Tom Nyuma (died January 26, 2014) was a Sierra Leonean military commander and the chairman of the Kailahun District council. He was elected as chairman of Kailahun District council on July 6, 2008 with 87% of the vote running on the opposition Sierra Leone People's Party (SLPP) ticket.
Nyuma was born in Kailahun, and was very popular in the Southern and Eastern regions of the country. In March 2012, Nyuma left the SLPP and joined the All People's Congress (APC) of President Ernest Bai Koroma.He was at the rank of Lieutenant Colonel in the Republic of Sierra Leone Armed Forces before he retired. On 29 April 1992, Nyuma was one of the young officers in the Sierra Leonean army who ousted the APC government led by Joseph Saidu Momoh. They established the National Provisional Ruling Council (NPRC) to run the government. During the NPRC administration, Nyuma was the commander of the Eastern Province. He was a member of the Kissi ethnic group and an alum of Ohio State University in Columbus, Ohio U.S.A.
Akizungumza leo Septemba 5, 2025 mgombea urais kupitia CCM Samia Suluhu Hassan akiwa, Tukuyu (Rungwe) mkoani mbeya katika mwendelezo wa kampeni za chama hicho amesema ''Ni hakika lakini hatutoi kutoka Wilaya moja kwenda nyingine, tunatoa ndani ya Wilaya hiyo hiyo,,,siyo aibu kwa Chama...
Kupitia maonesho ya hii parade ya wachina kutimiza miaka 80 toka vita vya pili vya dunia baada ya kumnyuka Japan.
Kama taifa la Tanzania na bara zima la Afrika tujitafakari kidogo kwa kweli tupo nyuma kiulinzi.
Kwa hizi silaha wachina walizo amua kutuonesha japo nina mashaka kama wameonesha...
Serikali hii inayotuhumiwa kwa rushwa nilitegemea madawa ya kulevya yazidi na ujangili wa Meno ya tembo uendelee ila NI wazi mambo hayo yamepungua kwa Kasi Sana kama sio kuisha kabisa hasa ujangili hausikiki tena.
Je NI jitihada za serikali ya awamu hii au takwimu tunazopewa hazina uhalisia au...
Kumekuwa na wimbi kubwa la washauri na wakosoaji wa masuala mbalimbali yanayofanywa na Serikali jambo ambalo linaloteteresha utangamano wa Kitaifa.
Tumeshuhudia Wazee ambao kwa kweli ushauri wao ni muhimu wakishauri kwa kukosoa au wakishauri vijana kukosoa pale wanapoona kuna ukakasi...
Ni jambo jema kutumia nishati isiyochafua mazingira na kuumiza watumiaji. Tatizo la wanasiasa wetu kila wanachokipigia debe nyuma yake wanasukumwa na faida binafsi.
Watu wanahoji yafuatayo:
1. Kwanini nishati safi suala la matumizi ya gesi linasisitizwa zaidi huku umeme ukiachwa?
2. Kwanini...
Wakuu mambo vipi
Kuna muda unakaa unawaza hakuna muda uliwahi kuishi kwa furaha unahisi shida ulizopitia ni nyingi kuliko siku za furaha na maisha nyumbani sio mabaya sana wazazi wote wapo ila tu unataka upambane mwnywe kwa ajili ya maisha. Yako
🌍 Kuna watu wanatoka familia ambazo wazazi wao...
Kwanza poleni na kinachoendelea,ni mda kidogo sikuwepo ndo nimerejea rasmi sasa kwa mapambano.
Wakati nimekaa natafakari nchi yangu tunakoelekea nikawaza kitu nimeshindwa kupata jibu mwenyewe mwenyewe.hivi crane (hizi xinazobeba mizigo kujipakia n kushusha zenyewe mfano wa fuso au magari ya...
Uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 tuliambiwa ccm ni tajiri haitapigia magoti wadau kuomba pesa za kufanikisha uchaguzi na ni kweli mpaka uchaguzi unaisha hatukuona kiongozi wa CCM akiita waandishi wa habari kuomba msaada lakini baada ya miaka 5 (2025) tunaambiwa ccm haina hela za kufanikisha mchakato...
