol ya Excellium. Niliwahi kuona gari ikiwa nzito au nyepesi napobadili vituo hivyo pamoja na utofauti wa ulaji wa mafuta Au unapobadili vituo vinavyotumia Petrol unleaded lakini kampuni...
  2. M

    Watu hawa maarufu walioacha chuo (dropouts), tayari walikuwa na ujuzi, mafanikio na connections nzito, sio kama mnavyodanganyana vijiweni

    Ukweli muhimu ambao watu wengi husahau: Watu hawa hawakuacha chuo wakianza kutafuta mafanikio. Waliondoka chuo kwa sababu: Tayari walikuwa na ujuzi maalum Tayari walikuwa na miradi au biashara inayoanza kukua Tayari kulikuwa na fursa kubwa mbele yao Tayari walikuwa na connections nzito za...
  3. L

    Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
  4. radhiya

    Khanga nzito kutoka Zanzibar zinapatikana

    Khanga kubwa nzito kutoka Zanzibar zinapatikana. Bei ya Khanga: sh 20,000/= Bei ya Jumla: Ukichukua kuanzia 3 kila moja utapata kwa sh 18,000/=. Tunapatikana tabata kinyerezi/Msasani (Biashara ni ya Mtandaoni), tunafanya delivery. Mkoani tunatuma kwa gharama za mteja. Delivery unalipia sh...
  5. W

    CAF Yatoa adhabu nzito kwa Senegal & Morocco baada ya Fainali ya AFCON 2025

    Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetoa adhabu kali na zisizo za kawaida dhidi ya Senegal na Morocco kufuatia ukiukwaji wa nidhamu uliotokea katika fainali ya AFCON 2025. Senegal imepigwa faini ya jumla ya dola za Marekani 615,000, ikijumuisha dola 300,000 kwa utovu wa nidhamu wa mashabiki, dola...
  6. Smartkahn

    Watu wenye silaha nzito watauawa kwa kudunguliwa

    Sehemu fulani huko(huenda ikawa Marekani(USA)) watu waliovalia kiraia huku wakiwa na siraha nzito watauawa kwa kudunguliwa. Wanaonekana ni kama kundi la magaidi hivi,,, waasi au wazamiaji/Wahamiaji haramu, waliokuwa wakinyemelea kwa kujificha ni kama walikuwa wanakatiza mpaka wa Nchi au...
  7. Waufukweni

    Mwigulu: Hotuba ya Rais Samia hapa Bungeni ilikuwa nzito, inayoonesha umakini, umahiri na kutoa mwelekeo na dira

  8. A

    KERO Changamoto kubwa kwa Wanafunzi wa Masters IAA: Matokeo, Appeals na Dissertation

    Naomba kutumia jukwaa hili kueleza changamoto kubwa zinazowakumba wanafunzi wa ngazi ya Masters katika Chuo cha IAA. Kwa masikitiko makubwa, namna wanafunzi wa Masters wanavyotendewa haiakisi hadhi ya elimu ya juu, wala misingi ya haki na taaluma. 1. Matokeo (SAP, SUPP na Appeals) Kumekuwa na...
  9. F

    HOJA NZITO: Sheria ni kwa nani?

    Tunaona magari ya serikali yanayoonekana wazi kabisa kuwa mapya Prado za 2024/2025 lakini yanatembea na namba za usajili za zamani za miaka ya 2000, mfano T 220 ATZ. Hii ni akili ya kawaida au ni dharau kwa jamii? Je, serikali haijui kuwa mfuatano wa namba unaendana na mwaka wa usajili? Au...
  10. M

    PostGE2025 Hiki nachosikia ndio 'Hotuba ya Kuponya majeraha na kuunganisha taifa" kutoka kwa Rais aliyotuahidi RC Chalamila?

