Nyumba ipo kibaha visiga madafu.
Nyumba Ina vyumba 5 vya kulala,viwili master bedroom.
Nyumba Ina mabanda makubwa ya kuku,ya mbuzi na ng'ombe.
Ina nyumba ya wafanyakazi.
Kuna kisima kikubwa Cha maji,na maji dawasco pia yapo.
Ukubwa wa eneo eka Moja.
Kuna fence.
Ina hati ya wizara(title deed)...
Kama una cctv ambayo imechukua picha zozote za maandamano, tafadhali hamisha hizo picha haraka na kuzitunza.
Wanataka dunia isijue kilichotokea.
Kama una ndugu Unajua ana cctv mfikishie ujumbe. Wa record hizo taarifa zote na kuzificha.
Polisi wanaanza kupita kwenye biashara za watu kufuta...
Tanzania huru ( Tanzani ambayo inarudi mikononi mwa wanchi kwa kuitoa mikononi mwa waovu wasiotakia mema nchi hii ).
Ndugu! Rocket 🚀 haina reverse, tumefikia 98% ya kukamilisha mission ya ukombozi wa taifa, kwa wasio na ufahamu wataona mizaha, ila set up za jambo hili limekamilika.
29...
Mgombea wa ccm jana alitoa wito kwa wazazi kubeba familia zao kuelekea kupiga kura. Zaidi akasema mabalozi wa nyumba 10 wahakikishe wanawapitia wakazi wake kwenda nao kuipigia ccm kura.
1. Nauliza, kauli hiyo ni sahihi? Kama mimi sio mwanaccm nitaenda kumpigia nani?
2. Kama sera za wale...
Embu tusaidiane kidogo katika hili wazo.
Kutokana na idadi ya wanaopotea kuongezeka, na wenye mamlaka kuonekana kama suala hili lipo nje ya uwezo wao kulitatua na kulikabili, kwa nini jamii isiamue yenyewe kuchukua uamuzi wa kuanza kuwatafuta wote waliopotea?
Zoezi hili liende nchi nzima...
Tuombe Mungu usiku upite salama, Israel anazengea kwenye viunga vya Nyumbani kwa aunty LuLu, kaweka ujumbe kwenye Instagram usiku huu wa manane 👇
Msiomjua Aunty LuLu ni huyu
Huzuni imetawala kwa wakazi wa Mtaa wa Udindivu Kata ya Mapinga, wilayani Bagamoyo mkoani Pwani baada ya Mahakama ya Wilaya hiyo kutupilia mbali maombi yaliyowasilishwa na wananchi hao katika shauri na 18330/2025.
Wananchi hao wakiongozwa na Agnes Lupembe walilofungua kesi mahamamani hapo...
Je, unatarajia kujenga nyumba yako hivi karibuni? Na unataka kujengewa nyumba ya kisasa kwa uaminifu na ubora unaohitajika?
Kama ndivyo basi hujachelewa na tayari umetupata MODERN HOME BUILDERS ambao sisi ndio watu sahihi wa kukujengea nyumba ya ndoto zako na hitaji la moyo wako.
Sisi MODERN...
Tutumie mfano mwepesi vijana waelewe na wajue kwanini kina polepole, kina mdude wametekwa kina tundu lisu wamepigwa risasi nk. na kwanini kuna watu wanatumia nguvu nyingi kubaki madarakani, wanapiga watu virungu, wapo tayali kuuwa watu
Wambieni hao ndio wale wanaotaka kubaki na mashamba ya...
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri polisi wangemkamata pia mwenye nyumba inayodaiwa alikuwa akiishi Humphrey Polepole ili aweze kulisaidia jeshi la polisi katika uchunguzi wake.
Aeleze ni lini alimpokea na mkataba wake ulianza lini na amekaa kwa muda gani na walionana lini na kama walikuwa na...
Eneo ni 400 sqm, limetumika lote, yote ina wapangaji, lipo Kiluvya Makurunge, Pwani karibu na kwa masister au kwa Sumaye.
Piga namba +255 68 462 4404 kwa maelezo zaidi
Wazee ni hazina, wazee ni risasi ya mwisho na mzee ni sehemu ya kwenda kujichukulia maarifa.
Leo kama Taifa unaona yanayoendelea, wazee wote muhimu wameteketezwa ili vijana (taifa la kesho) wabaki wenyewe.
Mfano, mzee Nyerere kwa wakati wake aliweza kusema na kuonya kuepusha dhiki, Mkapa na...
Habari za asubuhi wana MMU
Naleta kwenu mada. Tujadili tafadhali. Mwanaume afanye nini katika himaya yake ili kauli yake ndio iwe hitimisho la mijadala?
Mfano mdogo ni kwamba nimelumbana na wife jana kuhusu kugawa vitu bila ridhaa yangu (au niseme bila maridhiano kwanza kwamba nataka kufanya...
Kati ya maandamano yaliyopangwa vizuri ni haya maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025
Wanaotutisha kufanya mazoezi watajua wenyewe walinde vituo vya kupiga kura au nyumba za Viongozi wa CCM au Ofisi za CCM au nyumba za Wabunge na Mawaziri au Ofisi za Umma.
Enough is Enough
Lazima turudishe...
Yusufali amedai kununua nyumba husika mwaka 2011 na anakuja kumuondoa Alice zaidi ya miaka 10 baadae huku sababu kuu ikiwa safari za nje ya nchi zilizomtinga lakini anafanya eviction akiwa safarini pia. Mahakama hizi za Ardhi huwa zinauliza ulikuwa wapi kwa muda wote huo?
Uhalisia wa bei japo...
Hili sakata linaoendelea muda huu .
Kuhusu Justice Rugaibula , ndo huyu muhaya pendeshee ambaye amekuwa akiimbwa na wakongomani katika nyimbo zao.
If yes , basi hili jambo linatafakarisha Sana.
Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na taratibu!
Watu wanakuwa wamefuata taratibu zote na kunyimwa haki katika serikali ile ile inayotoa pole!
Huwezi kwenda kutoa pole kwa matokeo yaliyochangiwa na uovu wa kiutendaji.
Ile siyo ajali bali ni jambo la makusudi kabisa lisilo na utu ndani yake...
Maelezo yaShukrani Kyando, Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Dar es Salaam, Shukrani Kyando kuhusu mwanamke aliyeonekana kufukuzwa kwenye nyumba yake eneo la Mikocheni.
Soma > Mjane wa Justice Rugaibula avamiwa, atolewa kwenye nyumba aliyoachiwa na mumewe pamoja na wapangaji wengine