nyingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Mnafanyaje kuuza madeni ya mkopo wa bank moja kwenda nyingine kwa mtumishi?

    Tunaombeni hizo mbinu wakuu Hali ni Tete nilichukua mkopo wa Bayport baada ya huu mfumo wa ESS kuja saivi imekuwa ngumu kuuza deni Mnatumia mbinu gani jamani. Balance ya mkopo ni 1,800,000 na Makato Kila mwezi ni 62000 nifanyaje hapa wakuu, Nina uhitaji sana na hela kwa muda huu na njia pekee...
  2. Sera ya kujitenga na masuala ya nchi nyingine "isolationism policy" ni zao la tabia za kibepari: Historia inayojirudia kimkakati Afrika

    Mkakati wa kuhakikisha Afrika inakuwa tegemezi ni halisi kutokana na mipango mahususi iliyoandaliwa kwa muda mrefu na waliofukuzwa kama wanyonyaji au wakoloni. Kauli iliyotolewa na Rais Donald Trump inaonekana kubeba ukweli wa kutengenezwa kw sababu utegemezi wa nchi nyingi za Afrika na uvivu...
  3. Kosa la chasambi tumeliona game nzuri tumeshuhudia ila Mpanzu ni habari nyingine

    Hiyo dabi yanga wajipange mpanzu anapasua vichaka jamaa ni mwepesi sana anapiga ma-uturn ya kiulaya yale mapasi kama wenzie watamuelewa vyema tegemeeni Yanga kufa goli nyingi hata kama Refa atakuwa Ramadhani Kayoko au Hersi Saidi..... kifupi Mpanzu hakupaswa kucheza kwenye hii ligi dhaifu ya...
  4. M

    Tabora iliyomfunga Yanga ni nyingine na inayocheza na Simba siku zote uwa ni nyingine, zile kelele za GSM huwezi kuzisikia leo!

    Tabora siku zote wanazocheza na Simba uwa wanacheza kama ni timu ya daraja la 4, lakini wakikutana na timu nyingine huwa wanakuwa Tabora wenyewe Huwezi kusikia kelele za GSM anaharibu ligi na match fixing kwenye mechi wanazopata ushindi wa mipango mipango, but wakipigwa wengine utasikia...
  5. W

    Kwanini Wasomali Wana maendeleo ugenini lakini kwao Kuna Hali mbaya zaidi ya Burundi

    Mfano ukiangalia Nairobi wameukamata uchumi kwa kiasi kikubwa sana ukija TZ wapo wachache ila wamejitahidi kwenye maendeleo, hupendelea biashara za malori. Shida inakuja huko kwao kuna hali mbaya, Burundi kuna nafuu, vita vya wao kwa wao haviishi Huduma za kijamii zipo chini sana umasikini...
  6. K

    Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine?

    Faida ya Kikwete ni zipi kwenye uangalizi wake wa chaguzi za nchi nyingine? Huyu mzee ni wa ajabu sana akienda huko Kenya na mataifa mengine anajifanya ni wa kisasa na ni mtu wa demokrasia. Akirudi Nyumbani ni kujifungia Dodoma na wana CCM na hakuna demokrasia yeyote kwa manufaa ya tumbo lake na...
  7. Kwa Wanaume: Ulijuaje kama hiyo Style yako ya kunyoa inakupendeza? Ushawahi take risk kujaribu Style nyingine?

    Kwa Wanaume. Unajuaje kama iyo style ya kunyoa inakunoga? Unaambiwaga na watu au unajiona mwenyewe kwenye kioo au ulimuachia kinyozi akuchagulie? Ushawahi jaribu nyoa para? Pank? Ushawahi jaribu acha ndevu?
  8. Hivi kwenye hesabu za desimali (decimal numbers), baada ya nukta tunatamka tarakimu moja baada ya nyingine au kwa pamoja kama vile nzima?

