nyumba

  1. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  2. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba maeneo ya Vingunguti na nyumba kumeguka tofali

    Habari wadau, Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je, afanyeje na kama kuvunja nyumba...
  4. greater than

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba za kwenye series maarufu kwenye tv

    Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo. Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo SEHEMU YA KWANZA 1.HOW I MET YOUR MOTHER Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani nimechoka kuishi upangajini. Mimi ni kijana mpambanaji nipo mjini daslam.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Salaam, shalom!! Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20. Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa. Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika...
  7. 42774277

    JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  8. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Makonda adaiwa kukataa nyumba ye Serikali, inasemekana anaishi Hoteli ya Nyota 5

    Kwa hali hii, tutafika? Anaandika Martin Maranja Masese kwenye Mtandao wa X Rais Samia Suluhu Hassan, inawezekanaje BASHITE tangu amefika Arusha anaishi Gran Meliá Hotel, full board ($469) kwa usiku mmoja. Hii ni Sh1.3 milioni. Leo atakuwa ametumia Sh5.2 milioni (malazi). Anatembea na msafara...
  10. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Nyumba moja kuwa na meter kumi za LUKU haina maana, Napendekeza LUKU moja iwe na line nyingi kama simu

    Ni kwamba meter moja ya umeme iwe na uwezo wa kulisha nyumba hadi 6 bila kuchangiana kwenye matumizi. Mteja akiomba meter, atasema anataka yenye output ngapi (line 1, 2 ,3, 4, 5 au 6) kulingana na matarajio yake ya kuongeza matumizi ya wapangaji au fremu za maduka baadae. Kwahiyo meter...
  11. sangaima

    JamiiForums Tanzania Tenda kwa madalali wa uuzaji wa maeneo na nyumba

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  12. sangaima

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Eneo lenye nyumba 19 linauzwa Kimara

    Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika katika ( chumba na sebure 3 hivyo kufanya jumla ya chumba na sebule 18 na zote zinawapangaji. Na...
  13. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Kwa kutokuwa na sewerage system, kila nyumba ni ghala la na hifadhi ya kinyesi na maji machafu

    Hii inchi ina utajiri wa vinyesi, yaani kila kaya ina hifadhi kubwa ya kinyesi au ghala la kinyesi. Tafsiri ya hili jambo ni nini, yaani nchi nzima imetapakaa vinyesi Tufanyaje basi, tukusanye vinyesi vyote na maji taka tupeleke sehemu moja mahususi ambapo tutaifadhi ardhi yetu isaje vinyesi...
  14. Ntaganda boy

    JamiiForums Tanzania Unaenda katika nyumba za ibada ili ufaidike na nini?

    Mara nyingi najiuliza swali juu ya faida ya kusali ni ipi na kwanini watu wanatumia muda mwingi kusali na sio kutafuta mali. Je, kusali ni lazima iwe katika nyumba za ibada au unaweza kusalia sehemu yoyote na kama unaweza kusalia sehemu yoyote kuna faida gani kukutana katika nyumba za ibada...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Makonda: Hakuna nilichojifunza, nitawanyoosha. Wasiopaka rangi nyumba zao katikati ya Mji TUTABOMOA

    Hizi ni miongoni mwa kauli zilizotolewa na Mkuu mpya wa Mkoa wa Arusha katika hotuba kabambe ya Utambulisho aliyoitoa Mjini humo alipokuwa anakabidhiwa ofisi . Hapa akikuwa akiwapa makavu waliokuwa wanamsengenya kwamba hajajifunza pamoja na kuwekwa benchi muda mrefu. --- Makonda: Hamna...
  16. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nyumba yangu imegeuzwa kuwa pango la wezi

    Yesu alisema,"Vipi Hekalu limegeuzwa kuwa pango la wezi na wanyang'anyi?" Kwa wale ambao sio Wakristu tuseme kwamba Yesu akawaona wati wanafanya dili nyingi za pesa. Akasema,"Baba yangu aliamuru hii iwe nyumba ya sala, lakini mmeibadili kuwa pango la wezi" Ndio tunajiuliza serikali imekuwa...
  17. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kiwanja chenye nyumba kinauzwa Bahari Beach

    Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga apartment Za biashara ama Nyumba ya kuishi kiwanja kipo meter 400 kutoka barabara ya lami KINAUZWA kwa...
  18. bizzle for shizzle

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Mapinga Shule

    Nyumba ya kisasa inauzwa ipo MAPINGA SHULE nyumba ya kisasa YENYE idadi ya vyumba vitatu master ipo moja lakini pia kuna NYUMBA za wapangaji kwa Nyuma YANI boy kotta zenye chumba sebule x 2 pia kuna ya chumba Kimoja Chenye choo nyumba inatazama BARABARA ya mtaa Ina Uwanja wa sqmt 850 Ina hati...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rufiji: Vijiji 23 vimekumbwa na mafuriko makubwa kutoka Bwawa la Umeme la JNHPP. Je, Tathmini ya athari kwa mazingira ilipuuzwa kabla ya ujenzi?

    Inasikitisha sana kusoma kwamba Zaidi ya Vijijini 23 Wilayani Rufiji vilivyopo kwenye blonde la mto Rufiji Vimekumbwa na Mafuriko Makubwa ya maji kutoka bwawa la umeme la Nyerere. Vijiji hivyo viko kwenye kata 12 Zenye kaya zaidi ya 1,000 ambapo makazi,mashamba,mazao na Mali nyingine...
  20. Prophet of Nations

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuanza ujenzi wa nyumba yako Tanzania?

    Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa maelezo zaidi simu /whatsapp +255 717 040837 au 0767267664
Back
Top Bottom