nyumba

  1. F

    JamiiForums Tanzania Mirathi ya nyumba iliyojengwa na mjane yazua balaa; ukoo wa mume na ukoo wa mke wanaigombania

    Habari wadau. Kama mnavyojua suala la mirathi linavyotolewa macho hapa Tanzania. Jirani kwetu kuna mama amefariki na kuacha nyumba nzuri tu na hajaacha mtoto hata mmoja. Historia ya huyu mama (kabila mpogoro) mwaka 1991 aliolewa kwa ndoa ya kanisani na mume wake (kabila mchaga) Baada ya...
  2. JamiiForums Tanzania Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Igunga wazindua ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya

    Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Igunga umetumia Siku ya tarehe 29 Januari 2023 kufanya uzinduzi ujenzi wa nyumba ya Katibu wa Wilaya ikiwa ni muendelezo wa matukio mbalimbali yanayofanywa na Jumuiya za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuelekea mahadhimisho ya Miaka Arobaini na Sita ya Kuzaliwa kwa...
  3. JamiiForums Tanzania Unahitaji kujenga nyumba ya kupangisha? Usikose hii

    Habari . Vitu vya kuzingatia, -privacy -comfotability -Flexibility -Security -saving of space n.k Chagua ipi ni kali hapo , kama unayokali zaidi tupia Tunachora raman za nyumba tunapatikana kwa namba 0743257669 tucheki WhatsApp
  4. JamiiForums Tanzania Nimepita Msoga, majirani wengi wa "Mstaafu" wanaishi kwenye nyumba za tope

    Nyumbani kwake pana magorofa na majengo yamepangiliwa vizuri ila majirani zake wana nyumba za tope na nyasi. Hii kitaalam imekaaje? Au ndio kukaa karibu na mahakama sio kujua sheria?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye hekima uijenga nyumba yake

    Methali 14:1-18 Mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake, lakini mpumbavu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe. Mwenye mwenendo mnyofu humcha Mwenyezi-Mungu, lakini mpotovu humdharau Mungu. Mpumbavu hujiadhibu mwenyewe kwa kuropoka kwake, lakini mwenye hekima hulindwa na maneno yake. Bila...
  6. JamiiForums Tanzania Je, Wajua Miundombinu ya UMEME huanza Kuwekwa Kwenye hatua Ipi katika Ujenzi wa Nyumba Yako?

    -Kipengele Cha Umeme katika Nyumba ni moja ya kitu muhimu sana,na inashauriwa kutumia wataalamu wa fani husika kwakua umeme ni hatari pia. ◾️Kwa Nyumba Ambazo sio za Ghorofa, Inashauriwa Kabla hujaanza Kupiga Plasta Jengo lako, Fundi atahusika Kutindua,kujenga box za switch&sockets,round box...
  7. JamiiForums Tanzania Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Nyumba Mwaka 2023

    PILI; Jinsi Ninavyoanza Kutoa Huduma Za Udalali Wa Viwanja, Mashamba Na Majengo Makala iliyopita nilikushirikisha jinsi nitavyofanya endapo nitakosa fedha kwa ajili ya kununulia nyumba ya kupangisha. Nilitaja mambo ambayo ninaanza nayo. Mambo hayo ni;- ✓ Kumiliki mtandao wa mauzo ya viwanja...
  8. JamiiForums Tanzania Maajabu niliyoyafanya kwenye nyumba Madale

    Nyumba hii tunafumua bati tunapiga kozi moja baadae tunaezeka kisasa fundi alipiga bati kizamani sisi kazi yetu hapa kufanya maajabu ukitaka kazi zetu Tumeokoka tunapiga kazi safi hatuna shida na mtu picha za kazi hii utaziona kwenye comments nitazituma zote
  9. JamiiForums Tanzania Mnaofuga Paka jitahidini basi kuwafundisha Adabu kidogo pale Nyumba zenu zikitembelewa na Sisi Wageni

    Kwanza niwe muwazi ( nikiri ) kuwa GENTAMYCINE napenda sana Paka na ninae Mmoja namfuga na ukitaka Ugombane nami mguse ndipo utajua kwanini Nyoka hana Ugoko na Wimbo wa Taifa hauna Kolabo. Hata hivyo sipendi Paka ambao Wanafugwa na wenye Nyumba ila hawana Adabu pindi Nyumba husika ikitembelewa...
  10. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao jijini DAR

    Tunatoa huduma ya kukata miti na kuchana mbao kwa kutumia mashine (CHAINSAW). TUNAPATIKANA MBEZI MWISHO Kwa mawasiliano :0758700852
  11. JamiiForums Tanzania Nitaanzia hapa endapo nitakosa fedha za kununulia nyumba ya kupangisha mwaka 2023

