nyumba

  1. A

    Naomba ushauri, nijenge nyumba Dar au Mkoani - Mjini?

    Wakubwa, Naombeni ushauri wenu kuna hili jambo linanitatiza. Nina FEDHA kiasi cha 25 mill. Lengo langu ni kujenga nyumba - kwa ajili ya kupangisha tu, maana tayari nina makazi ya kuishi. Nawaza kununua uwanja mkubwa kwa hiyo FEDHA yote 25 million ili angalau nipate square mita za kutosha...
  2. Crocodiletooth

    Nyumba nzuri sana, ambazo ujenzi wake hutumia kontena

    Ni nyumba nzuri zinazoweza kujengwa popote pale, lakini zinapendeza zaidi zikijengwa katika mazingira pembeni mwa Miji bushes.
  3. E

    Naomba ushauri, nijenge au ninunue nyumba

    Salaam, Wakuu, kipi ni nafuu kwa karne hii, kujenga au kununua nyumba na kuhamia. Mchakato wa kujenga naona ni mrefu kwangu. Karibuni kwa mawazo, asanteni.
  4. Bosspraise

    Plot4Sale House4Sale Plot, House for sale

    PLOT FOR SALE MBWENI Plot safi kabisa hii hapa Inauzwa Iko Mbweni mpiji inagusa lami Ni sqm 1000 📌🗒Ina Hati safi kabisa 📌Ni pazuri sanaa Kuna nyumba pia kama unavyoiona kwenye picha hapo 📌Plot inataka milion 150 maongez kidogo NB; ZINGATIA PLOT INAGUSA BARABARA KUBWA YA LAMI, PATAFAA SANAA...
  5. MakinikiA

    Usiogope kujenga nipe bajeti yako nikupe nyumba yako.

    Kama rooms 2 haitazidi 10m Kama rooms 3 haitazidi 15m
  6. A

    Nyumba inauzwa Madale mivumoni

    Nyumba inauzwa madale mivumoni karibu na kaseke primary school Ina eneo la ukubwa wa 487 square meters Ina vyumba 3 master na choo cha public na jiko Inatank la maji la lita 3000 Bei ni 170M Karibuni sana
  7. matunduizi

    Hiki ndicho kinatakiwa kuwa kiwango cha chini kabisa cha imani ya mtu ambaye bado anaingia nyumba za Ibada

    Kutoogopa au kuzungumzia mapepo, wachawi, majini kwa aina zake. Cha ajabu, mapambano dhidi ya haya madubwana ndio imegeuzwa kuwa kigezo cha ubora wa imani. Kama wasiamini Mungu (atheists) kwa aina zao wanaonyesha ujasiri wa kuyapuuza na hata kutoyazungumzia au kuyapa promo wanaomcha Mungu na...
  8. TUKANA UONE

    Nyumba inanuka harufu ya mzoga, Haikaliki, haipangishiki wala hainunuliki

    Je wajua? Kwa mujibu wa BAKITA,mtu asiyekuwa na pahala pa kuishi huitwa GAREGARE! Wakuu nipo Arusha au A town au Chuga kama wengi wenu mnavyopenda kupaita!,huwa nakuja angalau kupumzika mahali fulani na kila ninapokuja nimekuwa nikizunguka maeneo tofauti tofauti na kuonyeshwa mji na mwenyeji...
  9. Mohamed Said

    Haji Mohamed Nundu Anaeleza Alivyojenga Nyumba Yake Juu ya Kaburi la Abushiri bin Salim Al Harith Pangani

    https://youtu.be/YCy-vx00WOs?si=a8YH5FeZXMa2bgvy
  10. Waufukweni

    Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  11. A

    DOKEZO Waziri Gwajima, mwanamke huyu anafanyiwa ukatili na unyanyasaji kutoka kwa baba mwenye nyumba wake

    Hivi karibuni nimeshuhudia kitendo kikubwa sana cha unyanyasaji, udhalilishaji na ukatili aliofanyiwa Mwanamke mmoja jirani na kwangu dhidi ya mwenye nyumba wake, nikaona si vyema kulikalia kimya tukio hili ni lazima nilitolee taarifa ili wahusika wamsaidie mwanamke huyo na jamii ijifunze...
  12. B