DEREVA WA MARAIS WATATU: SAFARI YA UAMINIFU NA SIMULIZI ZA NYUMA YA PAZIA.
Ismail Mputila, dereva mashuhuri aliyehudumia marais watatu wa Tanzania kwa zaidi ya miaka 25, amesimulia safari yake ya kipekee katika utumishi wa umma. Kazi yake ilianza kama mfanyakazi wa kawaida kabla ya kupanda...
Wakuu,
Inaonekana kama Musiba baada ya kukatwa na CCM akili zimeanza kumrudi.
Leo akiwa anaongea na waandishi wa habari ameomba radhi watu wote ambao aliwakosea kipindi hicho na akaongeza kuwa kipindi kile alikuwa kijana tu.
Nadhani msamaha huu unawahusu sana wakina Fatma Karume na wengineo...
KWAKO MKUU WA MKOA WA ARUSHA
MKURG WA HALMASHAURI
NA WENGINEOOO
NILIKUJA KWENYE SEMINA MOJA ARUSHA NIMRONDOKA LEOOPOO
ILA NILIYOYAONA ARUSHA YA ASIKITISHA SANAA SANAAAA
KUNA CLUB IKO NYUMA YA GOLDEN ROSE HOTEL....
HII SEHEMU JTATU ASBH MPAKA SAA MBILI N MAKELELE YA MZIKI FUJO ZA WANAWAKE...
Siongei sana, maneno mafupi tu. Kampuni Ya Richmond ilianzishwa na Rostam akiwa na back up ya Kikwete Raisi, Na Lowasa Waziri Mkuu.
Lowasa alitoa maelekezo makali Kwa Mkurugenzi wa TANESCO wa wakati huo, pamoja na Tenda bodi ya TANESCO ndani ya Ikulu ya Magogoni, akitoa mkwara mzito kweli, Kuwa...
Humphrey PolePole ni kama vile alikuwa akiwahutubia vijana wa bodaboda ambao wengi wao hawakuwepo wakati wa Nyerere, Mzee Mwinyi, Mzee Mkapa na Mzee Kikwete na namna walifanikiwa kuwa Marais wa Tanzania.
Pia alifanikiwa kutuambia kuwa nyuma yake wako pia akina Mzee Warioba na wazee wenzake wa...
Abedi Pele enzi zake akaichezea timu ya Taifa ya Ghana aliwika vilivyo. Alicheza 9 na 10 naukumbuka wepesi wake na namna alivyowasumbua mabeki. Jina lake la kuzaliwa ni Abedi Ayew lakini mashabiki wakaona wamfananishe na Mfalme Pele mwenyewe.
Baada ya kustaafu soka watoto wake wawili wakaamua...
Ndugu zangu Watanzania,
Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati Dkt John Pombe Joseph Magufuli Ameibuka kidedea na kutakata katika Kuwania ubunge wa viti maalumu Tanzania Bara kundi la vijana kwa kushika nafasi ya pili Nyuma ya Mwanadada machachari Ng'Wasi Kamani aliyeshika nafasi...
Nimekuwa nikijiuliza maswali tele, kuwa ni nini hasa kipo nyuma ya ubunge? Kwanini watu wanaufukuzia kwa kiwango cha kutisha hivi.
Unakuta mtu tayari ana uchumi mkubwa....ana miradi yake ipo stable tu, lakini bado anausaka ubunge...
Angalia mtu kama Abood, late Mkono nk
Utakuta mwingine ana...
Wakuu,
Kwa kawaida hata mtu mwenye miaka 90+ bado anatangaza nia ya uraisi na wananchi wanashangalia na anashinda kwa asilimia zaidi ya 70+ mbunge mwingine hata kusimama tuu ni changamoto
Lakini bado wanataka Madaraka, hivi ni nini kipo nyuma ya pazia?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.