nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Nyumba za kulala wageni Dar imekuwa kero sana, wahusika fuatilieni hili ni hatari

    Wadau hili suala limekuwa kero sana na imekuwa kasumba kwamba unapoenda kutafuta chumba unaulizwa kwanza kama unalala au ni fasta. Sasa ukisema unalala unaambiwa hatupangishi vyumba vya kulala mpaka Saa nne usiku. Kwa maana hiyo Sasa hivi gesti zimebadilisha matumizi badala ya nyumba za...
  2. JamiiForums Tanzania Dar: Wakazi wa Nyumba za NSSF Kigamboni, watolewa kwa Mabavu

    Salaam Wakuu, Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma. Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mo anunua nyumba kuukuu Kariakoo kwa bilioni 20, aikarabati na kupangisha kwa mabilioni hii ndio biashara

    Tukubali tu Mo anajua biashara na ndio maana ni tajiri, wewe huna hata genge wala tuta la mchicha hapo kwako unataka kubishana nae jitafakari. Wakati Simba inawekwa sokoni ilikuwa ni timu kubwa kwa Tanzania ila sio Africa, timu iliwategemea akina Ndemla, Kichuya, Galas, Singano eti muifunge Al...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  5. JamiiForums Tanzania Vitu gani vinaamua idadi ya njia za Main Switch kwenye nyumba yako?

    Kuna nyumba Nimefika hatua ya wiring. sasa kuna Fundi jirani na ninapojenga aliomba kazi akaomba kunipigia gharama ya vitu. Moja ya vitu aliandika Main switch (3 phase 12 ways). Fundi ambae kajenga Boma mpaka kuezeka naye akaleta fundi wake akaandika vifaa vyake na Main Switch (3 phase 18...
  6. JamiiForums Tanzania Kwa nini CCM waliamua kujiuzia nyumba za serikali.

    Pamoja na kwamba uuzaji wenyewe wa Nyumba haukuwa na mantiki, lakini ni kwa nini na wanasiasa wa CCM nao waliuziwa nyumba za serikali? Kwani wao ni wafanyakazi wa serikali? Kama lengo lilikuwa ni kuwasaidia wafanyakazi wa serikali wanapostaafu wawe na makazi ya kudumu, Mbona Askari Polisi...
  7. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mbezi Beach (Stand alone)

    Ni standalone 4bedrooms living room dinning kitchen area size 800sqm Asking price 280mil note...viewing charges is applied
  8. JamiiForums Tanzania Sababu muhimu zinazoifanya hii kuwa Nyumba ya gharama nafuu zaidi ya vyumba vitatu

    Habari wakuu. Inajulikana Wengi kwenye kujenga tunahofia gharama kubwa za ujenzi. Sasa hapa nimewaletea design ya nyumba ya vyumba vitatu, jiko, dining na sebule ya gharama nafuu. Kinachoifanya design hii kuwa ya gharama nafuu ni sababu hizi kuu tatu muhimu 1. Ina floor area (BuiltUp area=...
  9. JamiiForums Tanzania Kuta za ndani za nyumba na Sakafu kuwa na baridi

    Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi au kubazi. Je, hii ni hitilafu ktk mfumo wa maji kupelekea kuta kulowa na kuwa baridi au imekaaje...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Makadirio ya gharama ya ujenzi wa nyumba

    Habari wana JF naomba kama kuna wataalam wanipe makadirio ya gharama ya kujenga boma la vumba vi 3 na sebule jiko stoo kwa Mwanza inaweza fika bei gani mpka hela ya fundi?
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kulungu Mdogo atembea kwenye nyumba ya wafugaji

    Katika malisho ya nyanda za juu kwenye Kijiji cha Menma, Kaunti ya Ganzi, mkoani Sichuan China, kulungu mwenye midomo myeupe alitafuta majani kwenye malisho kwa raha akiyafuata makundi ya Nzao ya familia ya mfugaji Dawalam. Mwezi Mei 2021 kulungu yatima mwenye umri wa miezi michache alichukuliwa...
  12. JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba na kiwanja vinauza kwa ajili ya mtu mwenye familia na anaehitaji eneo kubwa Njiro, Arusha