    Sijaona hotuba ya kuponya nchi zaidi ya kiburi, jeuri na ulevi wa madaraka kutoka kwa Rais Samia. Huyu mama sijui amekuja kuwaje. Amedhihirisha ukatili alionao, huyu hatufai kabisa, vinginevyo tutafika Ni jambo la kusikitisha kuona kiburi na dharau vikichukua nafasi ya uongozi wa kusikiliza...
  11. The Burning Spear

    PostGE2025 D9 ni nzito imetafutwa propaganda ya Udini kuwahadaa Wajinga

    GT Kama ilivyomkawaida ya maCCM hawa jamaa akili hawna hata mbinu za kukabiliana na matatizo hawana they are not problem solvers. Sasa kutokana na pressure ya maandamano D9 wanepenyeza agenda ya kipumbavu sana engineered from the system maana serikali ipo kimya pamoja na upumbavu unaoendelea...
  12. Dr. Mariposa

    Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

    Hello guys, Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻...
  13. S

    GE2025 KIGAMBONI: Yericko azindua kampeni kwa agenda nzito

    Jana Mgombea Ubunge Jimbo la Kigamboni amezindua kampeni zake, Hapa chini ni sehemu ya Hotuba yake ya uzinduzi :::::::::::::::::::: HOTUBA YA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA KIGAMBONI AGENDA KUU 1. MIUNDOMBINU BARABARA: Suala la Miundombinu ya Barabara nimelipa kipaumbele cha kwanza kabisa na...
  14. Pdidy

    Hawara pamoja na kusaidia ndoa zetu kusimama, mjipange na hukumu nzito siku ya mwisho

    RIP MWAMBA.BR WILLY CONT RIP POPOTE ULIPO Ulikuwa kaka mwema Mume mwema kwa familia yako Lakini pesa ilipochanganya ukaanza kuchanganya madesa wa mahawar Ukujua wengine wana maroho ya mauti hatimae ukaishia kuchomeka na hawara yako kwenye gari.... Ni mwaka 2019 ma best nrda alikuwa ameanza...
  15. kyagata

    Kuacha tungi ni shughuli nzito aisee

    Nilijipa likizo kidogo ya kama week hivi nione kama zoezi litakua endelevu ili niache kabisa mambo ya tungi. Leo siku ya nne tu uzalendo umenishinda aisee,nimepita mahali nimepiga safari baridi tatu za chap chap kuchangamsha akili kwanza. Kuacha tungi ni zoezi gumu sana wakuu.
  16. U

    Ummy Mwalimu: Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH

    Alhamdulillah ala kulli hal. Nimepokea uamuzi wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa moyo wa shukrani. Quran Tukufu inatufundisha kuwa Allah ndie mpangaji na alipangalo ni bora kwetu. ALHAMDULILLAH. ---- Ndugu zangu wanaTanga Mjini, Nitumie fursa hii kuwashukuru kwa kuniamini kuwa Mbunge wenu kwa...
  17. B

    Ushauri wa bure: Kwa tuhuma nzito hizi za Polepole kukuhusisha wewe, mstaafu Kikwette, staafu siasa, sasa na hadharani!

    Umekuwa huku, umekuwa kule: Umekuwa ni mstaafu asiyestaafu? Kwamba chaguzi zimekuwa zikiibiwa chini ya uangalizi wenu! Kwa hakika wewe na CCM kwa ujumla wenu mmetukosea sana. Angalia ya stadium Mkapa na Morocco, yanakupa furaha gani wewe? Nyerere alikuwa huyu: Mheshimiwa, kumbe wewe...
  18. 100 others

    Kimewaka! Mawakili wa Tundu Lissu waunguruma kwa ukali, watoa kauli nzito ya unyama unaofanywa kwa Lissu

    Umoja wa mawakili wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu wameeleza hali anayopitia gerezani huku Mahakama ikishindwa kufanya maamuzi Mawakili hao wameeleza kitendo kilichotokea wakati wa kusikiliza kesi ya uhaini inayomkabili Lissu Julai 30,2025 katika Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu ambapo...
  19. I

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama?

    Sababu Nyingine Nzito ya Kuacha Kutumia WinRAR—Ni 2025, Uko Salama? Katika ulimwengu wa teknolojia unaobadilika kwa kasi, usalama wa mfumo wako wa kompyuta hauna nafasi ya kutegemea programu ambazo zimepitwa na wakati na WinRAR sasa ni mfano halisi wa hilo. Kwa mara nyingine tena, programu hii...
  20. DuaZaMama

    GE2025 Ngoma bado nzito na hivi sasa ni saa 4 usiku

    Ukimya watawala masikio Dodoma Chama Cha Mapinduzi CCM kilisogeza mbele muda wa kutoa taarifa ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuhusu mchujo wa wagombea kutoka saa 11 jioni mpaka saa tatu na nusu usiku ila mpaka sasa saa nne na nusu usiku hakuna taarifa...
Back
Top Bottom