Nyumba ilikuwa inagombaniwa lakini sasa hakuna anayetaka kwenda kupanga, afanyeje?

dr namugari

JF-Expert Member
Nov 19, 2022
9,956
17,011
Katika hali ya kushangaza nyumba iliyokuwa inakimbiliwa na wapangaji sasa imekosa hata wa kukaa bure!

====

Kutoka mtandaoni....

T niaje mwanangu me nna jambo moja jama unaweza share na watu.

Niko na nyumba mkoani ambapo napangisha, siku za hivi karibuni niliamua kuifanyia ukarabati na kipindi naifanyia ukarabati demand ya hiyo nyumba ilikuwa kubwa sana, watu wanataka wanipe hata advance maana ni 200k kwa mwezi.

Sasa nikasafiri nikaacha mafundi sasa kuna mzee hapa Jirani yeye huwa hapendi maendeleo ya wenzie. Watu wanavyodai ni mchawi, sasa siku kaja home pale kawakuta mafundi wanaweka tiles akawaambia nimependa hii material naomba kipande tui li nikaweke na kwangu. Mafundi wakaona sio shida ngoja wampee.

Sasa kuna dogo Jirani nafahamiana naye akamuona yule mzee anatoka na tiles ndani akanipigia akasema mzee fulani katoka kwenye nyumba yako na ameshika tiles. Ile kuwachek mafundi wakasema ni kweli kkaja kuomba kipande as mtu mzima, as mtu mzima sikuwaonesha mafundi kuwa wamekosea mruhusu huyo mzee kuja ila nikasema sawa, msirudie ruhusu watu wengine humi na kuchukua vitu.

Sasa mzee wangu huu ni mwezi wa 6 tunaenda hakuna hata mtu anataka kuhamia kwenye hiyo nyumba wala nini. Natamani nimfate huyo mzee ila umri ni mkubwa kama mzazi wangu, nashindwa namuanzaje.

Kwa yeyote mwenye msaada ashakutana na hii ishu.
 
Bro umeshindwa kwenda kupiga mkwara seriously
 
Duuh hatari ya mlozi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom