Kwa ndugu zetu waislamu, mwanamke ni pambo la nyumbani kwa mume wake, haruhusiwi kuonwa na mwanamume mwingine zaidi ya mume wake.
Sasa sisi tuna rais mwanamke na siku zote tunaona uso wake, je kiimani hii inaruhusiwa? kama hairuhusiwi, adhabu yake ni ipi?
Msikilize shehe hapa...