nyumbani kwako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. a sinner saved by Christ

    Television yako sebuleni kwako nyumbani kwako

    Jengo la nyumba yako ni nyumba ya ibada ,Sebule yako sitting room ni madhabahu, Bed room yako na kitanda chako ni madhabahu. Wewe mwenyewe mwili wako ni nyumba ni hekalu na nafsi yako pua ni madhabahu. MADHABAHU ndio kiti cha enzi cha kiroho kinachotoa chemi chemi za uhai, uzima ama kinyume...
  2. W

    Tarazo safi nyumbani kwako

    Tunatoa huduma za ujenzi wa sakafu ya tarazo kwa shule, maghala (godowns), majengo ya biashara na makazi kwa ubora wa hali ya juu. ✅ Tunatumia vifaa bora na wataalamu wenye uzoefu ✅ Ujenzi imara unaodumu kwa miaka mingi✅ Bei nafuu na makubaliano mazuri ✅ Tunazingatia viwango vya ujenzi na...
  3. upupu255

    Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?

    Tusemezane Wanaume ni kipi kinafanya umepachukia nyumbani kwako?
  4. H

    Karibu Elite Home Tuition Services ambapo tunatoa huduma za ufundishaji ukiwa nyumbani

    Tunawafikia popote ulipo Tanzania! Unahitaji mwalimu wa nyumbani (home tuition) kwa mtoto wako au wewe binafsi? Tunatoa huduma bora ya kufundisha masomo yote, ngazi zote na mitaala yote (NECTA, CAMBRIDGE, n.k) Darasa la awali hadi sekondari Masomo ya sayansi, arts na biashara Mitihani ya...
  5. Setfree

    Je, unajua? Kama huna pesa ya kununua mikate, ukipata wageni kumi nyumbani kwako, unaweza kuwalisha slesi moja ya mkate – wakala wote na kushiba!

    Watu wengi wanafikiri kwamba ili uwe mkarimu lazima uwe na pesa na mali nyingi. Na wengine wanaogopa kupokea wageni kwa sababu wanaona hawana chakula cha kutosha. Leo, nakupa habari njema: unaweza kuwalisha wageni kumi nyumbani kwako kwa slesi au kipande kimoja tu cha mkate, wakala na kushiba...
  6. ELI COHEN

    Kuwa makini na usijenge aina hii ya fence nyumbani kwako

    Hizo isolated posts ni rahisi kutumika kama ndoano ya kamba za panya road ili kupanda ukuta na kufanya yao
  7. Daby

    Una deal vipi na matengenezo ya nyumbani kwako usiyoweza kuyamaliza?

    Ni mimi pekee yangu hili linanitokea au hata kwa wanaume wengine/wababa? Utakuta kwa mfano kuna socket haifanyi kazi nyumbani, baiskeli ya mtoto, mlango au kifaa cha umeme,-kinapoharibika mara nyingi sitafuti fundi. Ninauhakika nitatengeneza kama sijui kutengeneza nitajifunza. Kama ni...
  8. Fbn

    Kama unataka kugundua kipaji cha mwanao upande wa compyuta au laptop weka nyumbani kwako utanishukuru baadae

    Sio wote watakao kuja kuipenda compyuta au laptop kwenye matumizi wanayotaka ila inamchango mkubwa kama utajiwekea nyumbani kwako watoto wakitumia. Naeleza ili sababu nimeshuhudia vipaji vingi ambavyo ukifatilia nyumbani kwao walikuwa wamewekewa mfano kama maproduza,wahandisi wa...
  9. The Dictator

    Fanya kunifukuza nyumbani kwako bila kuniambia niondoke!

    Maneno ya direct magumu magumu yanaumiza sana mioyo🤣. NB: Nachukua notes kwa matumizi ya baadae
  10. Mwamundela

    BEST HOME TUTORING – Elimu Bora Nyumbani Kwako (primary ,Form One to A-Level)

    Habari wakuu, Katika zama hizi ambapo ushindani wa kielimu ni mkubwa sana, wazazi wengi wamekua wakijitahidi kuwapatia watoto wao msaada wa ziada nje ya shule ili kuhakikisha wanafanikiwa kitaaluma. Ndio maana nawaletea huduma bora inayoitwa Best Home Tutoring – Elimu bora, nyumbani kwako. ✅...
  11. Miss Zomboko

    Nani anaruhusiwa kuja Nyumbani kwako ghafla bila kukupa taarifa?