    Ili niweze kujenga utajiri kupitia uwekezaji kwenye ardhi na majengo ninatakiwa kujihusisha na;- ✓ Umiliki wa ardhi na majengo. ✓ Au Utoaji wa huduma za uwekezaji kwenye ardhi na majengo. Njia ya kutengeneza kipato cha haraka na kipato endelevu nikiwa umelala ni kumiliki ardhi za kukodisha au...
  12. JamiiForums Tanzania Unazuiaje konokono na wadudu wasioeleweka kwenye kuta za nyumba pavement etc

    Wanachafua ukuta tu. Tuwafanyeje? Binafsi nimeamua nimewapiga picha na kuwapost hadharani waaibike sasa😒. Sio dawa? Dawa yao nn.....
  13. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba zinauzwa Sengerema, Mwanza

    Nyumba mbili zinauzwa Sengerema Mjini Mwanza, zote ni nyumba zenye vyumba vitatu na sebule, jiko, dining na master bedroom moja ambayo ni selfu! Nyumba Moja imekamilika, nyingime haijakamilika, kama inavyoonekana kwenye picha Zote zina mfumo uliokamilka wa maji taka,! Maji na umeme vipo...
  14. JamiiForums Tanzania Benki zilizoongoza kwa kutoa mikopo ya Nyumba na Makazi Tanzania 2022

    1. CRDB- Bilioni 193 2. Stanbic- Bilioni 41 3. Azania - Bilioni 36 4. NMB - Bilioni 34 5. NCBA - Bilioni 23 6. TCB - Bilioni 21 7. Exim- Bilioni 20.6 8. 1st Housing*-Bilioni 16.2 9. KCB- 15B 10. DCB- 13.8B THE CHANZO/ BoT
  15. JamiiForums Tanzania Ipi ni akili nzuri: Kutumia trilioni 7 kusambaza maji safi kila nyumba nchi yote au kuweka treni ya mwendokasi Dar mpaka Mwanza?

    Habari! Siijui bajeti ya SGR kiundani ila najua tu kuwa ni zaidi ya trilioni 7 zitatumika kama itaanzia Dar mpaka Mwanza ikipitia Morogoro na Dodoma. Shilingi trilioni 7 ukiziweka kwenye miundombinu ya maji zinaweza kufanya kila kaya nchi yote kupata maji safi na salama na chenji inarudi. Je...
  16. JamiiForums Tanzania Kwa umri wangu wa 20's ninamiliki nyumba 3, gari 2, viwanja na mashamba kedekede. Unamiliki nini kwa huo umri wako?

    Au nyie wenzangu kama kawaida yenu team wivu mnamiliki majungu,fitina,chuki,wivu na udini? Kwa huu umri wangu wa 20's atleast nimemiliki vitu kadhaa ambao wewe mwenye 30 plus n.k hauna kazi umekalia wivu na majungu tu hivyo vitu haviwaisaidii nyie waswahili majungu,wivu,chuki na fitina si mtaji...
  17. JamiiForums Tanzania CCM, Angelina Mabula na Stanslaus Mabula, hizo nyumba zilizouzwa na Jiji la Mwanza zinaenda kuwa ajenda ya kwanza ya wapinzani. Mtatikiswa!

    Rais Samia amefungulia mikutano ya hadhara, na katika majiji ambayo Chadema wanajiwinda kuyadhibiti ni Mwanza, Arusha, Mbeya na Dar es salaam. Wanatafuta ajenda nzito za kutikisa na kuwashika wananchi. Arusha walifanya tukio, Sasa hivi wote wananyea debe, angalau wanaarusha wanaelewa hatua...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujulishwa kuhusu Mikopo ya nyumba

    Salamu, Naomba kuelimishwa kuhusu biashara ya mortgage hapa kwetu Tanzania! Ipoje,je sisi wa kipato Cha chini tunaimudu!? Ipi inalipa kujenga pole pole au kuingia kwenye hii Mikopo? Ni Benk gani inatia huduma hii? Vipi kuhusu Bank kudhamini kununua nyumba? Nawasilisha!
  19. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo Nyumba Dhaifu zaidi Duniani

    "Mfano wa walio wafanya walinzi badala ya Mwenyezi Mungu, ni mfano wa buibui alivyo jitandia nyumba. Na hakika nyumba dhaifu mno kuliko zote ni jumba la buibui, laiti kuwa wanajua." (Qurani 29:41)
  20. JamiiForums Tanzania Ufafanuzi kuhusu nyumba ya Mwalimu wa Shule ya Msingi Maweni, Igunga inayosambaa mitandaoni

    UFAFANUZI KUHUSU NYUMBA YA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI MAWENI, IGUNGA INAYOSAMBAA MITANDAONI Tarehe 20 Septemba 2021 nikiwa naendelea na Ziara ya Kijiji kwa Kijiji kwenye Jimbo la Igunga, Nikiwa na Wasaidizi wa Ofisi ya Mbunge na Waandishi wa Habari, tulifika Shule ya Msingi Maweni iliyopo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…