    Kama wewe ni dalali uliobobea unaruhusiwa kushiriki nasi. Hii inakuhusu. Nyumba na kiwanja kikubwa karibu na shule ya renea Njiro inauzwa. Ina kiwanja kinachojitosheleza kuendelea kuijenga au hata kuweka nyumba za kupangisha. Kuna Maji, umeme wa sola, na Nyumba ina vyumba viwili na sebule...
  13. JamiiForums Tanzania Nyumba za NSSF: Balozi wa Shirika awaita potential customers mafala na mabwege

    Kupitia balozi wa shirika, Steven Mengere, NSSF imesema mtu ambae hamiliki nyumba au atakufa hana nyumba basi ni fala, bwege na mbwiga. Na kwamba tutumie fursa waliyotuletea ya kumiliki nyumba. Hebu tuchambue huu mradi halafu tuangalie ufala wetu na ubwege ukoje au nani kati yetu sisi na NSSF...
  14. JamiiForums Tanzania Nyumba ya container mpaka kibanda cha mabati

    Salaam wakuu. Katika pitapita zangu mitandaoni huku na kule, nilikutana na mjengo fulani wa macontainer. Kwa haraka haraka nikapiga hesabu nikaona ni more affordable kama unakimbia maisha ya kupanga. Nikahamishia research JF nikakumbana na bwana mmoja ndege JOHN aliyewahi kuwa na wazo kama...
  15. JamiiForums Tanzania Arusha: Mzee Iddi Maganga abomoa nyumba zake mbili(200M) baada ya wanawe kuacha kufanya kazi na kusubiri urithi

    Mkazi wa Ngarenaro, Mzee Iddi Maganga amebomoa nyumba zake mbili zenye thamani ya milioni 200 akiwatuhumu watoto wake kumfanyia ndivyo sivyo. Akiongea kwa uchungu, Mzee Maganga amesema mmoja wa watoto wake anayeitwa Abdallah alimfungia kwenye chumba chenye giza wiki nzima bila chakula mpaka...
  16. JamiiForums Tanzania SOLD: Nauza ghorofa na pamoja na nyumba ya chini zote kwa bei moja

    Jengo la ghorofa 2 na nyumba ya chini zote zinauzwa Kijitonyama Ghorofa Lina vyumba 6 ambavyo ni master vyote Nyumba ya chini ina vyumba 3, kimoja master, jiko, sitting room na public toilet. Plot size Sqm 750 Clean title deed (HATI MILIKI IPO) BEI MILIONI 500 (500,000,000) Mawasilinao 0782 780980
  17. JamiiForums Tanzania Kipindi cha Industrialisation Uingereza. Butcher man alipita na mkokoteni nje ya nyumba

    Kipindi hiki watu walihama kufuata kazi, miji ilifanyika na biashara zilishamiri. Ni katika kipinndi hiki walianza ustaarabu wa kusukuma maji na yalifika majumbani. Maji tiririka yalipunguza magonjwa kama cholera kwani yalikuwa treated kabla hayajafika kwa mtumiaji.
  18. JamiiForums Tanzania Kazi ya msaidizi wa nyumba ni ngumu sana, ni sawa na kazi ya kibiriti kusafisha unarudia.

    Akipika mama lawama zinakwenda kwa dada jiko chafu. Tena dada huwa anaambiwa apikie kuni au mkaa jiko la ndani anapikia mama tu.
  19. JamiiForums Tanzania Hii picha ilipigwa kabla ya WWI Arkansas na mwaka 2022 kuna wao ramani kuwa na nyumba kama hii

    Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni kodi ya kichwa tu. Kuna watu wana nyumba zenye hali mbaya zaidi ya hii si vijijini tu bali hata mijini.
  20. JamiiForums Tanzania Msaada kupangisha nyumba za Magomeni Kota

    Wakuu igweeee Naomba kujuzwa au kujua utaratibu wa kupanga kwenye zile nyumba za Magomeni Kota zile mpya Kama kuna mtu anakaa hapo anipe Raman alipataje nyumba pale Na mambo ya rent yako vipi? Nawasilisha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…