    Natafuta namna ya kuua au kuwakimbiza mchwa ndani ya nyumba

    Wadau ninateswa na chwa kwenye site ambayo ninaendelea na ujenzi. Nyumba bado haijaisha ili watu kuhamia lakini ghafla wamejitokeza mchwa na kusababisha vishimo shimo ndani ya vyumba 2. Baadae tukagundua kuwa unatokea kwa nje ambako kuna onekana pia kuna mashimo ya kichuguu. Na tangu awali...
  13. gallow bird

    Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria yashambuliwa kwa drone

    Asubuhi hii kuna taarifa za kushambuliwa makazi binafsi ya waziri mkuu wa Israel huko Caesaria kwa drone ya hizbullah iliyosafiri 70km bila kuamsha mitambo ya ulinzi ya Israel, drone hiyo ikionekana kupita nyuma ya apache helicopter za Israel. IDF imezuwia habari zozote toka makazi hayo,japo...
  14. Mindyou

    Video: Benjamin Netanyahu ajitokeza hadharani kibabe baada ya kuwepo na taarifa ya nyumba yake kushambuliwa na drone

    Wakuu, Kuna hii video inasambaa. Baada ya taarifa kutapaka mitandaoni kwamba nyumba ya Benjamin Netanyahu imeshambuliwa na drone kutoka kwa Hezbollah na kusababisha wengi kuhoji usalama wa kiongozi huyo, hatimaye simba huyo wa vita amejitokeza. Soma pia: Makazi ya Netanyahu yaliyopo Caesaria...
  15. Red shadow

    Kwanini nyumba za Marekani zinawekewa bendera nje?

    Wakuu mnijibu Hivi kwanini nyumba nyingi za Marekani zinawekewa bendera nje?
  16. Sky Eclat

    Jirani anaweza kukufanya uchukie nyumba yako

    Kama kichwa cha habari kinavyoeleza z, unaweza kumpata jirani anafuga, inawezekana ikawa kuku, ng’ombe, bata nk. Mifugo inatoa harufu inayoambatana na inzi, harufu inaweza kukukatisha hamu ya kula na unashindwa kupunga upepo nje ya nyumba yako kwa kero ya inzi pamoja na harufu. Unapolalamika...
  17. MaduhuJ

    Nauza mbao za mti wa Eucalyptus/Mkaratusi kwa bei ya shambani

    Habari, nauza mbao za mti wa Eucalyptus, kwa majina ya kiswahili unajulikana kama Mlingoti, Mkaratusi, Mti Mbao, Mbao nyekundu. Mbao zina ubora, size zimejaa na bei ni rafiki (ya shambani). Mbao hizi ninachana mwenyewe maeneo ya Mgololo, Mufindi (Iringa) na Uchindile, Mlimba (Moro). SIFA ZA...
  18. aise

    Karibu nikujengee uzio wa nyumba yako au eneo lako kwa bei sawa na bure

    Habari zenu wakuu, kama unahitaji kuwekea eneo lako uzio (fensi) Basi karibu nikufanyie kazi yako kwa bei sawa na bure. 0624254690
  19. C

    Dalali wa kuuza nyumba Dar anahitajika

    Aisee Kuna nyumba Iko dar imegoma kuuzika kama kama mwaka saa hii😀 Sasa kama Kuna dalali hodari anicheki Whatsapp au normal namba naacha hapo chini, nitakutumia picha na kila taarifa bei tutajadiliana ilimradi pauzike 0622905303
  20. mdukuzi

    Muda umefika wajumbe wa nyumba kumi wapatikane kwa kushindanisha vyama vyote kama ilivyo kwa viongozi wa mtaa, Kijiji na kitongoji

    Kuna wakati unahitaji barua ya serikali ya mtaa ila utaambiwa ulete barua ya balozi wako wa nyumba kumi. Hapo huwa inaleta ukakasi, maana mabalozi wote ni wa CCM na serikali ya mtaa ni ya wa vyama vyote. Umefika muda sasa hawa mabalozi wapatikane kupitia uchaguzi wa serikali za mitaa kwa...
Back
Top Bottom