    Hebu tuambie ukweli ni nani akija nyumbani kwako bila kukupa taarifa hutakuwa na tatizo naye? Mimi kwangu itategemea na jambo lilikuleta ila kama unataka kuja kunisalimia tu nitashukuru sana ukinipa taarifa ili nami niweke ratiba zangu zivuri
  12. leh

    Jitengenezee Streaming Server (Kama Netflix) Local (ya Nyumbani Kwako) [Tutorial]

    Wengi wetu ni wapenzi wa Movies na Series. Streaming services zililetwa kupambana na hali ya watu kutotaka kulipia cable services na pia watu kutumia piracy. Mwanzoni ilikuwa idea nzuri, lakini baada ya streaming companies kuongezeka na bei zao kupanda, inakuwa ngumu sana (haswa kwa sisi wa 3rd...
  13. K

    Ushawahi kufukuzwa au kumfukuza mtu nyumbani kwako kisa umemnyima au kunyiwa mbususa

    Nani kawahi kukutwa na hili jambo kufukuzwa ama alimfukuza mwanamke nyumbani kwake baada ya kunyimwa ngono au wenyewe mnavyoita kizungu sex Kisa changu mimi 👇👇 Kuna Kijana mmoja nimemuwekaga tu kama backup kipindi nikiachwa yeye yupo tu.. huyu nilisoma nae hivyo tulianzaga mahusiano tukiwa...
  14. mdukuzi

    Kama una nyumba usimpangishe askari polisi ataleta laana nyumbani kwako

    Huo ndio ushari Usipangishe polisi Nyumba yako itageuka laana
  15. Strong25

    Weka alluminium nyumbani kwako

    Nawasalimu kwajina lamuungano Unataka alluminium & vioo..? Hapa umepata Njoo nikupendezeshee nyumba yako kwagarama nafuu kabisa NATENGENEZA _madirisha _milango _partition za maoficini _partition za maduka ya dawa _makabati ya chips _kuweka vioo vya saloni N.k Napatikana Dar es Salaam ...
  16. Kinjekitile Jr

    Tundu Lissu Fukuza Uanachama hawa Team Mbowe, usimuige Magufuli Msaliti hasemeki; Hakuna adui mbaya kama wa nyumbani kwako

    Magufuli aliwasamehe vijana aliyowahisi kuwa Wanamuhujumu hawa kina Kina Nape Nnauye, January Makamba na vigogo kama kinana na Makamba Sr, ila kumbe alikuwa anajichimbia shimo mwenyewe Kuna figisu zinapikwa chini kwa chini kutoka CCM na wanawatumia vibaraka wao kutoka CHADEMA ambao wengi wao ni...
  17. dorge

    Tabia ya kwenda kwenye maduka karibu na nyumbani kwako kununua tuvitu kama nyanya, Kitunguu inatia aibu sana

    Nimejikuta napata ubaridi baada ya kurejea maskani kwangu I mean home safari za dukani zimenisikitisha sana. Wadau inawezekana tunatofautiana utaratibu wa kibajeti. Napenda kununua Michele, Mahindi,maharagwe, sukari, mavitunguu nk nk Sometimes nikiwa nyumbani say weekend ndefu, nalala kama...
  18. La gioconda

    Si kila mtu ni wa kumkaribisha nyumbani kwako

    Epuka kukaribisha kila mtu nyumban kwako au kwenye makazi yako wengi wao huwa na roho chafu. Umkaribishapo katika makazi yako bila kuijua roho yake. Vile anavyo maisha yako na jinsi uishivyo hawapendi na hupelekea kuacha roho chafu hizo katika nyumba yako. Unaweza mkaribisha mtu katika nyumba...
  19. Magical power

    Pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani

    DADA ANGU MWEMA pamoja na ubusy wako au kuwa na dada nyumbani kwako ila usiache kuingia jikoni kuhakiki chakula kabla hakijaja mezani. Hakikisha unakihakiki sio kipo mezani mumeo au watoto au wageni wakilalamikie ama kwa kutoiva, vumvi, mafuta au chochote kile kisicho sawa kwenye chakula...
  20. ngara23

    Mwanaume usikose silaha nyumbani kwako au popote unapokuwa

    Sisi watu wa Kanda ya Ziwa, hili somo tunalifundishwa tangu utotoni. Unatembea na simu nne, wallet, kipegi, pafyumu, kondomu — lakini huna hata kisu! Kwa mwanaume, silaha ni lazima. Kujihami na kushinda ni lazima. Sio kidume unatekwa, na watekaji wanatoka wananukia pafyumu. Lazima upasue...
Back
Top Bottom