nyumba

  1. JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA YA KISASA HAPA VIKINDU NYUMA YA MTAA WA POLISI 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya kisasa inauzwa Vikindu karibu na stand/ 0673294681

    Ninauza nyumba yangu hapa vikindu nyuma ya mtaa wa polisi. Nyumba inavyumba viwili vya kulala vyote master. Ina maji na umeme nimesogeza nguzo na kufanya wiring mwenye uhitaji unipigie/whatsup 0673294681. Ninashida ya pesa nataka niende masomoni nje ya nchi. Bei tsh. 20m mazungumzo yapo
  3. JamiiForums Tanzania NAUZA NYUMBA

    Habari wana jf Nimerudi tena na picha kimfaacho mtu chake nimekumbwa na changamoto kidogo za kuuguza so nimefikia maamuzi haya nauza nyumba ila bado haijaisha Vyumba 3(viwili master) Jiko Sebule Miguu 40 kwa 40 Store 10m maongezi yapo Eneo mbagala kwa mbiku(chaboko)2-2.5km kutoka barabarani
  4. JamiiForums Tanzania Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  5. JamiiForums Tanzania Ukitupa kaz tukujengee nyumba hizi ngazi tunakujengea free Zinaitwa floating stairs Zikipigwa finishing hapo utazipenda

    Ukitupa kaz tukujengee nyumba hizi ngazi tunakujengea free Zinaitwa floating stairs Zikipigwa finishing hapo utazipenda HUDUMA ZA UJENZI NA USANIFU MAJENGO* 📌 Ramani za Nyumba za Kisasa Tunachora ramani za nyumba za kisasa kulingana na mahitaji yako. 📌 Usanifu Majengo (Architectural...
  6. JamiiForums Tanzania Beach Plot for sale, located at Kigamboni Dege, Price $3M, Negotiable

    Wonderfully Sand Beach Plot for Sale at Kigamboni Dege ●Area ize 9.6 Acres ●Price 3m usd ●Document: Title deed Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
  7. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Goba Lilian Kibo

    Nyumba inauzwa Goba, Dar es Salaam. Mahali: Lilian Kibo kwa Mwakifulefule. Sifa za Nyumba: *Nyumba haijakamilika, imefikia kwenye hatua ya umaliziaji. *Iko mita chache kutoka barabara ya Goba. *Iko upande wa kushoto ukitokea mbezi beach, na upande wa kulia ukitokea mbezi stendi ya Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Nyumba Inauzwa Kimara Temboni

    Nyumba Inauzwa Kimara. Mahali: Kimara Temboni, Mtaa wa Mtakuja. Sifa za Nyumba: •Ipo km 1 kutoka barabara kuu ya Morogoro. •Ina chumba chenye choo ndani, sebule na jiko. •Ina mpangaji analipa kodi sh. 300,000 kwa Mwezi. •Ina eneo kubwa mbele. •Usafiri wa aina zote unafika mpaka kwenye nyumba...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tanzania imekuwa kama nyumba ya mjane

    Ndugu wanajamvi, ni kweli haya ninayoyasema! Tangu kuibuliwa Kwa MFUMO WA UCHAWA,yaani mfumo wa kumsifu RAIS na kumtetea, vimeibuka vikundi Vingi sana na watu wengi sana ambao Sasa wanaoitwa MACHAWA. Jambo hili limevuka mipaka Sasa ambako zimeanzishwa TAASISI mbadala za kuisemea serikali...
  10. JamiiForums Tanzania MNEC Joseph Peneza aozesha binti yake, ampa zawadi ya nyumba ya ghorofa, shamba na milioni 70

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kutoka Mkoa wa Mtwara, Komredi Joseph Mkuyu Peneza, ameandika historia kwa kufanikisha harusi ya binti yake, iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali, chama, ndugu, jamaa...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Watoto wanaposema uwapeleke kwenu wakati uliishi Kota, nyumba ya kupanga, ulipoishi pamekuwa sehemu ya biashara, n.k. unawajibu nini ?

    Sehemu ulipoishi ni kota, kuna familia nyingine imehamia Sehemu ulipoishi ni nyumba za kupanga, kuna wapangaji wengine Ulipowahi kuishi pamebadilika kabisa, sio tena sehemu ya makazi ni mji wa kibiashara kuanzia mafremu, magorofa, gesti, magorofa, n.k. Kijijini kwenu hawakujui au...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ni hatua zipi za kuchukua kupunguza upotevu wa mali kwa mzazi mwenye mashamba na nyumba nyingi lakini hashirikishi mke wala watoto ?

