📖Mhadhara (58)✍️
Leo ni Novemba 8, 2024. Mwaka 2024 unaelekea kwisha, ile mipango yako yote uliyopanga kuifanya na kuikamilisha mwaka huu imebuma, tena imebuma kweli kweli.
• Unadhani ni kwanini?
Shida ilianza hapa;- Wewe kabla hujaanza safari yako tayari ushawaambia ndugu, jamaa na marafiki...