nyoka

Nyoka the Jungle Girl is a fictional character created for the screen in the 1941 serial Jungle Girl, starring Frances Gifford as Nyoka Meredith. After the initial film, Nyoka appeared in comic books published by Fawcett, Charlton, and AC Comics.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Upuuzi ni pale unapo analyze mambo yanayofanyika kwa kutumia kipimo cha dini. Yani nyoka sio nyoka tena kwako kama amevaa gamba la dini yako. SHAME!

    Kuna washamba humu JF hata siku akija kuvamiwa na kibaka ndani kwake then kwa bahati nzuri amdhibiti na kumkamata alafu baadae ajue wanashare nae majina ya itikadi moja ataishia kumuachia huru huku akilaumu system za kikristo ndio zimemsababisha awe kibaka. Utu na haki aingaliwi tena hadi hapo...
  2. JamiiForums Tanzania Nimegundua asili yangu ni nyoka, sitaua nyoka, wala hawatonidhuru.

    Maishani mwangu nimekuwa nikiwaua nyoka kwa namna rahisi sana. Sikuwahi kujua kwanini nyoka wakiniona huwa wanaduwaa, na kubako kunishangaa. Hata nikienda mbali kutafuta kitu cha kuwapigia nawakuta wapo tu hapo hapo, nawapiga, nawaua kisha najiona bonge la mwamba. Sasa nimepata enlightment...
  3. JamiiForums Tanzania Asili ya nyoka wakubwa imegundulika huko India

    Fosili mpya iliyogunduliwa ya Vasuki indicus huko India imeleta mwanga mpya kuhusu ukubwa halisi wa nyoka huyu wa kihistoria. Inakadiriwa kuwa na urefu wa hadi futi 49 (sawa na mita 15), sampuli hii inapendekeza kwamba Vasuki huenda alikuwa mkubwa zaidi kuliko ilivyodhaniwa awali—akiizidi...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA njooni na hoja zinazomtoa nyoka pangoni

    Kuna vitu vizuri na vibaya ambavyo watanzania wanavijua kuhusu CCM, Serikali, viongizi na Katiba yao, lakini wananchi bado wanaona kuwa mazuri bado ni mengi kukiko mabaya yao. Ndio maana bado watu wanavaa mashati ya kijani mitaani bila hofu. Watanzania pia wanafahamu mazuri na mabaya ya vyama...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya facts kuhusu nyoka

    Nyoka ni aina ya viumbe watambaao wasioeleweka zaidi duniani, lakini wana jukumu muhimu katika kudumisha usawa wa ikolojia. Kiuhalisia kuna zaidi ya aina 3,000 za nyoka duniani kote, na wengi wao hawana sumu! Wanasaidia kudhibiti idadi ya panya na ni muhimu kwa mnyororo wa chakula. (Food...
  6. JamiiForums Tanzania Je, G55 ndio Wale Nyoka ndani ya CHADEMA?

    Habari za Jumapili! Kila chama kina watu ndumilakuwili,snitch, Wasaliti na Nyoka. Kijasusi Tofauti kubwa ya Nyoka na Panya ipo kwenye kujificha na kujihami. Nyoka anaweza kuingia katika Nyumba yako akakaa hata Miaka mitano Mpaka akawa chatu au Nyoka Mkubwa na wewe usijue kuwa ndani ya nyumba...
  7. JamiiForums Tanzania Kweli kidonge cha Panadol kinatumika kumuua nyoka?

    Ni Kuna ukweli wowote wanaposema kidonge Cha PANADOL a.k.a paracetamol kinaweza kumuua NYOKA?
  8. A

    JamiiForums Tanzania Nyoka aina ya Black Mamba mawindoni

    Moja ya nyoka hatari kabisa anaeitwa Black Mamba akiwa kwenye mawindo, wale wa Tabora wanamuelewa sana huyo mwamba kabisa.
  9. JamiiForums Tanzania Mpige katerero mwanamke wako, piga machine kama unaua nyoka, hela kwao ni kama mafuta ya kujipaka yanakauka shauri yenu

    Ndugu zangu salaam. Ukweli ni kwamba wanawake wanapenda sana dyudyu, wanataka papuchi zao zipigwe fimbo mpaka zimwage maji akose kabisa hata nguvu ya kukusongea ugali na akienda chooni au kujichamba aite jina lako huku anasukuma ukuta hapo ndipo atajiona yupo na mwanaume na wala siyo mwanamke...
  10. JamiiForums Tanzania SI KWELI Nyoka aking'ata huacha meno na anapoteza uwezo wa kung'ata tena