    Sio lazima arithishe familia yake, Tatizo hashirikishi hata ndugu zake. Ni kwa lengo la kupunguza upotevu wa mali, Matapeli kujimilikusha vitu kiholela, n.k. Wala hakuna ugomvi familia inaishi vizuri lakini unakuta mzee hataki kabisa kuzungumzia ishu za mali, Mali mnazijua kupitia watu...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Badilisha Nyumba Yako kwa Kusave Space na Furniture Zetu – Imetengenezwa Kwa Ajili Yako

    Unasumbuka na nafasi ndogo nyumbani? Umekuwa ukitamani fanicha ambazo hazichukui nafasi kubwa lakini bado zinapendeza na kudumu? Afro Eco Wood Designs imekuletea suluhisho: fanicha za kisasa zenye ubunifu wa hali ya juu zinazokufaa wewe unayeishi kwenye nyumba yenye nafasi ndogo – iwe ni chumba...
  14. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba kabla haujaanza ujenzi

    Umuhimu wa kuwa na ramani ya nyumba ni mkubwa sana kabla ya kuanza ujenzi. Hapa ni sababu kuu: 1. Mwongozo wa Ujenzi: Ramani inaelekeza kila hatua ya ujenzi, kuanzia msingi hadi paa. 2. Kuzuia Makosa: Inasaidia kuepuka makosa ya kiufundi, kupunguza uharibifu wa vifaa na kazi ya kurudia. 3...
  15. JamiiForums Tanzania Nyumba Inapangishwa Tabata Segerea

    Nyumba ya vyumba vitatu inapangishwa. Mahali: Tabata Segerea, Dar es salaam. Sifa za Nyumba: •Iko mita chache kutoka barabara ya segerea. •Ina master bedroom, Choo cha ndani, jiko, Sebule na sehemu ya chakula. •Iko ndani ya uzio yenye sehemu kubwa ya kuegesha magari. •Ina bustani ndogo...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Mwenye nyumba yangu alipotea hata ndugu zake siwajui, sasa nimejenga kwangu, Je niendelee kupangisha?

    Wasalaam, Mwaka 2019 nilipanga nyumba mpya sehemu nzuri sana hapa jijini Daslaam nilichukua nyumba nzima kwa kodi ya laki 9 kwa mwezi. Nililipia miezi sita kwa cash na hiyo ilikuwa mara ya kwanza na ya mwisho wa kuonana na mwenye nyumba. Nilipotaka kulipia tena miezi sita baadae namba yake...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa wamiliki na wapangaji wa nyumba, je, ni nini ungependa kuona au unapendekeza kiwemo kwenye nyumba za kupangisha?

    Habari zenu wakuu, Nina mpango wa kujenga nyumba za kupangisha, lakini napenda ujenzi huu uwe wa kisasa na wa kuvutia. Kwa hiyo, nataka kupata maoni na mawazo tofauti kutoka kwa wadau mbalimbali, ikiwa ni pamoja na wamiliki wa nyumba za makazi ya Biashara na wapangaji. Kwa mfano, ninafikiria...
  18. JamiiForums Tanzania Unatunza mali zako wapi ndani ya nyumba yako? Njoo tukufundishe sehem salama

    Wakuu siku nyingine kwenye chumba chako Chimba weka sehem ya kuwekea vitu vya thaman juu ukubwa wa tiles moja au mbili alafu unarudishia tilesvizuri kwa ajili kutunza mali zako Na pia kuna chumba unaweza kutuambia tukakudesizainia kinakuwa hakionekan pande zote weka mali zako usiklili kila...
  19. JamiiForums Tanzania KERO Nyumba za Michenzani (Zanzibar) zinatiririsha maji yenye kinyesi Mtaani na Mamlaka hazichukui hatua zozote

    Hapa ni Jumba Namba Nne - Michenzani usawa wa geti na RahaLeo Studio kuna karo (chemba) kutoka katika nyumba za hapo zinatoa kinyesi na maji yake ambayo yanasambaa mtaani na wala Wananchi hawajali lolote. Jambo hilo baya kwa afya linaweka hatarini afya za Wakazi wa hapo ikiwemo kuwa hatarini...
  20. JamiiForums Tanzania Soma hapa umuhimu wa kuwa na landscape design nzuri kwenye nyumba yako wale wapenda garden

    Landscape design ina umuhimu mkubwa sana kwenye nyumba, na hapa ni sababu kuu chache: 1. Urembo (Aesthetics): Inafanya mazingira ya nyumba yaonekane maridadi na ya kuvutia. 2. Thamani ya Mali: Nyumba yenye landscape nzuri huongeza thamani ya ardhi na kuvutia wanunuzi au wapangaji. 3. Faragha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…