nyumba

  1. Tabia gani huwezi kukosa kwa wapangaji kwenye nyumba kama hizi

    Wakuu, kwa sie tuliopitia kwenye kupanga nyumba ambazo kwenye eneo ni zaidi ya tatu, na unakuta wapangaji ni bachela, basi huwa kuna vitabia fulani haviwezi kukosa baina yetu. Kuna sehemu nilipanga, kuliwa na mkongo anapaka munde, alikuwa anakaza mademu ni kilio cha wadada usiku kucha hadi...
  2. Hakikisheni mnaponunua nyumba za watu ndiyo yenyewe na kiwango

    Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook. Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
  3. Wadau bati gani inafaa kwa nyumba kama sifikii bei ya ALAF?

    Nipo kwenye hatua za kufunik nyumbani hapa Kilimanjaro ila sasa nimekuwa mdogo sana kwenye ujuzi na usahihi wa bati gani itanifaa au ni bora mbali na ALAF. Naomba ushauri kwa wazoefu. Asante
  4. Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu

    Kero zote zinapita lakini kero ya jirani yako kujenga ghorofa angali yako nyumba ni kero ya kudumu kwasababu anakuchungulia kwa juu Wengi wanakumbwa na hii kero wengine hata wanafikia hatua ya kukata tamaa kwasababu wanachunguliwa kwa juu Mwenye nyumba wakati mwingine anatamani kukaa uwani...
  5. Mtoto kamwaga ugali, nyumba yote wanakwenda kulala njaa

  6. House4Sale Nyumba inauzwa

    Nyumba inauzwa IPO Goba mtaa wa Kunguru. Price 460 millions na maongezi yapo kidogo. SQM 550 Kwa taarifa zaidi waweza kupiga hii namba 0658124288
  7. M

    ChatGPT imekuja kivingine kabisa, sasa unaweza kuiambia ichore picha yote yakifanyika kwa kutumia bando lako la simu

    Mimi ni mtumiaji wa ChatGPT toleo la bure, ingawa akili mnemba nyingi zina uwezo wa kuchora picha lakini hii Chat GPT toleo la Bure ilikuwa haiwezi kuchora lakini naona kutokana na ushindani wa machina na toleo lake la AI Deepseek wamarekani wameiwaezesha hii toleo la bure kuchora kuedit n k...
  8. Hii confidence ya kununua nyumba za watu na kuzifanya makazi mnapata wapi?

    Aisee mimi bora nijenge, ni mara mia ujinyime upange ijikusanye uje ujenge kuliko kununua nyumba alokua anaishi mtu kama family residence kisha uhamie humo. Sababu ni kwamba wengi wetu wana fikra duni za uchawi na majini. Rafiki yangu kanunua nyumba pale magomeni aiseee kasumbuka balaa, kila...
  9. Usalama wa nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence

    Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika. Mara nyingi huduma hii inaambatana na uwepo wa cameras ili kuongeza zaidi ulinzi. Umewahi kusikia uvamizi umefanyika katika nyumba zenye...
  10. W

    Ghetto linapoteza raha yake ukifika 30's, nyumba ya kupanga inakupa stress ukivuka 40's, jibane unavyoweza uwe na nyumba yako.

    Mahitaji makuu matatu ni Chakula, nguo na Malazi Usipokuwa na kwako ni sawa na kuazima nguo au kula kwa jirani Tafuta kiwanja chako mapema hata kama ni nje ya mji anza taratibu kujenga kwako. Maisha ya Ghetto huwa ni ya kuanzia kwa vijana wengi wadogo wanapoondoka makwao lakini hoo stage ina...
  11. Ila madalali bwana, sasa hii ndio nyumba ya milioni 35

    Ila wabongo, aya bwana.
  12. Plot4Sale House4Sale Nyumba na viwanja vinauzwa

    NYUMBA INAUZWA MKOA: Dar es Salaam, Tanzania WILAYA: Kinondoni MAHALI: Bunju Beach, Moga NYUMBA INAUZWA KAMA ILIVYO BEI: TZS Milioni 550 MAONGEZI YAPO UKUBWA WA KIWANJA: SQM 1600 UMILIKI: Ina hati safi NYUMBA KALI SANA INAUZWA SIFA ZA NYUMBA: Vyumba 4 vikubwa vya...
  13. Nyumba inauzwa Tabata Bima

    Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje hazijakamilika. Ukubwa wa Eneo: Sqm...
  14. Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK)

    Serikali imeendelea Kuboresha Mipango Miji na Vijiji kwa maendeleo ya nyumba na makazi Kupitia programu ya Kupanga, Kupima na Kumilikisha (KKK). Program hiyo imeweza kupima viwanja 538,429 katika halmashauri 90 nchini kwa kipindi cha kuanzia 2020 hadi 2024. Pakua Samia App kupitia Play Store...
  15. R

    Msaada: Ni material gani nzuri kwa skimming ya nyumba baada ya kupiga plasta

    Nimekutana na aa array of skimming materials. Ni ipi inafaa kwa skimming ya kuta baada ya kupiga plasta kuta
  16. Nyumba inauzwa Tabata Bima

    Nyumba Inauzwa Tabata Bima, Dar es Salaam. Mahali: Mtaa wa Mbiu. Sifa za Nyumba: *Iko mita chache kutoka barabara ya kuelekea Tabata kimanga. *Ina Vyumba viwili vya kulala, chumba kimoja ni master, sebule na jiko. *Ina nafasi kubwa nje. *Ina fremu mbili nje hazijakamilika. Ukubwa wa Eneo: Sqm...
  17. M

    Natafuta Nyumba Zanzibar

    wadau, hasa wanaoishi Zanzibar naomba msaada wenu, Nitakuwa Zanzibar kikazi kwa mwaka mmoja kuanzia mwezi wa pili. Natafuta Nyumba ya kupanga 1 Bedroom ikiwa master room ni vyema zaidi, Sitting room na jiko. Kama itakuwa ngumu kupata basi walau 1 master bedroom, sitting room na jiko...
  18. E

    Nyumba ya kupanga maeneo ya Temeke, Tandika hadi Mbagala

    Natafuta chumba master sebule na jiko maeneo ya mbagala, tandika au temeke
  19. Nyumba ambayo bado haijaisha inauzwa

    NYUMBA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA NI MASTER BEDROOM YENYE CHUMBA CHA MAKABATI YA KUHIFADHIA NGUO. SEBULE, DINING, JIKO, STOO NA PUBLIC TOILET. INA KORIDO PANA KUELEKEA VYUMBANI. RAMANI YAKE NI NZURI NA YA KISASA. ENEO LINA UKUBWA WA 20 UPANDE WA KULIA, KUSHOTO 20, NYUMA 20 NA KWA...
  20. Walimu musipumbazwe na kota jengeni nyumba zenu binafisi kuna kustaafu

    Utangulizi Tunajua kwasasa walimu mnajiendeleza kimasomo, huko mashuleni kuna Masters na PhD chache jueni kuwa serikali yetu nisikivu ipo siku utawekwa muundo wa kiutumishi kwenye hizo Masters na PhD. Niwaase walimu usikae kota zaidi ya miaka 5, jibane ukope mkopo bank usiogope kusemwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…