    Kuna Imani kuwa nyoka huuma na kuacha meno yake kwa muhanga wake. ...ifahamike meno ndo silaha kuu ya nyoka,katika kujitafutia chakula na kujilindA...Asilimia kubwa ya watanzania wanaamini hivyo kuwa nyoka akikuuma anakuachia meno ambapo inakubidi uyatoe haraka kabla madhara hayajawa makubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Nakutamkia ushindi zidi ya roho za kichawi,kimizimu,kijini na kishetani zilizovaa umbo la kenge, nyoka , Simba,chui, mamba, ng'ombe pokea ushindi wako

    Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU Tukiwa tunahesabu masaa kuingia mwaka mpya acha kuchoka na kusinzia wala usimpe shetani nafasi tena , usimpe shetani namna nyingine tena katika roho yako hata afikie hatuna ayatawale maisha yako kwa kukunyanyasa Kataa kunyanyaswa na shetani kwani unamuweza...
  12. JamiiForums Tanzania Aliyeng'atwa na Nyoka afia Kituo cha Afya kisa hana 150,000 Wilayani Babati

    KATIKA hali ya kusikitisha, mkazi wa Magugu, Wilaya ya Babati, Juliana Obedy (44), amepoteza maisha baada ya wataalamu katika Kituo cha Afya Magugu, kudaiwa kumcheleweshea huduma kituoni hapo kutokana na kugongwa na nyoka. Imedaiwa kuwa, sababu za kucheleweshwa kwa huduma hiyo ni wataalamu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Wakati nyoka na mijusi dume wana uume mbili (hemipenes), ona maajabu matatu ya kipekee kwa majike!

    AJABU LA KWANZA: Haijalishi nyoka au mijusi majike watajamiiana na madume mangapi, lakini wana uwezo wa kuamua ni yai la dume yupi ndio lirutubishwe. Yaani, watajamiiana na madume hata mia mbili, lakini wataamua mfano yai la dume wa hamsini aliyempanda, ndio litakalorutubishwa. Kama jike...
  14. JamiiForums Tanzania Bora rafiki kuliko ndugu wa damu.

    Mtoto wa nyoka ni nyoka ndo maneno ya binadamu. Sometimes Bora rafiki kuliko ndugu wa damu. Ubaya ukizidi sana unakosa hata tabasamu. Dar es salaam kutesa kwa zamu. Yaani Bado siamini kama wamenimwagia sumu. Lengo lao wanipeleke kuzimu. Hawana nidhamu, nami nazifikisha salamu. Wajiandae...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

    Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
  16. JamiiForums Tanzania SI KWELI Iwapo tunda la nyanya linaonesha dalili kama hizi, linaweza kuwa na sumu kwa kung'atwa na nyoka

    Katika pita pita zangu, nimekutana na maada inayosema kwamba matunda kama nyanya yanaweza kushambuliwa na popo, au nyoka. Hivyo basi Ukiona nyanya ikiwa hivi(pichani) usipende kula mbichi au kuitumia kabisa kwa sababu Kuna wakati inakuwa imezuliwa na Nyoka, Popo au aina ya wanyama fulani...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Nini cha kufanya kwanza unapoumwa na nyoka, ili kuokoa maisha?

    Karibu 300% ya nyoka wote duniani wana sumu, na 50% ya visa vya nyoka wanaowauma binadamu huwa hawaachi sumu ndani ya mwili wakati wa wanapomuuma binadamu. Kwa hivyo ni karibu visa 15 kati ya 100 ya nyoka ambapo muathiriwa huhitaji matibabu Nini cha kufanya ukiumwa na nyoka ili kuokoa maisha...
  18. JamiiForums Tanzania Ni kweli nyoka hawezi kumng'ata mtoto, mama mjamzito au anayenyonyesha?

    Wanasema nyoka hawezi kuwang'ata hao watu wenye mahitaji maalumu na ikitokea amewang'ata basi kuna namna kuna ukweli wowote hapa Ipi sababu inayopelekea wasing'atwe na nyoka hasa kwa mtoto maana muda mwingine unaweza kuta anacheza nae na asimng'ate
  19. JamiiForums Tanzania Unabii: Nimeona Simba kutoka mbinguni akishambuliwa na nyoka watatu kutoka baharin mpaka kufa

    Amani iwe nanyi wapendwa katika BWANA Juzi tarehe 1 mwezi wa 10 majira ya usiku nilimuona simba mmoja wa wasitan akishuka kutoka maeneo ya angan Kisha nikaona tena nyoka watatu nao ni wa wastan wenye ukubwa kias unene wa mipini miwili wakipanda kutoka baharin Simba alipokaribia kutua chini...
  20. JamiiForums Tanzania Mtoto wa nyoka ni nyoka; Isack Mwigulu atoa msaada wa ream paper kwa Uvccm Singida

    Like father, like son!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…