nyumba

  1. JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kuharibu nyumba aliyokuwa amepanga

    Mwanamuziki Nassibu Abdul 'Diamond Plutnumz' amepelekwa mahakamani kwa tuhuma za uharibifu wa mali ndani ya nyumba aliyokuwa amepanga kwa ajili ya studio maeneo ya Sinza Kijitonyama kabla ya kuhamia Mbezi, jijini Dar es Salaam huku akidaiwa kodi ya mwezi mmoja. Mali hiyo yenye thamani ya zaidi...
  2. JamiiForums Tanzania House4Sale Numba inauzwa Buguruni

    Habari za mida, Nyumba kubwa inauzwa ipo Buguruni - Rozana, Ni nyumba ya vyumba vitano ndani na nje kuna vyumba vinne ambavyo vitatu ni single na kimoja ni double room na kwa nje nyuma ya nyumba pia kuna eneo la kuweza kutoa vyumba vitatu single. Nyumba ipo Buguruni mtaa wa Azimio karibu...
  3. JamiiForums Tanzania Unajua kwamba ukitaka kukarabati nyumba yako au kuijengea uzio ni lazima uombe kibali Serikali za Mitaa kabla ya kufanya hivyo?

    Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni imetilia mkazo sheria ya ardhi na upangaji miji ambayo inamtaka kila mkazi katika eneo lake anapotaka kufanya ukarabati wa nyumba yake, kupaka rangi ama kujenga uzio lazima awe na kibali kutoka halmashauri. Mkurugenzi wa manispaa ya Kinondoni, Aron...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ramani za nyumba na ujenzi

    Doltu Architects offers design and planning services for new construction, renovations and additions for commercial and residential projects.Our architectural fee are competitive and our services are of great value. contacts: 0654003555 mail:doltuarch@gmail.com
  5. JamiiForums Tanzania Foleni ya kuoga ya nyumba za kupanga

    Kwenye nyumba za kupanga moja hivi kuna mpangaji mmoja huwa anachukua mda mrefu kuoga, akiingia yeye lazima achukue dakika kam arobaini. Wapangaji wenzake wanachukia Sana maana inawabidi wasubiri mda mrefu atoke na wengi huchelewa asubuhi. Mama mwenye nyumba leo kamtolea uvivu kamwambia “wewe...
  6. JamiiForums Tanzania Huku kitaa: Utajiri ni nyumba na gari Tuu!...

    Usishangae Ukaanza kutengwa,kukopwa na Hata kurogwa kwa sababu huku kwetu tunaamini kabisa huwezi kuwa na hivyo vitu km wewe sio Tajiri na sie huku tuna Aleji na hao watu!!
  7. JamiiForums Tanzania Mvua ya masaa 2 Dar yasababisha nyumba 20 kuezuliwa mapaa

    UPEPO mkali na mvua iliyoandamana na radi imesababisha nyumba zaidi ya 20 kuezuliwa mapaa huku Kaya 50 zikikosa makazi. Tukio hilo la aina yake limetokea masaa mawili yaliyopita ambapo katika eneo la Kimara Golani kwa 'Bibi Rosta' mwandishi wa habari hizi ameshuhudia nyumba 19 zikiwa...
  8. JamiiForums Tanzania Wahamiaji haramu nchini kusakwa nyumba kwa nyumba

    Serikali imetangaza kuanza operesheni, doria na misako maalumu ya kuwasaka na kuwakamata wahamiaji haramu katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika nyumba za kulala wageni, stesheni za mabasi, stesheni za reli, mahoteli, mialo ya uvuvi pamoja na maeneo yenye muingiliano wa shughuli za...
  9. JamiiForums Tanzania House4Sale Nauza nyumba

    Hi
  10. JamiiForums Tanzania Mafundi wa kupiga nyumba plaster (lipu)

    Nataka kupiga nyumba plaster (kwa nje tu) lakini sijui bei gani? Mchanga wa kutosha nyumba nzima hupo na simenti mifuko 12 (yaani 3 kila upande) hipo. Sasa mimi hela yangu ya kuungaunga. Mafundi mtanifanyia bei gani kwa mifuko hiyo 12 ya cement. Mimi Niko Dar
  11. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Milioni 26. Ipo Mbezi Mwisho, eneo la Msakuzi

