nyumba

  1. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Nani dalali Arusha? Natafuta nyumba ya kukaa

    Wapi naweza kumpata dalali Arusha ili niweze kutafuta nyumba ya kukàa? Nyumba ya kupangisha, siyo kasri.
  2. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Stoo makazi fursa mpya ambayo inaweza kuzidi nyumba za upangaji

    Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama. Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi. Stoo...
  3. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu biashara ya nyumba (AirBnB)

    Habari wakuu, Straight to the point. Kuna ka kibanda kangu kamoja nilikajenga nikiwa nafanya kazi bagamoyo manispaa, ni ka jumba Ka vyumba viwili (vyote self), sebule, jiko na public washroom. NI takribani kilomita 5 kutoka Bagamoyo centre. Sasa baada ya kuhama mazingira hayo nikaona nitafute...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba takatifu ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed?

    Je wapo Mitume na Manabii walioswali kwenye nyumba ya Ibada ya Ka’abaa zaidi ya Ibrahimu na Mohamed? Wadau hamjamboni nyote? Moderator naomba Uzi huu kwingineko Kwa mujibu wa maandiko ni Manabii au Mitume wangapi waliowahi kuitumia Ka’abaa au kwa (Bait – ul- Haram) kwa ajili ya Kufanya Ibada...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Nyumba za Walimu 562 Kujengwa kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    Naibu Waziri OFISI YA RAIS TAMISEMI anayeshughulikia Elimu Mhe. Zainab Katimba amesema katika mwaka wa fedha 2024/25 serikali inatarajia kuenga jumla ya nyumba za walimu 562 zitakazochukuwa familia 1,124. Katimba ameyasema hayo bungeni jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali na Majibu akijibu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Haya Mambo ya Viongozi wa Kisiasa Kwenda na Viti Vyao Kwenye Nyumba za Ibada Yasitishwe

    Kumekuwa na picha zinazoenea kwenye mitandao zikimuonyesha rais samia akiwa katika ibada kanisani,sina uhakika ikiwa ni ibada ya pasaka au otherwise lakini kinachoonekana ni kwamba amekwenda na kiti chake cha ikulu kwenda kukalia kanisani,sawa na alivyofanya Makamo wake wa Rais. Hili jambo kwa...
  7. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Nyumba ilikuwa inagombaniwa lakini sasa hakuna anayetaka kwenda kupanga, afanyeje?

    Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure! ==== Kutoka mtandaoni.... T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu. Niko na nyumba mkoani ambapo napangisha, siku za hivi karibuni niliamua kuifanyia ukarabati na...
  8. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

    Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Fundi moulding(urembo wa nguzo) Mwanza

    WanajamvI anahitajika fundi mtalaam wa kuweka urembo kwenye NGUZO za nyumba mwanza
  10. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Serikali ondoeni haraka tozo hizi za matengenezo ya nyumba wakati huu wa mvua

    Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka. Baada ya...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ukiwa na chini ya milioni 100 ni heri uiweke fixed account, Kujenga nyumba ya kukodisha ni ngumu kupiga hatua

    Umenunua kiwanja ukaanza kujenga nyumba from scraatch kwa milioni 100 unakuja kukodisha kwa laki 2 na nusu, hicho kiasi ni ngumu kukupigisha hatua, ni pesa itayokuwa inaishia kwenye bills za mwezi, hapo kumbuka kuna muda nyumba inaweza isiwe na mpangaji ama mpangaji akawa msumbufu, Ukiweka pesa...
  12. Tman900

    JamiiForums Tanzania Mali, Pesa na Nyumba. Vya (Baba & Mama/ Mke)

    Mi nimezaliwa Dar na Nimekua Dar, nimejipambania kutafuta kile Mungu amenijalia kilicho kidogo changu, Ila nafsini mwangu mi sitaki chochote Cha urithi iwe kwa Familia yangu niliozaliwa yaani kwa baba na Mama Yangu. Ingawa sijawaeleza ndugu zangu.Kua sihitaji chochote. Ikitokea wazazi wetu...
  13. plumbing bc

    JamiiForums Tanzania Karibu Plumbling BC, tunatoa huduma za ujenzi wa vitu mbalimbali

    Hizi chemba ni mzuri Kwa mfumo wa maji taka,Zina jengea Kwa bei nafuu Kwa mawasiliano zaidi No: 0789110941
  14. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Bei za maji katika Nyumba za kupanga ni mateso

    Bei ya maji kwa Dar es Salaam ni Tsh. 1,663 kwa Unit moja(1) ambayo ni sawa Lita 1000 za maji, yaani Madumu 50 makubwa ya Lita ishirini. Wapangaji wengi wakiamia kwenye Nyumba za kupanga za kushare maji au kulipiwa na mwenye Nyumba unakuta anaambiwa alipie Tsh. 15,000 hadi Tsh. 30,00 kwa mwezi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa nyumba maeneo ya Vingunguti na nyumba kumeguka tofali

    Habari wadau, Naomba ushauri kuna nyumba ya mzee wangu vingunguti imemeguka meguka sana matofali mpaka sehem zingine ndani zimefanya tobo unaona mpaka ndani nataka nimpe ushauri mzee ni namna gani anaweza kufanya renovation matengenezo kwenye hali hiyo je, afanyeje na kama kuvunja nyumba...
  16. greater than

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba za kwenye series maarufu kwenye tv

    Kwa wale wapenzi wa kuangalia TV Drama/Series za Hollywood, lazima kutakuwa kuna nyumba umeipenda na ungetamani ungeishi humo. Leo tuangazie baadhi ya ramani hizo SEHEMU YA KWANZA 1.HOW I MET YOUR MOTHER Wanaoikumbuka sitcom hii,iliyokuwa na akina Tedy Mosby,Marshall,Bernie,Robin na Lily...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Habarini wakuu hivi nyumba kama hii inaweza gharimu sh ngapi hadi finishings?

    Habarini wakuu hivi hii nyumba inaweza gharimu sh ngapi mpaka finishings? Je inachukua tofali ngapi? Na kwa msingi (foundation) inaweza gharimu sh ngapi (ufundi+building materials). Msaada jamani nimechoka kuishi upangajini. Mimi ni kijana mpambanaji nipo mjini daslam.
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Salaam, shalom!! Mlima kawetele ulioko ITEZI, Uyole, jijini Mbeya umeripotiwa kumeguka na kuziangukia nyumba zaidi ya 20. Chanzo Cha janga Hilo inasemekana ni mvua nyingi zinaonyesha Nchi nzima, zilizoloanisha udongo Kwa kiasi kikubwa. Mwanzoni, iliaminika walioko milimani wako katika...
  19. 42774277

    JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo (fenced) au nyumba standalone kwa ajili ya garage.

    Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
  20. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta nyumba ya kupanga

    Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
Back
Top Bottom