nyuma

Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.

View More On Wikipedia.org
  1. GENTAMYCINE

    Mwanaume mwenye Watoto Watatu halafu Wote ni Wezi na hawana mbele wala Nyuma na Mwanaume asiye na Mtoto kabisa Kwako Wewe nani hapa mwenye Afadhali?

    Na katika huu Uzi najikita tu zaidi Kusoma Maoni / Majibu yenu kwa huu Ubishani nimeukuta mahala na ninauleta Kwenu.
  2. hp4510

    PreGE2025 Ukimsikiliza Lissu kwa Umakini, Utagundua kuna kiongozi mkubwa yuko nyuma ya CHADEMA

    Wakuu mambo vipi? Ukipata Bahati ya kumsikiliza lissu na heche kwa umakini zaidi, ukiangalia na sura zao wakati wanaongea Utagundua kitu Fulani, I think kuna mkubwa mmoja wa CCM au wa Serikali yuko nyuma yao And I think wanaplan moja kubwa ambayo so far serikali haijajua Possibly wakaja...
  3. Pure Moods

    Oneni huyu shabiki wa nyuma mwiko alichowaandikia Al masry.

  4. C

    Tukumbushane Vipindi na Watangazaji Bora katika TV kwa Miaka ya nyuma

  5. THE FIRST BORN

    Nyuma ya pazia yanayoendelea sakata la Match ya Derby kuahirishwa

    Niseme tu Meza mliyotikisa Round hii Nyie Bodi ya Ligi ilikua na vinywaji vya gharama.
  6. Titicomb

    Kiburi Cha Karia pale TFF hana tofauti na Malinzi kinarudisha soka la Tanzania nyuma.

    Ukiwa shabiki wa soka bila kujali timu unaweza kuliona tatizo kubwa pale TFF ambalo linaweza kuwaingiza kwenye mtego viongozi wakubwa serikalini. Karia ndiyo chanzo cha tatizo. Karia ndiyo chanzo cha tatizo sababu amelewa sifa na kiburi. Hataki kusikiliza au kukosolewa akikosea pale anapokosea...
  7. Navigator Paul

    Nakumbuka Sana vitu vya nyuma

    Wakuu Habari Mimi Bhnaaa Ni Kijana Nipo Tu Kwenye Harakati Za Maisha Sasa Hivi Karibuni Nakuwa Nawaza Sana Maisha Yangu Ya Nyuma, Yaaani Udogoni, Sometimes Hata Nilivyokuwa Napitua Baadhi Ya Changamoto Zangu Za Maisha, Yaaani Kila Siku Lazima Niwaze Mambo Yangu Ya Nyuma Hii Kitu Imenipelekea...
  8. Mkunazi Njiwa

    Tuwashangae hawa walio nyuma ya huyu mwanachama anayehamahama vyama na aliyefukuzwa CCM:Ya awamu mbili ni ada na taratibu zisizo ndani ya katiba !!

    Ninamshangaa yeye na walio nyuma yake kwa kupinga mchakato wa uteuzi wa mwenyekiti kuwa mgombea wa urais uchaguzi 2025.... Niwafikirishe hivi ; Ikiwa utaratibu wa "awamu mbili" ni ada na kawaida isiyo ndani ya katiba iweje leo tuikimbilie KATIBA ya chama kwa kuwahoji wale walioisigina ...
  9. Black Butterfly

    Nini kipo nyuma ya Mzungu John Robert Maitland, alifungwa Tanzania miezi 6 lakini bado yuko Gerezani Segerea zaidi ya miaka 10?

    JOHN ROBERT MAITLAND DHIDI YA JAMHURI Mshtakiwa alishtakiwa kwa kosa la kuingia na kuwepo kinyume cha sheria ndani ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mahakama ya Wilaya Bukoba, Kavera. Alikutwa na hatia na kuhukumiwa kulipa faini ya Shilingi 80,000 za Kitanzania au kifungo cha miaka...
  10. The redemeer

    Nini kilichopo nyuma ya kifo

    Imani za watu, huvunjika na kupotea baada ya kupatwa na mtihani wa mauti. Hapo hata wapendwa, mashehk, mapadri, wachungaji hulia kwa huzuni ya kuondokewa na mpendwa wake. Ni ngumu kukabiliana na tukio la kuondokewa au kufiwa, lakini je Mungu ana kusudi gani juu ya Kifo?. Kwa kuwa kila mtu ana...
  11. Natafuta Ajira

    Nani yupo nyuma ya mwanaume aliefeli?

