nyumba

  1. S

    JamiiForums Tanzania Shirika la Nyumba Nchini(NHC) kujenga nyumba 1000 za kuuza,kupangisha Dodoma

    SHIRIKA la Nyumba nchini (NHC) linakusudia kujenga nyumba 1,000 mkoani Dodoma za kuuza na kupangisha kwa lengo la kutumia fursa ya Serikali kuhamia mkoani hapo. Akizungumza jana, Mkurugenzi Mkuu wa NHC, Maulid Banyani mbele ya Kamati ya Hesabu za Serikali alisema hivi sasa wapo kwenye...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Itungwe sheria ya kufuatilia na kudhibiti mapato na matumizi katika Nyumba za Ibada

    Wotu tunafahamu kuwa serikali haina dini ila ni serikali hii hii inayosimamia uanzishwaji wa makanisa na misikiti na hata kuyasajili. Binafsi naona wakati umefika serikali isiishie katika kuyasajali tu makanisa haya bali tuwe na sheria itakayoruhusu serikali kupitia chombo/maafisa maalumu...
  3. JamiiForums Tanzania Nadhani Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) lipo katika hali mbaya ya kifedha

    Hili shirika la kujenga nyumba kwa wananchi, National Housing Corporation NHC, sasa imethibitika liko katika hali mbaya sana kifedha. Hii ni licha ya kuambiwa uchumi wetu wa viwanda unakua kwa zaidi ya 7%. Miradi iliyo mbele ya macho na inaonekana kila siku pale Morocco na Kawe, imesimama...
  4. JamiiForums Tanzania Tunauza Viwanja na Mashamba kwa bei nafuu

    Habari wana JF.Nina hekari 2,000 za shamba maeneo ya mazinde wilaya ya korogwe mkoani Tanga. Ninatumia heka 1,000 tu.Zimebakia heka 1,000 kwa mwekezaji yoyote wa kilimo aje. Pembeni limepakana n mto ambao haujawahi kukauka maji. Nauza 1,000,000 Kwa Heka 1. DIRECTION YA SHAMBA LILIPO Ukiwa...
  5. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa ipo Makongo

    📍Eneo Lilipo: Makongo Juu - Mageuzio 📍Aina ya eneo: Eneo la makazi Kubwa lililo na mjengo wako 📍Ukubwa wa eneo: 2100 Sqm 📍Mazingira ya eneo: Eneo tulivu lenye makazi ya watu 📍Huduma za kijamii: Umeme na Maji vyote vipo 💸💸💸 BEI : Milioni 300 (Mazungumzo yapo) 💸💸💸 LIPA 50% INGINE...
  6. JamiiForums Tanzania Hapa ni Gbadolite, Kijijini kwa dikiteta Mobutu Sesseko Kuku Wazabanga, nyumba zimegeuka Magofu na mahame

    Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
  7. JamiiForums Tanzania Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii http://www.darproperty.co.tz/monthlyIssue/viewLatestMagazine

    Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili. Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Asalam Ailekum wandugu, Nahitaji mtaalam wa kunifanyia makadirio ya ujenzi wa nyumba hususan kupaua kwa kutumia bati. Nyumba ipo Kigamboni jijini Dar es Salaam. Natanguliza Asante. --------------------
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…