    Nyumba ipo Mbezi Mwisho mtaa wa Msakuzi ipo karibu na barabara/Kituo cha Daladala. Nyumba hiyo ina vyumba vitatu. Price: TZS 26,000,000 (mwenye nyumba ana shida ya haraka kwahiyo kashusha bei) .Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji • kiwanja kina ukubwa wa eneo 35...
  12. JamiiForums Tanzania Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora

    Wanawake Misungwi Mwanza wawajengea waume zao nyumba bora HIKI ni kitu ambacho hakijawahi kutokea hapa nchi baada ya wanawake kujiunga katika vikundi vidogo vya maendeleo na kuanza kuwajengea waume zao nyumba bora, ikilinganishwa na maeneo mengine ya Tanzania tulivyozoea kuona wanaume ndio...
  13. JamiiForums Tanzania Madalali wa nyumba, viwanja kuwa na leseni

    SERIKALI imetoa onyo kwa madalali na waendesha minada wote nchini, wanaoendesha shughuli hizo bila ya kuwa na leseni, kuwa kuanzia sasa atakayebainika hatua kali zitachuliwa dhidi yake. Madalali hao ni wa nyumba, viwanja, mahakama, usafiri na magari na kampuni zinazoendesha minada. Pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Mbezi Msakuzi 30mil

    Nyumba ipo mbezi mwisho mtaa wa msakuzi ipo karibu na barabara/kituo cha daladala Price: TZS 26,000,000 ( mwenye nyumba ana shida ya haraka kwa iyo kashusha bei) .Documents serikali ya mtaa lakini wapo kwenye hatua za upimaji • kiwanja kina ukubwa wa eneo 35 kwa 20 • maji na umeme vipo ...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Mwenye nyumba amuua mpangaji kwa kumdai takriban Tsh 57,000

    Mwenye nyumba Ngángá Gitau, amemchoma visu mpangaji wake hadi kufa Warren Jirongo (26) baada ya kushindwa kulipa kodi ya mwezi Januari Wakazi wa eneo hilo wamemzonga mwenye nyumba huyo kwa hasira na kuchoma nyumba zake moto baada ya yeye kumuua kijana huyo Kijana huyo ni yatima ambaye alikuwa...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna mtu alipost ana nyumba mbili za kupangisha Chanika na moja Banana naomba namba yako

    Kuna mtu alipost tangazo kuwa ana nyumba mbili Chanika na moja banana ilikuwa kama week mbili nyuma. Nahitaji namba yako nimetafuta thread sijaipata.
  17. JamiiForums Tanzania Wivu wa mapenzi: Mwanaume achoma nyumba na kuua familia ya watu 6

    Watu sita wamefariki dunia baada ya nyumba waliyokuwa wamelala kuchomwa moto usiku wa manane kata ya Mjawa wilaya ya Kibiti mkoani Pwani. Kati ya watu hao sita wawili wakiwa ni mama na watoto wao walikuwa wamelala nyumba ilichomwa moto usiku wa manane na kuteketea. Akizungumzia tukio hilo kwa...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Hivi kama baba kaikimbia nyumba, nini hatma ya kijana mwenye ndoto?

    Halo JF siasa. Ktk Uzi huu sitamtaja mtu na hivyo wachangiaji pia wasitaje jina la mtu. Inafahamika wazi nini kinachojiri ktk familia kubwa pendwa nchini. Kuna wababa wawili wanadhamiwa kuikimbia familia hii. Baba moja machachari ameacha kijana wake ktk familia hii kubwa. Kijana si haba...
  19. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Mnyarwanda yachomwa moto kwa kujihusisha na biashara ya nyeti za binadamu

    Hii imetokea nchini Malawi ambapo inadaiwa Mnyarwanda mmoja aishie nchini humo na ambae ni tajiri aliejenge jumba kubwa mjini humo, alikuwa akiua watu hususani wanaume na kuwanyofoa sehemu zao za siri na kuzipeleke South Africa. Sasa amesanukiwa akakamatwa alipobanwa amesema kilakitu na...
  20. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Nyumba za Walimu zageuzwa danguro

    Majengo mawili ya nyumba za walimu ambayo ujenzi wake haujakamilika katika Shule ya Sekondari Mwasele, Kata ya Kambarage, Manispaa ya Shinyanga, yamedaiwa kugeuzwa danguro na kusababisha baadhi ya wanafunzi kupewa ujauzito na kuacha masomo. Diwani wa Kambarage, Hassani Mwendapole, alipaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…