    Nimesikia wasomi wawili wa ngazi ya PhD wakitofautiana katika kutaja desimali (decimal notation). Mmoja ana PhD ya kusomea na mwingine ya heshima. Alianza yule mwenye PhD ya kusomea na kusema kwa majigambo na kujiamini kuwa mteuliwa amepata asilimia themanini na tisa nukta arobaini na mbili...
  9. 1

    Nawasihi mashabiki wa Simba tusiende kabisa uwanjani Jumapili vinginevyo tutaiingiza timu yetu kwenye zahma nyingine, twendeni Mwembe Yanga kuona gemu

    Jumapili mnyama anakwenda kushika nafasi ya kwanza katika kundi, mechi hiyo haitakuwa na mashabiki kwa sababu ambazo tayari zimeshatajwa na viongozi wetu. Nawasihi sana mashabiki wa Simba wote twendeni Mwembe Yanga na wale ambao hamtakuwa na nafasi tubakie nyumbani kumwangalia Elia Mpanzu...
  10. HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
  11. Je, kuna filamu nyingine kama hii unaijua!? Kwenye vitabu je?

    Ni filamu inayosimulia kisa cha msafiri anayejaribu kumshawishi kimafia afisa mmoja wa usalama kitengo cha Transportation Security Administration(TSA) ili akubali kupitisha kifurushi flani hatari kwenye ndege siku ya mkesha wa Krismasi. Fikiria unatazama filamu, iwe peke yako na familia au...
  12. R

    Dharau nyingine hii hapa, mtanifanya nini?

    Tanzania’s President Samia promises clean elections in October
  13. PreGE2025 Hizi ndizo hoja zitakazotumika kuizika CHADEMA endapo Mbowe akiibuka mshindi wa kiti cha uenyekiti Taifa, Ongezea nyingine

    Kwa jicho la kawaida , bila matumizi ya akili nyingi, ni wazi kabisa itakuwa heri endapo Lisu ataibuka mshindi dhidi ya Mbowe katika kuwania kiti cha uenyekiti CHADEMA TAIFA. Ni kwa nini? Mosi, ni rahisi sana TAL kama mwenyekiti wa CHADEMA TAIFA, kuipangua hoja ya Rushwa kwa kuwaeleza...
  14. M

    Mukwala ni striker butu sana Simba iangalie namna nyingine dirisha dogo

    Kiukweli Mukwala kuchezea Simba ni hatari sana kwa usalama wa timu yetu, sio striker mkali kivile, Mukwala hamfikii hata robo huyo Baleke anayetemwa Yanga, Mukwala hamfikii hata Freddy Michael Funga Funga, leo amedhihirisha wazi kabisa kuwa hata robo hamfikii Herieth Makambo wala Yakuba Sogni...
  15. Nimemaliza kuangalia Series ya Breaking Bad na Game of Throne, naombeni nyingine kama hio

    Baada ya kuona watu wanazisifia sana hizi series mbili ikabidi nizitafute. Itoshe kusema breaking bad ni bonge la series. Game of thrones nayo iko vizuri japokuwa sio kama breaking bad. Msimu huu wa sikukuu naombeni list ya series kali za hivi karibuni, Natanguliza shukrani
  16. Apart from Umakamu mwenyekiti wa chadema,Lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumingizia kipato?

    Wakuu,hivi lisu anafanya shughuli gani nyingine ya kumuingizia kipato?
  17. Endapo Mbowe atakuwa mwenyekiti kwa mara nyingine, hii ndio itakuwa safu yake ya uongozi

    Hii kwa sasa ndio cream ya chadema ya Mbowe. Awa ndio tunatakiwa kuwaamini kuwakabidhi dola na hazina ya taifa. Tumepigwa parefu!
  18. L

    Awamu nyingine ya urais wa Trump itakuwa na matokeo gani kwa ushirikiano kati ya China na Afrika?

    Mara ya kwanza wakati Donald Trump alipogombea urais wa Marekani dhidi ya Hilary Clinton, wanadiplomasia wengi na wataalam wengi wa mambo ya uchumi, waliweka karata yao kwa Hilary Clinton, wakiamini kuwa Hilary alikuwa na uelewa wa kina kuhusu Afrika, na kama Trump angeshinda basi Afrika...
  19. KAULI NYINGINE HUIBUA FIKRA MCHANGANYIKO

    Habari za wakati huu By nature mimi ni mkimya sana,napenda sana kukaa mwenyewe na huwa nafeel comfortable sana, sipendi kuongea sana ila nikimatch na mtu ni mtu wa kucheka na kuongea sana..Napenda utani. Kimuonekano niko very humbe,i mean sura yangu ni very innocent kiasi kwamba ni rahisi sana...
  20. Kumekucha: Elon Musk kwara nyingine

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…