    Embu tuangalie uhalisia duniani kuna population kubwa ya wanaume masikini zaidi ya wanaume matajiri. Kuna rate kubwa ya wanaume wanaoanguka katika biashara na ajira zaidi ya wanaofanikiwa. If behind every succesfull man there is a woman, then who is behind a failure man? Himself? He get blame...
  12. kiss ov love

    Nimekuwa nikiumizwa na historia yangu ya nyuma natamani kumwambia ukweli mpenzi wangu lakini nahofia ataniacha

    Habari za wakati huu wana JF ni matumaini yangu mu wazima wa Afya. Bila kupoteza muda twende kwenye jambo husika tajwa hapo juu. Mimi ni msichana, kipindi nasoma kuna maisha nilikuwa naishi hapo nyuma hayakuwa mazuri nadhani ni kwasababu ya utoto na kutojitambua pia, ama ni ile foolish age pia...
  13. The redemeer

    Wahitimu msing'ang'anie kuomba kazi bongo pekee hata kama uridhiki na ajira uliyonayo muda haurudi nyuma fursa popote

    Hawa vijana wa singeli uenda bongo ndio tuna vijana wa hovyo kutwa kutumia bando kuangalia ujinga mda hauendi mtu analia connection connection connection haikufuati umelala kitandani ukiwa unapambana bongo usiache na kupambana nje pia nje hapa hitaji connection ili kupata kazi kule ni cv na...
  14. R

    ikitokea ukapata nafasi ya kurudisha nyuma muda ukiwa na miaka 20, ni vitu gani usingerudia kuvifanya

    Nilipomaliza form 6 sikujua vizuri cha kwenda kusomea chuoni, Nilisoma kozi nayoipenda bila kulisoma soko la ajira, connections, n.k. Mbaya zaidi nilisoma chuo cha private hakina uzito, isingekuwa shida kama ningepata mkopo ila nikizifikiria milioni 12 za wazazi naumiaga, nimejipata nje kabisa...
  15. F

    Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  16. THE FIRST BORN

    Kabla Simba hajapigwa Zile 5 Kulikua na Trend ya Yanga Kufunga goli 5 kwenye Michezo ya Nyuma yake Msimu huo ni kama Msimu huu tu.

    Mashabiki wa Simba Mashabiki Simba nawaita Tena Simba jiandaen kalieni kusema Yanga ananunua match ila mnajisahau kwenye hili. Muulizeni Mganga wenu hili kama analifanyia kazi? Nenden mkajikumbushe games 5 za nyuma za Yanga kabla hajaja kuwapiga Zile 5 alikua anashinda Kwa goli ngapi ngapi...
  17. Now and then

    Najihisi kuchoka na haya maisha ila nigerudisha siku nyuma ningefanya hivi.

    Wakuu I'm fed up with life Nimechoka na haya maisha Familia yangu ilikuwa sawa even my kids Ila wamei-block Biashara zangu wame-block Everything is down now. Kwa mtu yeyote anayejijua ni mchapakazi na mtu anayejitambua don't expose ur progress to anybody. hasa familia yako. Maaumzi yangu...
  18. Carlos The Jackal

    Uzuri wa LISSU hatungi, Hotuba zake zote Hurejelea yalosemwa huko nyuma, Suala la Katiba, Tume huru ya uchaguzi lilisemwa na tume ya Jaji Nyalali !

    Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa). Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
  19. fimboyaukwaju

    Uchaguzi wa Mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC) waingia duru ya pili. Odinga atashinda?

    Raila 21 na mgombea wa djibouti,Mohamed youssef kura 24,ila mambo bado,tusubiri
  20. Mwachiluwi

    Kwanini M23 wanazidi kuwa na nguvu kuna nini nyuma yake

    Waasi wa M23 wa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo ambao wanaungwa mkono na Rwanda wanaripotiwa kuuteka uwanja wa ndege wa kimkakati wa Kavumba karibu na Bukavu, mji mkuu wa jimbo la Kivu Kusini. Uwanja huo wa ndege upo takribani kilomita 20 kutoka mji wa Bukavu ambapo wakaazi...
Back
Top Bottom